Mkutano mkubwa wa CUF tar 26/03/2014 kudai nchi yao...

Haya someni hili tangazo linalosambazwa mitandaoni halafu wale waliokuwa wakiniita mchochezi na nina chuki binafsi kwa wazanzibari wajiulize kwanza....

KUMEKUCHA!! SASA MAMLAKA KAMILI NI LAZIMA KAMA HAKUNA 3 NA MBILI HAZIPO WAZANZIBARI WOTE KUKUTANA KIWANJA CHA DEMOKRASIA 26/3/2014
,Haya haya wazanzibari! Kumekucha! La mgambo likilia kuna jambo! Chama cha wananchi CUF kinawatangazia wanachama, wapenzi na wazanzibari wote wa mikoa mitatu ya Unguja, wazalendo na wapenda nchi yao kwa jumla kuhudhuria kwa wingi katika mkutano mkubwa wa hadhara wa aina yake , wa kihistoria utakaofanyika siku ya Jumatano ya tarehe 26/03/2014 katika viwanja vya Demokrasia, Kibanda Maiti kuanzia saa 8:00 barabara za Mchana mpaka saa 12:00 za jioni.
Mgeni rasmi katika Mkutano huo ni Nahodha wa safari ya kuelekea katika mamlaka kamili ya Zanzibar, Simba wa nyika, tishio la vibaraka wauza nchi yetu, kipenzi cha wazanzibari, mwenye uzalendo wa hali ya juu na mapenzi makubwa kwa Zanzibar na wazanzibari, Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Alhakiir Maalim Seif Sharif Hamad. Mkutano utaanza saa 8:00 barabara za mchana mpaka saa 12:00 jioni.
Agenda kuu katika mkutano ni jee safari ya kuelekea mamlaka kamili imefikia wapi? Jee Kikwete, CCM na vibaraka wachache wa Zanzibar wataweza kutuondosha katika mstari wa madai yetu? Jee mpango wa CCM wa kumtanguliza Warioba kwa kuvunja kanuni za Bunge la Katiba kwa lengo la Kumleta Kikwete kuponda mapendekezo ya Warioba utafanikiwa kusitisha safari hii ya wazanzibari? Nini wazanzibari wanapaswa kutarajia?
Maswali yote hayo yatapatiwa majibu pamoja na mambo kadhaa muhimu. Hatumwi mototo!
Shime wazanzibari wote kuhudhuria kwa wingi bila ya kukosa!
TUNATAKA NCHI YETU SASA TUMECHOKA TAFRANI!
HAKI!









KILA LA KHERI JAMAA ZETU, SISI TUMEISHATAYARISHA KARATASI NA KALAMU KUANDIKA TALAKA...

" twategemea mkutano utarushwa live on radios na internet kuanzia saa 10 - 11 jioni ya leo, karibuni sana ......

Chuchu FM Live by Dr. Fauz! -
 
dogo vipi mbona povu jingi.. hoja ni kuwa kwanini wawaachie MAGAIDI YA UAMSHO !!?? mambo ya lema, msigwa na uislamu yameingiaje!!?? punguza ukilaza

Yaani kujiita Remote halafu kuweka avatar unakata mauno kuliko mamako inadhihirisha unafanya mchezo wa KIKRISTO
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Mkuu,

Kwa kupitia kwako Mzenji73 naomba kupitisha Samahani zangu na familia yangu kwa dhambi tuliifanya ya kuwatawala (kuwa koloni la Tanganyika)

aaargr!!! ccm hawezi kuwapa Zanzibar Uhuru hata siku moja ndoa mliyofunga haitenganishwi kamwe!!! hata kwa vidumu vya tindikali
 
Kama kutafuta nchi ni hao wazenji tu, Tanganyika wenye nayo wako poa tu, JK ni mtanganyika mmoja tu kati ya wengi, naye kajificha nyuma ya CCM wasaliti wa Mwalimu. Najua angekuwapo leo Mwalimu angeunga mkono Tanganyika irudi maana speed ya kulegea kwa ccm kumewapa nguvu mno wazenji kiasi kwamba Mwalimu ameondoka akilalamika, hata hakuwahi kuona kasoro katika mambo yake mengi aliyoyatetea ambayo wasaliti wake wamefanya
 
SIO WAZANZIBAR NI WAPEMBA Hivi unajua kuwa Maalim yeye uchu wake Madaraka? unajua kuwa yeye ndiye chanzo cha Aboud Jumbe kutolewa Urais baada ya Maalim seif kumsingizia anataka kuvunja muungano ili mradi urais apate yye?so maalim ni mroho wa madaraka wala si mtetezi wa hii zanzibar.....wapemba ndio wanaomshabikia kwa wingi kwani walimpromise lazima akahutubie umoja wa mataifa Pemba stand up lakin nchi hapati
 
SIO WAZANZIBAR NI WAPEMBA Hivi unajua kuwa Maalim yeye uchu wake Madaraka? unajua kuwa yeye ndiye chanzo cha Aboud Jumbe kutolewa Urais baada ya Maalim seif kumsingizia anataka kuvunja muungano ili mradi urais apate yye?so maalim ni mroho wa madaraka wala si mtetezi wa hii zanzibar.....wapemba ndio wanaomshabikia kwa wingi kwani walimpromise lazima akahutubie umoja wa mataifa Pemba stand up lakin nchi hapati
Funga ------ wako huo usi waletewe Watu taabu kinembe wewe
 
Back
Top Bottom