Mkutano wa CHADEMA kurushwa Live na ITV siku ya Jumamosi, Jangwani

hivi ndivyo vyombo vya habari vinavyotakiwa kufanya kazi, bila kuogopa chama tawala au dola, ilimradi tu havivunji sheria. NasikiaMh Mbowe juzi kwenye ziara yake Clouds FM, ilikuwa ni pamoja na kuwapa hilo dili la kurusha matangazo ya huo mkutano, majamaa yakakataa, pamoja na kwamba sio bure.. toka nipate hizo habari nimeweka nadhiri ya kutokusikiliza clouds fm kwa muda wa maisha yangu yote, nanyi fanyeni hivo...

Mkuu Clouds TV inaishia Magomeni
 
Hii ni siku ya kuiteka rasmi Dar toka kwa magamba na kuiweka kibindoni kwa CDM....Hakukosea aliyetoa kauli kwamba CCM itafia mikononi mwa Kikwete.
 
kudadadadadadadeki....mbona magamba mna tabu sana safari hiiii

imebaki mwenyekiti wa chama kuvua gamba kuvaa gwanda tuu

yaani na imagine ccm wanavyohaha kuzuia maji yasibomoe nyumba...hahaaaaa JK kazi unayo mwana kwetu ...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Magamba yataendelea kuunguzwa mpaka itakapofika 2015 yabaki masizi tu!
 
Hawana Jipya CDM.... Niache shughuli zangu za muhimu nawaangalia wao, wananisaidia nini.. Poor u. Fooled by these politicians.. Laiti mngeyajua maisha wanayoishi hao viongozi wa Chadema.. Haya potezeweni muda hiyo j'mosi
ulitaka wawe masikini wa kutupwa ndio waweze kuhamasisha mageuzi?
 
- Mkuu safari hii ninakuja nijioneee mwenyewe M4Cee, peoples power are you coming? Wallahi this one I am coming!!

William.

kwani kunatatizo? Njoo mkiongozana na nape mnauye, viti vyenu tumesha viweka tayari na card zenu za kujiunga na m4c ziko tayari, ila msisahau kuja na zile za magamba.
 
Strategically CDM wako hatua mia zaidi ya Magamba,viongozi wake hawalali hadi nchi inakombolewa,
Mwendo mdundo makamanda,wakati umefika sasa walau kuwa na radio ya chama inayosikika nchi yote,
 
Kitu nina uhakika nacho Willium M.utakapofika jangwani hakika huwezi kukubali kuondoka
na GAMBA,maana siamini mpaka leo bado unaamini sera ya kurithishana UGAMBA.
K A R I BU U U U U"""""
 
Hii ni siku ya kuiteka rasmi Dar toka kwa magamba na kuiweka kibindoni kwa CDM....Hakukosea aliyetoa kauli kwamba CCM itafia mikononi mwa Kikwete.
Siyo Dar pekee mkuu,bali ni siku ya kuiteka Tanzania RASMI na kuirudisha kwa Watanzania wenyewe!!!!!
 
Nitahudhuria niwaone...
Lakini bado nina wasiwasi kama kutakuwa na jipya..

Rejao, kama kwako vipya ni pilau, t-shirts na kofia zenye nembo ya uma na kijiko (Jembe na nyundo - alama ya ulafi wa mafisadi) ;hivyo hutavipata. huko kutakuwa na hoja zenye mashiko zinazohusu katiba mpya na mustakabari wa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom