Mkurugenzi wa Rita Tunaomba uchunguzi cheti cha kifo No 100000203415(MOSHI)/ tangazo la kifo BD 0668249(Dar)Marehemu kafia dar kaishi dar +mirathi mo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,967
22,161
Ndugu Mkurugenzi wa Ritta
Huyu ninayemwongelea ni mmoja wa ndugu zangu aliefariki 2019
Marehemu Edwin Moshi mwenye Kitambulisho cha Nida No 19450805-14115-00001-29
alifariki tar 19-2-2019 Hosptial ya Kinondoni hospital na ugonjwa wa kansa ya kibofu

Marehemu ameacha jumla ya watoto wanne wawilli wa Ndoa na wawili wa nje na wote wana umri zaidi ya miaka 18

Baada ya kufariki alipata tangazo la kifo no BD 0668249(idara ya msajili wa vizazi na vifo)
Tangu afariki msimamizi wa mirathi za marehemu aliwasumbua sana watoto ndani ya miaka mitatu na nusu aligoma kufungua mirathi akiogopa baadhi ya watoto wa ndoa walipingana na e wakati wa matanga hasa upande wa mgao

Marehemu alizikwa makaburi ya Mbweni chini ya Ruhusa ya Serikali za mtaa mbweni
Marehemu aliishi maeneo ya karakata -airport dsm

Baada ya kuona adhma yake haiwezekani akifungua mirathi dar akaenda Moshi Kilimanjaro
Kama tujuavyo kupatikana kwa cheti cha kifo kunahitaji
-Tangazo la kifo
-Barua ya serikali za mtaa anapoishi marehemu na muhtasari......

Kwa kuogopa watoto kutosoma muhtasari alikuja Moshi akaghushi nyaraka pendwa hapo juu zikionyesha marehemu alifia Moshi -Mamba kotela /Na alikuwa akiishi Mamba kotela na huku akijua marehemu hajawahi kuwa na nyumba wala kuishi mmamba kotela wala kufa Moshi mamba kotela

June 16 2022
Msimamizi aliweza kuidanganya ofisi yako tukufu na kufanikiwa kupata cheti cha kifo no 100000293415 Moshi kikionyesha
-Marehemu amefia Mamba kotela
-marehemu alikuwa akiishi mamba kotelaa
-marehemu amekufa na natural death
na sio kansa ya kibofu kama tangazo la kifo la kinondon hospitali linavyosoma

Haitoshi akaenda mahakama ya moshi mamba akaidanganya mahakama kwa kuwaonyesha chti cha kifo cha rita toka moshi huku akijua marehemu amefia dar es salaam ameishi dar na amezikwa dar bila ya kujumuisha watoto wote mahakamani na mirathi ikatolewa bila ya baadhi ya watooto kujumuishwa(hili la mahakama wako nalo ngazi za juu)

Baada ya kuoomba nyaraka alizotumia mahakaman kuidhinisha mirathi anayoijua toka sept2022 alikubali kukabidhi nyaraka za mirathi march mbele ya wanasheria
march 2023

Ndugu Mkurugenzi hawa Yatima wanateseka sana kwa sababu ya mali za baba yao yapo mengi uwezi elza yote hata baadhi ya viwanja vya marehemu amegoma kuviingiza kwenye muhtasari huku akijua n mali ya marehemu(liko mahakaman)na ni kosa mojawapo la kutaka kutpanya mali za marehemu

Tunaomba uchunguzi wako kwa yoote hayo juu na kwa kuwa iko wazi cheti ch kifo kinatoka pale maarehemu alipofia tunaomba baada ya uchunguzi cheti hiki kiidhinishwe ni batili na kutohusika popote mpaka kitakapopatikana cheti halisi cha kifo cha marehemu mpendwa baba yao dar es salaa,m

tumeona kuweeka wazi kwa kuwa swala hili linajulikana sasa pale moshi na msimamizi ameoneakana mara kwa mara ofisi za moshi rita

Kama taasisi ya kusaidia wenye shida za mirathi hasa yatima na wajane tunaimani offisi yako italifanyia kazi kama maombi ya barua yatakayoletwa

ahsante
 
Kama upo serious kuwasaidia Watoto wa marehemu peleka hii barua makao makuu ya Polisi Dar kitengo cha fraud, peleka barua nyingine kwa DCI.

Kisha nenda wizara ya Ardhi Dar omba kuonana na kamishna wa Ardhi, mueleze hii scenario yote na mumpe maombi ya kufunguwa CAVEATE.

Hiyo CAVEAT ikitolewa hakuna Nyumba wala Ardhi ya marehemu inayoruhusiwa kuuzwa mpaka mkae sawa.

Mwisho kaeni kikao cha familia badilisheni Msimamizi wa mirathi andaeni muhktasari pelekeni hiyo Mirathi mahakama ya juu pale Temeke Chang'ombe one stop center, kuna majaji kabisa pale.
 
Hili suala lilitakiwa kuwasilishwa mahakamani na huko mngesaidiwa. Rita hawahusiki kwanamna yoyote Ile, lawama zingeenda serikali ya mtaa iliyotoa barua ya utambulisho wa kifo. Pia hueleweki unataka Nini maana huku unalalamika cheti batili, kule Mali za marehem zimefichwa. Kama lengo ni Mali basi mumshitaki msimamizi hasa Kama ameshafunga mirathi lakini suala la cheti Cha kifo na Rita Halina mashiko.

Pia usitumie Neno yatima Ili kuonewa huruma Kama wamezidi miaka 18. Yatima huwa chini ya umri huo. Hivyo tumia kauli ya "wanufaika wa Mali za marehem" au mirathi maana ni watu wazima hao .
 
Kama upo serious kuwasaidia Watoto wa marehemu peleka hii barua makao makuu ya Polisi Dar kitengo cha fraud, peleka barua nyingine kwa DCI.

Kisha nenda wizara ya Ardhi Dar omba kuonana na kamishna wa Ardhi, mueleze hii scenario yote na mumpe maombi ya kufunguwa CAVEATE.

Hiyo CAVEAT ikitolewa hakuna Nyumba wala Ardhi ya marehemu inayoruhusiwa kuuzwa mpaka make sawa.

Mwisho kaeni kikao cha familia badilisheni Msimamizi wa mirathi andaeni muhktasari pelekeni hiyo Mirathi mahakama ya juu pale Temeke Chang'ombe one stop center, kuna majaji kabisa pale.
Ushauri mzuri
 
Ndugu Mkurugenzi wa Ritta
Huyu ninayemwongelea ni mmoja wa ndugu zangu aliefariki 2019
Marehemu Edwin Moshi mwenye Kitambulisho cha Nida No 19450805-14115-00001-29
alifariki tar 19-2-2019 Hosptial ya Kinondoni hospital na ugonjwa wa kansa ya kibofu

Marehemu ameacha jumla ya watoto wanne wawilli wa Ndoa na wawili wa nje na wote wana umri zaidi ya miaka 18

Baada ya kufariki alipata tangazo la kifo no BD 0668249(idara ya msajili wa vizazi na vifo)
Tangu afariki msimamizi wa mirathi za marehemu aliwasumbua sana watoto ndani ya miaka mitatu na nusu aligoma kufungua mirathi akiogopa baadhi ya watoto wa ndoa walipingana na e wakati wa matanga hasa upande wa mgao

Marehemu alizikwa makaburi ya Mbweni chini ya Ruhusa ya Serikali za mtaa mbweni
Marehemu aliishi maeneo ya karakata -airport dsm

Baada ya kuona adhma yake haiwezekani akifungua mirathi dar akaenda Moshi Kilimanjaro
Kama tujuavyo kupatikana kwa cheti cha kifo kunahitaji
-Tangazo la kifo
-Barua ya serikali za mtaa anapoishi marehemu na muhtasari......

Kwa kuogopa watoto kutosoma muhtasari alikuja Moshi akaghushi nyaraka pendwa hapo juu zikionyesha marehemu alifia Moshi -Mamba kotela /Na alikuwa akiishi Mamba kotela na huku akijua marehemu hajawahi kuwa na nyumba wala kuishi mmamba kotela wala kufa Moshi mamba kotela

June 16 2022
Msimamizi aliweza kuidanganya ofisi yako tukufu na kufanikiwa kupata cheti cha kifo no 100000293415 Moshi kikionyesha
-Marehemu amefia Mamba kotela
-marehemu alikuwa akiishi mamba kotelaa
-marehemu amekufa na natural death
na sio kansa ya kibofu kama tangazo la kifo la kinondon hospitali linavyosoma

Haitoshi akaenda mahakama ya moshi mamba akaidanganya mahakama kwa kuwaonyesha chti cha kifo cha rita toka moshi huku akijua marehemu amefia dar es salaam ameishi dar na amezikwa dar bila ya kujumuisha watoto wote mahakamani na mirathi ikatolewa bila ya baadhi ya watooto kujumuishwa(hili la mahakama wako nalo ngazi za juu)

Baada ya kuoomba nyaraka alizotumia mahakaman kuidhinisha mirathi anayoijua toka sept2022 alikubali kukabidhi nyaraka za mirathi march mbele ya wanasheria
march 2023

Ndugu Mkurugenzi hawa Yatima wanateseka sana kwa sababu ya mali za baba yao yapo mengi uwezi elza yote hata baadhi ya viwanja vya marehemu amegoma kuviingiza kwenye muhtasari huku akijua n mali ya marehemu(liko mahakaman)na ni kosa mojawapo la kutaka kutpanya mali za marehemu

Tunaomba uchunguzi wako kwa yoote hayo juu na kwa kuwa iko wazi cheti ch kifo kinatoka pale maarehemu alipofia tunaomba baada ya uchunguzi cheti hiki kiidhinishwe ni batili na kutohusika popote mpaka kitakapopatikana cheti halisi cha kifo cha marehemu mpendwa baba yao dar es salaa,m

tumeona kuweeka wazi kwa kuwa swala hili linajulikana sasa pale moshi na msimamizi ameoneakana mara kwa mara ofisi za moshi rita

Kama taasisi ya kusaidia wenye shida za mirathi hasa yatima na wajane tunaimani offisi yako italifanyia kazi kama maombi ya barua yatakayoletwa

ahsante
Pow mkuu,kumbe ukiamua kuandika unaandika vizuri enhee
 
Hili suala lilitakiwa kuwasilishwa mahakamani na huko mngesaidiwa. Rita hawahusiki kwanamna yoyote Ile, lawama zingeenda serikali ya mtaa iliyotoa barua ya utambulisho wa kifo. Pia hueleweki unataka Nini maana huku unalalamika cheti batili, kule Mali za marehem zimefichwa. Kama lengo ni Mali basi mumshitaki msimamizi hasa Kama ameshafunga mirathi lakini suala la cheti Cha kifo na Rita Halina mashiko.
Hapo kuna fraud, Rita inahusika kuiweka clean taasisi yao.

Tangazo la kifo linatoka hospitali je ni hospitali na ofisa gani aliyefoji tangazo la kifo mpaka Rita wanatowa death certificate?

Mbona kesi rahisi sana hii!
 
Rita hawatumii tangazo la kifo pekee hasa Kama mtu kafia nyumbani. Kuna vielelezo vingine nje ya tangazo la kifo ambavyo huvitumia kujiridhisha. Baadhi ni barua toka serikali ya mtaa au kata na muhtasari wa kikao Cha familia. Hivyo Kama hivyo viliwasilishwa basi hawana kosa na hawana Cha kujibu.
 
sana yatima na wajane wengi wasio na uwezo wanakimbizwa na haya mambo
 
Rita hawatumii tangazo la kifo pekee hasa Kama mtu kafia nyumbani. Kuna vielelezo vingine nje ya tangazo la kifo ambavyo huvitumia kujiridhisha. Baadhi ni barua toka serikali ya mtaa au kata na muhtasari wa kikao Cha familia. Hivyo Kama hivyo viliwasilishwa basi hawana kosa na hawana Cha kujibu.
Ni mahakama tu ndio inaweza kusema Fulani hana kesi ya kujibu.

Kujibu si lazima uwe mshtakiwa, unaweza kuwa shahidi muhimu wa kuthibitisha forgery.

Tena inatakiwa barua atakayoandikiwa DCI copy ipekekwe Takukuru DSM upanga upande wa Ilala.
 
Sawa, nakubaliana nawe kuwa ni mahakama tu yenye kuamua wakujibu. Lakini serikali ya mtaa iliyoidhinisha kuwa na marehem na msimamizi wa mirathi ndio wahanga wa hili.
 
Ndugu Mkurugenzi wa Ritta
Huyu ninayemwongelea ni mmoja wa ndugu zangu aliefariki 2019
Marehemu Edwin Moshi mwenye Kitambulisho cha Nida No 19450805-14115-00001-29
alifariki tar 19-2-2019 Hosptial ya Kinondoni hospital na ugonjwa wa kansa ya kibofu

Marehemu ameacha jumla ya watoto wanne wawilli wa Ndoa na wawili wa nje na wote wana umri zaidi ya miaka 18

Baada ya kufariki alipata tangazo la kifo no BD 0668249(idara ya msajili wa vizazi na vifo)
Tangu afariki msimamizi wa mirathi za marehemu aliwasumbua sana watoto ndani ya miaka mitatu na nusu aligoma kufungua mirathi akiogopa baadhi ya watoto wa ndoa walipingana na e wakati wa matanga hasa upande wa mgao

Marehemu alizikwa makaburi ya Mbweni chini ya Ruhusa ya Serikali za mtaa mbweni
Marehemu aliishi maeneo ya karakata -airport dsm

Baada ya kuona adhma yake haiwezekani akifungua mirathi dar akaenda Moshi Kilimanjaro
Kama tujuavyo kupatikana kwa cheti cha kifo kunahitaji
-Tangazo la kifo
-Barua ya serikali za mtaa anapoishi marehemu na muhtasari......

Kwa kuogopa watoto kutosoma muhtasari alikuja Moshi akaghushi nyaraka pendwa hapo juu zikionyesha marehemu alifia Moshi -Mamba kotela /Na alikuwa akiishi Mamba kotela na huku akijua marehemu hajawahi kuwa na nyumba wala kuishi mmamba kotela wala kufa Moshi mamba kotela

June 16 2022
Msimamizi aliweza kuidanganya ofisi yako tukufu na kufanikiwa kupata cheti cha kifo no 100000293415 Moshi kikionyesha
-Marehemu amefia Mamba kotela
-marehemu alikuwa akiishi mamba kotelaa
-marehemu amekufa na natural death
na sio kansa ya kibofu kama tangazo la kifo la kinondon hospitali linavyosoma

Haitoshi akaenda mahakama ya moshi mamba akaidanganya mahakama kwa kuwaonyesha chti cha kifo cha rita toka moshi huku akijua marehemu amefia dar es salaam ameishi dar na amezikwa dar bila ya kujumuisha watoto wote mahakamani na mirathi ikatolewa bila ya baadhi ya watooto kujumuishwa(hili la mahakama wako nalo ngazi za juu)

Baada ya kuoomba nyaraka alizotumia mahakaman kuidhinisha mirathi anayoijua toka sept2022 alikubali kukabidhi nyaraka za mirathi march mbele ya wanasheria
march 2023

Ndugu Mkurugenzi hawa Yatima wanateseka sana kwa sababu ya mali za baba yao yapo mengi uwezi elza yote hata baadhi ya viwanja vya marehemu amegoma kuviingiza kwenye muhtasari huku akijua n mali ya marehemu(liko mahakaman)na ni kosa mojawapo la kutaka kutpanya mali za marehemu

Tunaomba uchunguzi wako kwa yoote hayo juu na kwa kuwa iko wazi cheti ch kifo kinatoka pale maarehemu alipofia tunaomba baada ya uchunguzi cheti hiki kiidhinishwe ni batili na kutohusika popote mpaka kitakapopatikana cheti halisi cha kifo cha marehemu mpendwa baba yao dar es salaa,m

tumeona kuweeka wazi kwa kuwa swala hili linajulikana sasa pale moshi na msimamizi ameoneakana mara kwa mara ofisi za moshi rita

Kama taasisi ya kusaidia wenye shida za mirathi hasa yatima na wajane tunaimani offisi yako italifanyia kazi kama maombi ya barua yatakayoletwa

ahsante
Marehemu aliacha mali kiasi gani
 
Natumaini barua yenyewe ilitumwa huko RITA na hii hapa ni nakala tu ya wazi kwa taarifa ya umma. La sivyo, hatustahili kuvilaumu vyombo vya umma kwa kutotimiza wajibu kama tunavitaarifu kwa njia kama hii.
 
Back
Top Bottom