Mkuki kwa nguruwe [dr. Ulimboka] kwa binadamu [RPC Barlow]

MAFUNZO

Member
Sep 4, 2012
47
29
Nimesoma na kusikiliza maelezo Ya MANUMBA. kuwa polisi wamefanikiwa kuwapata wahalifu kwa kutumia mawasiliano ya simu. Inavyoonesha Muuaji..alitoweka na simu ya Mwl. kisha alitoa laini ya simu ya mwl. Doroth na kumpatia simu hiyo mwanamke mwingine...pasipo jua, kila simu huwa na serial number ambayo inakuwa unique.

Ndipo polisi walipofuatilia mawasiliana ya simu ya Mwl. hadi waliponasa mwanamke huyo na kumtaja aliyempa simu hiyo...na hatimaye wahalifu wakatiwa nguvuni.

Swali kwa nini ushahidi wa gazeti la Mwana halisi wa simu......ulipelekea gazeti kufungiwa? .....
 
Hao wote ni viongozi wanaotumika kwa misingi ya kuibeba ccm hata pale utaifa na haki ya mtu unapohitaji huduma yao wao hujifanya wamevaa miwani ya mbao na kutia pamba masikioni.

Kipi raisi kuthibitisha,
1. wauwaji wa Mwangosi wakionekana kwenye picha moja kwa moja, takribani polisi saba akiwemo RPC Kamuhanda

2. Watesi wa Dr ulimboka aliehai, pamoja na mawasiliano ya simu kutoa ushahidi kamili, lakini dr pia kathibitisha

3. Wauwaji wa Balrow ambao walitokomea usiku isipokuwa kwa upelezi na purukushani kibao za hapa na pale nk

Hapo utaona ukweli wa Kauli yako MKUKI KWA NGURUWE (WANYONGE) KWA BINADAMU MCHUNGU (Serikali na walinzi wake)

Mimi nadhani kutunza kumbukumbu na record zote nimuhimu sana ili muda ukiwadia kila mtu abebe mzigo wake.

-Leo waziri mkuu wa italy amelamba mvua nne, japokuwa amekata rufaa hilo ni jambo jengine.
-Kule misri walotumia madaraka vibaya sasa hivi wanajutia matendo yao

Siku sisiemu watadondoka itatubiji kushughulika na madhila yote waliyosabaisha walipokuwa madarakani ikiwepo mauwaji na kupuuza haki za wanyonge.
 
Hii ndiyo inadhihirisha kuwa magogoni ndiyo waliohusika na tukio la Dr.Ulimboka. Inashangaza kuona ushahidi wa simu pekeyake unatumika na unafanikisha kukamatwa kwa mtuhumiwa. Lakini kwenye tukio la Dr.Ulimboka pamoja na yeye mwenyewe kutoa maelezo ya kuwezesha kukamatwa kwa wahalifu bado hawataki kufanyia kazi. Kumbe usalama ni kwa wakubwa tu, sisi ni kuishi kwa kudra za mwenyezi Mungu tu.
 
Hao wote ni viongozi wanaotumika kwa misingi ya kuibeba ccm hata pale utaifa na haki ya mtu unapohitaji huduma yao wao hujifanya wamevaa miwani ya mbao na kutia pamba masikioni.

Kipi raisi kuthibitisha,
1. wauwaji wa Mwangosi wakionekana kwenye picha moja kwa moja, takribani polisi saba akiwemo RPC Kamuhanda

2. Watesi wa Dr ulimboka aliehai, pamoja na mawasiliano ya simu kutoa ushahidi kamili, lakini dr pia kathibitisha

3. Wauwaji wa Balrow ambao walitokomea usiku isipokuwa kwa upelezi na purukushani kibao za hapa na pale nk

Hapo utaona ukweli wa Kauli yako MKUKI KWA NGURUWE (WANYONGE) KWA BINADAMU MCHUNGU (Serikali na walinzi wake)

Mimi nadhani kutunza kumbukumbu na record zote nimuhimu sana ili muda ukiwadia kila mtu abebe mzigo wake.

-Leo waziri mkuu wa italy amelamba mvua nne, japokuwa amekata rufaa hilo ni jambo jengine.
-Kule misri walotumia madaraka vibaya sasa hivi wanajutia matendo yao

Siku sisiemu watadondoka itatubiji kushughulika na madhila yote waliyosabaisha walipokuwa madarakani ikiwepo mauwaji na kupuuza haki za wanyonge.

Critical analysis,umemalizaaaa!
 
Unaona mambo yalivyokuwa...ile issue ya Mwanza wahalifu lazima wajue itakula kwao maana wameua boss wa police.
 
They can put us in jail cells,torture us,kill some of us but no matter what,''We shall overcome'' yes we can
 
Damu na roho ya mtu haviendi bure walioua Mwangosi, Barlow watajulikana hadharani siku moja. Kuua ni dhambi haimpendezi Mungu na mwanadamu.
 
Binafsi naichukia hii serikali kuliko hata shetani,maana uovu wao umezidi hata wa shetani.
 
MKuki kwa nguruwe ,ujumbe huu haumwachi mtu, heko kwako mtoa mada. hata Ulimboka alijionea mwenyewe jinsi maumivu yanavyokuwa wakati wa maradhi hivyo ni jinsi gani? mtu anaye taabika na maradhi anavyoathiriwa na mgomo wa kinyama [daktari anafahamu mgonjwa huyu nikifanya hivi anapona, na nikiacha anakufa] sasa DR Uli wenzake walimuokoa .waliomdhuru yy mwenyewe anasiri nao nzito ndo maana hatoi ushirikiano kwa vyombo vya dola. ndugu zangu unapopata tatizo unakwenda kutoa maelezo yako polisi jiulize baada ya kuwa fit ameenda polisi kutoa maelezo na kuwataja waliomtesa au anafanya ubabaishaji changamoto aje mbele yetu na kusema nimekwenda polisi nimetoa maelezo na kuwataja wale wote walionisulubu tusubir utekelezaji wa polisi hapo ndipo tuilaumu serikali. siyo kila uhalifu unao tokea hapa nchini au duniani wahalifu wake lazima wakamatwe kwa muda mfupi.mhalifu akiwa smart bila kuacha chembe ya ushahidi kazi ya kipelelezi bila ushirikiano na muathirika huwa ngumu saaana.
 
tazama kingunguliko alivyokubali kuwekewa mavi kwenye akili yake, ili Ridhwani Kikwete aje kumtawala yeye na wajukuu wake pamoja na kuwa hata degree alipewa na jaji juma. Hawa ndio tuharakisheni kuchukua nchi tuje tuwachome moto, na ndio maana wanaendelea kuishi kama jehanamu hunu duniani kwa kuwa hata huku kujikomba kwao hakulipi, watoto wake wanasoma shule za kata, yeye yuko busy kuharisha kwa mdomo namna hii
 
Mwanahalisi limefungiwa kwa sababu limewaumbua, wakashindwa kujitetea, wakaamua kuziba mdomo kwa nguvu ya sheria kandamizi wanayoitumia kama kinga.
 
Nimesoma na kusikiliza maelezo Ya MANUMBA. kuwa polisi wamefanikiwa kuwapata wahalifu kwa kutumia mawasiliano ya simu. Inavyoonesha Muuaji..alitoweka na simu ya Mwl. kisha alitoa laini ya simu ya mwl. Doroth na kumpatia simu hiyo mwanamke mwingine...pasipo jua, kila simu huwa na serial number ambayo inakuwa unique.

Ndipo polisi walipofuatilia mawasiliana ya simu ya Mwl. hadi waliponasa mwanamke huyo na kumtaja aliyempa simu hiyo...na hatimaye wahalifu wakatiwa nguvuni.

Swali kwa nini ushahidi wa gazeti la Mwana halisi wa simu......ulipelekea gazeti kufungiwa? .....

Hao maaskari ni wajing.a sana kwanini wanatoa siri iliyotumika kukamata waarifu? Hiyo Serial Inaitwa IMEI.
 
Nimesoma na kusikiliza maelezo Ya MANUMBA. kuwa polisi wamefanikiwa kuwapata wahalifu kwa kutumia mawasiliano ya simu. Inavyoonesha Muuaji..alitoweka na simu ya Mwl. kisha alitoa laini ya simu ya mwl. Doroth na kumpatia simu hiyo mwanamke mwingine...pasipo jua, kila simu huwa na serial number ambayo inakuwa unique.

Ndipo polisi walipofuatilia mawasiliana ya simu ya Mwl. hadi waliponasa mwanamke huyo na kumtaja aliyempa simu hiyo...na hatimaye wahalifu wakatiwa nguvuni.

Swali kwa nini ushahidi wa gazeti la Mwana halisi wa simu......ulipelekea gazeti kufungiwa? .....
ombwe la uongozi ndio tatizo linalokula nchi yetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom