Mkong'oto unapodhaniwa kuwa ishara ya mapenzi....

Vera... U R very right!!

Wanaume wanaopiga wanawake wanajua kupiga kote kote, hii mostly inakuwa driven na wivu. Ni wabembelezaji wazuri na ving'ang'anizi!! Saa ingine unakuta demu anaonewa huruma na ndugu zake wanamuondoa kwa mwanaume lakini after a week or a month anawatoroka ndugu zake anarudi kwa mwanaume. Na huyu mwanaume anakuwa obsessed kiasi kwamba akiachwa anaweza kuua au kujiua.

Thanks ndugu yangu....
umegusia kitu muhimu...
hii obsession huwainatokana na nini?
 
Mara nyingi wapigaji huwa ni watu wa kujiexpress mno na wana emotion za nguvu, kwa hiyo wakichukia no soo na wakifurahi ni soo na wakiwa kwenye kilimo kwanza pia huwa soo; its a "see-saw" stuff, always ecstatic!!! Lakini kiukweli kupiga ni ugonjwa na unaanzia kwenye malezi ya mtu

Nalinganisha wanaume wanaopiga wake zao na wanawake wanaowashautia wanaume zao hovyo hata mbele za watu----ITS A DISEASE THAT NEEDS TREATMENT
MTM... HAPO PENYE BOLD....emotions za nguvu....Profile ya wapigaji inaweza kuwa hivi;
1. Wako very possessive..hawataki kuona kitu/mtu wake anaangaliwa hata kusalimiwa na mtu, wanajiona wana all the power over that person..wanapohisi powers hizo ziko threatened hupagawa na kushikwa na kama kichaa hivi!
2. Lakini tukiacha kwenye emotions...hawa watu pia nadhani wanakosa negotiation skills..wanaume wanaopiga wake zao mara nyingi wana mabavu hata kwa wanaume wenzao ila kwa sababu ya kujistahi hujizuia kurusha ngumi kila saa maana itawapunguzia heshima.

3.Malezi nayo huchangia..kama mtu utotoni aliendekezwa kuwa mgomvi, mwenye kupigana badala ya kumaliza tofauti kwa mazungumzo basi huendelea hivi hivi.

4.Watu hawa pia ni waoga sana kuwapoteza wenzi wao..kwa sababu kuachwa na mke ni moja wapo ya defeat ya hali ya juu kufuatana na mawazo yao......
 
Domestic violence has two faces, the more prominent one is ukandamizaji kwa mwanamke kutoka kwa jibaba jahili (in a few cases wanawake wanaotandika waume zao); the second one ambayo huwa mara nyingi haizungumziwi ni provocation!!! na hapa ndio paugumu kupadiskasi

Pamoja na ugumu unaosema..hebu tujaribu kuibua yaliyomo kwenye hii provocation...nani ana provoke mwingine? kivipi?
 
usiseme hivyo kwani hata kama hukuwahi kufikiria kumpiga mpenzi wako kuna baadhi ya mambo yanaudhi na yanaweza kukulazimisha tu kuchukua hatua ya chriss.
Hebu tupe somo maana inaelekea una uzoefu katika fani hii Mkuu.
Ni mambo gani yanakufanya utembeze mkong'oto?
 
usiseme hivyo kwani hata kama hukuwahi kufikiria kumpiga mpenzi wako kuna baadhi ya mambo yanaudhi na yanaweza kukulazimisha tu kuchukua hatua ya chriss.

Hebu tupe somo maana inaelekea una uzoefu katika fani hii Mkuu.
Ni mambo gani yanakufanya utembeze mkong'oto?
 
Hebu tupe somo maana inaelekea una uzoefu katika fani hii Mkuu.
Ni mambo gani yanakufanya utembeze mkong'oto?

Kwa mfano unarudi nyumbani ukitokea kwenye vikao vya viti virefu. Afu mtu anaanza kuuliza ulikuwa wapi?

Usipoenda kwenye vikao na kuhamua kubaki nyumbani, she says you are on my ways, i want to clean that chair, that couch too, your socks stinks, you get on my nerves, and a load of crap.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom