Mkurugenzi wa wilaya mahakamani kubatilisha matokeo ya uchaguzi- Ushindi Chadema

ni lazima maamuzi ya wananchi yaheshimiwe bt wakiendelea kutumia ubavu wanaoutumia wataleta machafuko ktk jami
 

kuna watu humu ndani hamnazo kabisa, yaani mtu anabadilisha matokeo ya uchaguzi wa kata mwingine anasema chadema wana njaa yani kwenye haki wewe unaona njaa, je na hao wanaojilimbikizia kila kitu ni nini? au walafi?
 
Hili si ni jimbo la magufuli?
Kumbe magufuli kwao CHADEMA wananguvu ee? Masikini CCM yangu ....magufuli ndiyo tunamtegemea....sasa kumbe! au ndiye kamshinikiza mkurugenzi kufanya madudu hayo? maana nae mkuu huyu hana kabisa diplomasia!
 
Tunaomba Tundu Lissu na team ya wa-sheria wa CDM muwasaidieni CDM Chato kumtia adabu huyu mama Hadija. No wonder halmashaurti yake imepati hati chafu ya CAG
 
Back
Top Bottom