Mkutano mkubwa wa CUF tar 26/03/2014 kudai nchi yao...

Wapewe wanachotaka, ila mjuwe mahali pa kuwapeleka wapemba.Walikubaliwa kuwekeza bara kama watanzania, Tanganyika ikirudi, watafukuzwa bara kwasababu si watanganyika by default.Zanzibar waachieni Tanganyika wapumuwe.

Acha kupotosha umma Wapemba wana ndugu zao wengi bara na wanapendana na ndugu zao na Ukumbuke kuwa patakuwa na serikali na sheria za nchi kama kawaida.
Wapemba ni watu wacheshi sana hakuna mbara anayewachukia.
CCM ndiyo inayowachukia wapemba na Wachaga.
 
Rest in peace tanzania na sasa ni wanao kubaki tanganyika na zanzibar kwani viongozi hawa uchwara na wa kisasa wasio na chembe ya uzarendo wa waasisi wako wamekuasi na kukutumia kama chambo cha kujinufaisha wao ni si wanainchi tena, nasema kalale pema peponi tanzania maana wazanzibar wamekubaliwa kupewa mamulaka yao kamili isipokuwa kwa tanganyika hatutapewa hadhi ya kubaki na jina letu la tanganyika bali tutaendelea na hili la familia na hapa ndipo watanganyika nao wanahoji nini uharisia wa jina hili wakati mwenza wtu katoka na kapewa kilicho chake? mbona haituingii akilini ni muungano upi tutakaobaki nao? walioba kabainisha wazi kuwa huu ni muungano wa viongozi na si ule wa waasisi wetu lakini viongozi hawa bado wanautetea kwa vile ni chaka lao la kuvujisha rasilimali za wanainchi, nasema pumzika salama tanganyika yetu tunaitaka na si tanzania tena.
 
Wazanzibari wamechekewa vya kutosha sanasana hawa akina sharif hamad na mwenziwe Jussa, hivi hiwapo theluthi mbili ya wazanzibari inaishi bara hawa watu tunawashindwa vipi kuwamudu. CCM wote wa bara na zanzibar aiwezi kusema inataka muundo wa serikali mbili kwa kubembeleza naona kama vile ni muda muafaka wa kuwapa picha ya muungano ilivyo kama CUF janja yao ni ushawishi wa top down approach, ni wakati sasa wakurudishiwa mashambulizi kwa namna za bottom up approach waone hali halisi.
 
Tanganyika kuwe na waziri mkuu na znz waziri mkuu na rais wa jwt makazi yake yawekwe pemba.
 
Haya someni hili tangazo linalosambazwa mitandaoni halafu wale waliokuwa wakiniita mchochezi na nina chuki binafsi kwa wazanzibari wajiulize kwanza....

KUMEKUCHA!! SASA MAMLAKA KAMILI NI LAZIMA KAMA HAKUNA 3 NA MBILI HAZIPO WAZANZIBARI WOTE KUKUTANA KIWANJA CHA DEMOKRASIA 26/3/2014
,Haya haya wazanzibari! Kumekucha! La mgambo likilia kuna jambo! Chama cha wananchi CUF kinawatangazia wanachama, wapenzi na wazanzibari wote wa mikoa mitatu ya Unguja, wazalendo na wapenda nchi yao kwa jumla kuhudhuria kwa wingi katika mkutano mkubwa wa hadhara wa aina yake , wa kihistoria utakaofanyika siku ya Jumatano ya tarehe 26/03/2014 katika viwanja vya Demokrasia, Kibanda Maiti kuanzia saa 8:00 barabara za Mchana mpaka saa 12:00 za jioni.
Mgeni rasmi katika Mkutano huo ni Nahodha wa safari ya kuelekea katika mamlaka kamili ya Zanzibar, Simba wa nyika, tishio la vibaraka wauza nchi yetu, kipenzi cha wazanzibari, mwenye uzalendo wa hali ya juu na mapenzi makubwa kwa Zanzibar na wazanzibari, Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Alhakiir Maalim Seif Sharif Hamad. Mkutano utaanza saa 8:00 barabara za mchana mpaka saa 12:00 jioni.
Agenda kuu katika mkutano ni jee safari ya kuelekea mamlaka kamili imefikia wapi? Jee Kikwete, CCM na vibaraka wachache wa Zanzibar wataweza kutuondosha katika mstari wa madai yetu? Jee mpango wa CCM wa kumtanguliza Warioba kwa kuvunja kanuni za Bunge la Katiba kwa lengo la Kumleta Kikwete kuponda mapendekezo ya Warioba utafanikiwa kusitisha safari hii ya wazanzibari? Nini wazanzibari wanapaswa kutarajia?
Maswali yote hayo yatapatiwa majibu pamoja na mambo kadhaa muhimu. Hatumwi mototo!
Shime wazanzibari wote kuhudhuria kwa wingi bila ya kukosa!
TUNATAKA NCHI YETU SASA TUMECHOKA TAFRANI!
HAKI!

KILA LA KHERI JAMAA ZETU, SISI TUMEISHATAYARISHA KARATASI NA KALAMU KUANDIKA TALAKA...

ni wewe kweli au wamehack id yako??
 
Leo ni tarehe 25, ebu tuhabarishe kama wameshaanza maandalizi ya huo mkutano wa kesho?
 
hamna jipya CUF, mzalendo wa kweli ni nani? au unaongelea wapenda madalaka? utakuwa na uwelewa wa kupambanua lini? mbona nakuona kama mwenye uwelewa wa kutosha tatizo ni nini? au ubongo wa sokwe?
:eyebrows:
 
Kila la heri jamani tuliwachoka bt hatukuweza kuwaambia lakini kwa sababu mmeamua kujilipua kama mlivyofanya kule shimoni, safari njema. Ila soon mtaanza kudaiana pemba na unguja kila upande utataka uhuru kamili na kamwe hatutapokea wakimbizi kutoka visiwani. Wapuuzi sana.
 
Acha kupotosha umma Wapemba wana ndugu zao wengi bara na wanapendana na ndugu zao na Ukumbuke kuwa patakuwa na serikali na sheria za nchi kama kawaida.
Wapemba ni watu wacheshi sana hakuna mbara anayewachukia.
CCM ndiyo inayowachukia wapemba na Wachaga.

HATA WAKENYA WANA NDUGU ZAO KULE America au USA Mfano Rais Obama LAKINI BADO HAYA NI MATAIFA MAWILI TOFAUTI. TANGANYIKA IKIREJEA HAIMAANISHI HAWA WAPEMBA WATAFUKUZWA
 
Maalim anatisha utafikiri kabeba milipuko.

Haya someni hili tangazo linalosambazwa mitandaoni halafu wale waliokuwa wakiniita mchochezi na nina chuki binafsi kwa wazanzibari wajiulize kwanza....

KUMEKUCHA!! SASA MAMLAKA KAMILI NI LAZIMA KAMA HAKUNA 3 NA MBILI HAZIPO WAZANZIBARI WOTE KUKUTANA KIWANJA CHA DEMOKRASIA 26/3/2014
,Haya haya wazanzibari! Kumekucha! La mgambo likilia kuna jambo! Chama cha wananchi CUF kinawatangazia wanachama, wapenzi na wazanzibari wote wa mikoa mitatu ya Unguja, wazalendo na wapenda nchi yao kwa jumla kuhudhuria kwa wingi katika mkutano mkubwa wa hadhara wa aina yake , wa kihistoria utakaofanyika siku ya Jumatano ya tarehe 26/03/2014 katika viwanja vya Demokrasia, Kibanda Maiti kuanzia saa 8:00 barabara za Mchana mpaka saa 12:00 za jioni.
Mgeni rasmi katika Mkutano huo ni Nahodha wa safari ya kuelekea katika mamlaka kamili ya Zanzibar, Simba wa nyika, tishio la vibaraka wauza nchi yetu, kipenzi cha wazanzibari, mwenye uzalendo wa hali ya juu na mapenzi makubwa kwa Zanzibar na wazanzibari, Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Alhakiir Maalim Seif Sharif Hamad. Mkutano utaanza saa 8:00 barabara za mchana mpaka saa 12:00 jioni.
Agenda kuu katika mkutano ni jee safari ya kuelekea mamlaka kamili imefikia wapi? Jee Kikwete, CCM na vibaraka wachache wa Zanzibar wataweza kutuondosha katika mstari wa madai yetu? Jee mpango wa CCM wa kumtanguliza Warioba kwa kuvunja kanuni za Bunge la Katiba kwa lengo la Kumleta Kikwete kuponda mapendekezo ya Warioba utafanikiwa kusitisha safari hii ya wazanzibari? Nini wazanzibari wanapaswa kutarajia?
Maswali yote hayo yatapatiwa majibu pamoja na mambo kadhaa muhimu. Hatumwi mototo!
Shime wazanzibari wote kuhudhuria kwa wingi bila ya kukosa!
TUNATAKA NCHI YETU SASA TUMECHOKA TAFRANI!
HAKI!

KILA LA KHERI JAMAA ZETU, SISI TUMEISHATAYARISHA KARATASI NA KALAMU KUANDIKA TALAKA...
 
Haya someni hili tangazo linalosambazwa mitandaoni halafu wale waliokuwa wakiniita mchochezi na nina chuki binafsi kwa wazanzibari wajiulize kwanza....

KUMEKUCHA!! SASA MAMLAKA KAMILI NI LAZIMA KAMA HAKUNA 3 NA MBILI HAZIPO WAZANZIBARI WOTE KUKUTANA KIWANJA CHA DEMOKRASIA 26/3/2014
,Haya haya wazanzibari! Kumekucha! La mgambo likilia kuna jambo! Chama cha wananchi CUF kinawatangazia wanachama, wapenzi na wazanzibari wote wa mikoa mitatu ya Unguja, wazalendo na wapenda nchi yao kwa jumla kuhudhuria kwa wingi katika mkutano mkubwa wa hadhara wa aina yake , wa kihistoria utakaofanyika siku ya Jumatano ya tarehe 26/03/2014 katika viwanja vya Demokrasia, Kibanda Maiti kuanzia saa 8:00 barabara za Mchana mpaka saa 12:00 za jioni.
Mgeni rasmi katika Mkutano huo ni Nahodha wa safari ya kuelekea katika mamlaka kamili ya Zanzibar, Simba wa nyika, tishio la vibaraka wauza nchi yetu, kipenzi cha wazanzibari, mwenye uzalendo wa hali ya juu na mapenzi makubwa kwa Zanzibar na wazanzibari, Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Alhakiir Maalim Seif Sharif Hamad. Mkutano utaanza saa 8:00 barabara za mchana mpaka saa 12:00 jioni.
Agenda kuu katika mkutano ni jee safari ya kuelekea mamlaka kamili imefikia wapi? Jee Kikwete, CCM na vibaraka wachache wa Zanzibar wataweza kutuondosha katika mstari wa madai yetu? Jee mpango wa CCM wa kumtanguliza Warioba kwa kuvunja kanuni za Bunge la Katiba kwa lengo la Kumleta Kikwete kuponda mapendekezo ya Warioba utafanikiwa kusitisha safari hii ya wazanzibari? Nini wazanzibari wanapaswa kutarajia?
Maswali yote hayo yatapatiwa majibu pamoja na mambo kadhaa muhimu. Hatumwi mototo!
Shime wazanzibari wote kuhudhuria kwa wingi bila ya kukosa!
TUNATAKA NCHI YETU SASA TUMECHOKA TAFRANI!
HAKI!

KILA LA KHERI JAMAA ZETU, SISI TUMEISHATAYARISHA KARATASI NA KALAMU KUANDIKA TALAKA...

Wana Haki Yao kudai nchi Yao maana wamepinduwa ili wajitawale na sio kupelekwa kwenye UKOLONI Mwengine wa Tanganyika
 
Back
Top Bottom