Makao makuu ya wilaya ya Iramba, Mwigulu anahusika

The rafael

Member
Nov 13, 2023
96
142
Juzi tarehe 5 Machi, kamati ya ushauri ya wilaya ya Iramba DCC, ilipitisha maamuzi ya kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba,yaliyopo Kiomboi kwenda Kijiji cha Misigiri.Kikao hicho cha DCC kiliongozwa na Mkuu wa wilaya Mwenda.

Katibu wa kikao hicho mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya, alitoa hoja ya kuhamisha makao makuu ya wilaya, na sababu alizozitoa mosi, halmashauri haina majengo kwa kuwa yaliyopo ni ya serikali kuu.

Pili hospitali ya wilaya ni mali ya kkkt.

Ikumbukwe kuwa hila za kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba zimeanza siku nyingi.Maamuzi haya yamekiuka sheria kwa kuwa hayajawashirikisha wananchi.

Na uamuzi huu unakwenda kuua mji wa Kiomboi kwa kuwa Kiomboi haina kivutio kingine. Mwigulu anawatumia DC Mwenda na mkurugenzi Matomola, na wanapelekwa Denmaki.
 
Juzi tarehe 5 machi, kamati ya ushauri ya wilaya ya Iramba DCC, ilipitisha maamuzi ya kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba,yaliyopo Kiomboi kwenda Kijiji cha Misigiri.Kikao hicho cha DCC kiliongozwa na Mkuu wa wilaya Mwenda.Katibu wa kikao hicho mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya, alitoa hoja ya kuhamisha makao makuu ya wilaya,na sababu alizozitoa mosi, halmashauri haina majengo kwa kuwa yaliyopo ni ya serikali kuu.Pili hospitali ya wilaya ni mali ya kkkt.Ikumbukwe kuwa hila za kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba zimeanza siku nyingi.Maamuzi haya yamekiuka sheria kwa kuwa hayajawashirikisha wananchi.Na uamuzi huu unakwenda kuua mji wa Kiomboi kwa kuwa Kiomboi haina kivutio kingine.Mwigulu anawatumia DC Mwenda na mkurugenzi Matomola,na wanapelekwa Denmaki.
Misigiri pamechangamka sana
 
Mwigulu hajawahi kumiliki akili
 
Eneo wanalopendekeza kuna hospitali ya serikali na majengo ya Halmashauri?

Mwigulu anahusikaje mkuu,
 
Wanaenda eneo la nani ili alipwe fidia au watumishi wa halmshauri wanaishi misigiri na kiomboi ni kwenda kazini pekee?
 
Juzi tarehe 5 Machi, kamati ya ushauri ya wilaya ya Iramba DCC, ilipitisha maamuzi ya kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba,yaliyopo Kiomboi kwenda Kijiji cha Misigiri.Kikao hicho cha DCC kiliongozwa na Mkuu wa wilaya Mwenda.

Katibu wa kikao hicho mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya, alitoa hoja ya kuhamisha makao makuu ya wilaya, na sababu alizozitoa mosi, halmashauri haina majengo kwa kuwa yaliyopo ni ya serikali kuu.

Pili hospitali ya wilaya ni mali ya kkkt.

Ikumbukwe kuwa hila za kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba zimeanza siku nyingi.Maamuzi haya yamekiuka sheria kwa kuwa hayajawashirikisha wananchi.

Na uamuzi huu unakwenda kuua mji wa Kiomboi kwa kuwa Kiomboi haina kivutio kingine. Mwigulu anawatumia DC Mwenda na mkurugenzi Matomola, na wanapelekwa Denmaki.
Misigiri ndo pale njia panda?
 
Hii influence ya maamuzi ya makao makuu ya nchi kuhamia Dodoma yamewafanya mafisadi wa halmashauri nao kuona kuhamisha makao ya halmashauri ni jambo dogo lisilo na gharama pia lisilostahili kushirikisha wananchi walipa kodi.

Wakati ukweli ni kuwa jambo hilo siyo kipaumbele cha wananchi, wananchi pengine wanahitaji mambo mengine siyo kuhamisha na kujenga upya makao ya halmashauri, nyumba za vigogo wa halmashauri n.k
 
Na uamuzi huu unakwenda kuua mji wa Kiomboi kwa kuwa Kiomboi haina kivutio kingine. Mwigulu anawatumia DC Mwenda na mkurugenzi Matomola, na wanapelekwa Denmaki.
Mwigulu ana maslahi gani Misigiri endapo makao makuu yatahamia hapo?

Nauliza hivyo kwasabb tunaweza kumhukumu Mwigulu kimakosa, kama tunavyomhukumu bata kila akinya tunasema kaharisha.
 
Amejenga Bonge la ghorofa mkuu.Na ana miradi hapo.
Mwigulu ana maslahi gani hapo Misigiri endapo makao makuu yatahamia hapo?

Nauliza hivyo kwasabb tunaweza kumhukumu Mwigulu kimakosa, kama tunavyomhukumu bata kila akinya tunasema kaharisha.
 
Usikute Mwigulu anataka kutakatisha fedha kupitia hiyo project. Miaka nenda rudi Wilaya ipo Kiomboi leo unakuja na hoja ya kipuuzi eti pamechangamka.
 
Back
Top Bottom