TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,919
- 11,320
Inatakiwa hasira za box uzihamishie hapo pahala!.
Wewe Yegomasika;
sasa wewe nawe, he!!
Akihamishia hasira hapo si ndio atapandika mateke na makofi mpaka ashindwe kuzaa???????? au sijaelewa?
Inatakiwa hasira za box uzihamishie hapo pahala!.
Vera... U R very right!!
Wanaume wanaopiga wanawake wanajua kupiga kote kote, hii mostly inakuwa driven na wivu. Ni wabembelezaji wazuri na ving'ang'anizi!! Saa ingine unakuta demu anaonewa huruma na ndugu zake wanamuondoa kwa mwanaume lakini after a week or a month anawatoroka ndugu zake anarudi kwa mwanaume. Na huyu mwanaume anakuwa obsessed kiasi kwamba akiachwa anaweza kuua au kujiua.
MTM... HAPO PENYE BOLD....emotions za nguvu....Profile ya wapigaji inaweza kuwa hivi;Mara nyingi wapigaji huwa ni watu wa kujiexpress mno na wana emotion za nguvu, kwa hiyo wakichukia no soo na wakifurahi ni soo na wakiwa kwenye kilimo kwanza pia huwa soo; its a "see-saw" stuff, always ecstatic!!! Lakini kiukweli kupiga ni ugonjwa na unaanzia kwenye malezi ya mtu
Nalinganisha wanaume wanaopiga wake zao na wanawake wanaowashautia wanaume zao hovyo hata mbele za watu----ITS A DISEASE THAT NEEDS TREATMENT
Domestic violence has two faces, the more prominent one is ukandamizaji kwa mwanamke kutoka kwa jibaba jahili (in a few cases wanawake wanaotandika waume zao); the second one ambayo huwa mara nyingi haizungumziwi ni provocation!!! na hapa ndio paugumu kupadiskasi
Hebu tupe somo maana inaelekea una uzoefu katika fani hii Mkuu.usiseme hivyo kwani hata kama hukuwahi kufikiria kumpiga mpenzi wako kuna baadhi ya mambo yanaudhi na yanaweza kukulazimisha tu kuchukua hatua ya chriss.
usiseme hivyo kwani hata kama hukuwahi kufikiria kumpiga mpenzi wako kuna baadhi ya mambo yanaudhi na yanaweza kukulazimisha tu kuchukua hatua ya chriss.
Hebu tupe somo maana inaelekea una uzoefu katika fani hii Mkuu.
Ni mambo gani yanakufanya utembeze mkong'oto?