Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,196
Hii kauli huwa inatusaidia kututia moyo tu, but there is nothing like that. Watu wanaiba na kuiba na mwisho wa siku wakishatengeneza pesa za kutosha wanaokoka na mbinguni wanakwenda, malipo wanakuwa wamelipwa wapi? Wewe ishi maisha yanayowezekana kwako sasa, usihangaikie habari ya baadaye itakuwaje?malipo hapahapa duniani.