Mkong'oto unapodhaniwa kuwa ishara ya mapenzi....

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,457
956
Rihanna regrets returning to Brown after assault

Last Updated: Thursday, November 5, 2009 | 9:02 AM ET Comments20Recommend17

The Associated Press

rihanna-cp-RTR24XFF.jpg
Pop star Rihanna, seen in court with her attorney in June, began opening up about the assault this week. (Associated Press)Rihanna said Thursday that she feels "embarrassed" for returning to ex-boyfriend Chris Brown after he beat her in April and warned other women struggling with domestic violence to not let themselves be blinded by love.
"It's completely normal to go back. You start lying to yourself," the 21-year-old singer said on Good Morning America in some of her first public comments following the beating.
"I'll say that to any young girl who is going through domestic violence: 'Don't react off of love.' "
Brown, 20, was arrested Feb. 8, hours after he was accused of beating Rihanna after the couple attended a pre-Grammy Awards party. He later pleaded guilty to felony assault and a judge ordered Brown and Rihanna to stay away from each other.
In the interview, Rihanna said she was ashamed to return to Brown after the attack. "That's embarrassing — that's the type of person I fell in love with. So far in love, so unconditional, that I went back," she said. "That's not what I want to teach people."
The attack occurred in Los Angeles' Hancock Park neighbourhood as Brown drove a rented sports car. A Los Angeles police detective described a brutal attack in a search warrant affidavit filed in the case, stating Brown hit, choked and bit Rihanna and tried at one point to push her from the car. A photo of her bruised face was circulated on the internet.
Rihanna said she soon realized that, as a role model to young women, her returning to Brown sent the wrong message.
'Selfish decision'

"When I realized that my selfish decision for love could result in some young girl getting killed, I could not be easy with that part. I could not be held responsible for telling them, 'Go back.' "
rihanna-chris-brown-cp-4959.jpg
Rihanna, seen here with Brown in June 2008, said she felt ashamed about returning to him after the attack. (Matt Sayles/Associated Press)Brown's career suffered after his arrest, with sponsors dropping him and radio stations refusing to play his music. Both he and Rihanna had to cancel several high-profile appearances, including planned performances at the Grammy Awards the day of the attack.
Brown has apologized to fans and has said he has repeatedly apologized to Rihanna for the attack.
In the interview Thursday, she said: "I am strong. This happened to me. I didn't cause this. I didn't do it. This can happen to me and it can happen to anybody."
ABC will air more chunks of the interview on Friday's Good Morning America and then Friday evening on the news magazine 20/20.
Rihanna's interview coincides with the debut of her new single, Russian Roulette, from her upcoming album, Rated R. It's her first CD since 2007's multiplatinum Good Girl Gone Bad.

Ndugu zanguni......
Nampa pongezi sana bibie Rihanna kujitupia madongo mwenyewe kwa uamuzi wake mwenyewe.
Hali hii huwapata wengi..mtu unafanyiwa kitendo cha kutishiwa maisha lakini kwa sababu ya mapenzi..uko tayari kusamehe.
Je ingekuwa wewe umebondwa kisawasawa na kuaibishwa vile ungerudi?.
Je wewe mwanaume unayebonda mke au girlfriend, unadhani ni ishara ya mapenzi?
Wivu ukizidi sana waweza kujikosesha hata kile ulichokuwa unakigombea... kipi bora?
Tujadili..najua kuna wengi na mengi humu JF... mafundisho yenu ni mali kwa watu wenye kujikuta kwenye hali kama ya Rihanna au Chris Brown.
 
Kwa maoni yangu wanaume wenye kupiga maGF/wake zao wana matatizo makubwa sana. Wakati mwingine unakuta mke/GF anapigwa kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu hata kama katenda kosa kubwa kwanini msikae chini tu na kuongea kama watu wazima na kumalizi tofauti zenu badala ya kumdhalilisha mwenzio kwa mkong'oto!? Hili la kutoa mkong'to mimi siliafiki kabisa kama mmeshindana kiasi hicho basi ni bora kila mtu achukue 50 zake.
 
Ukiangalia historia ya wapigaji..huwa hawaachi na pia hawaachwi! Sijui inakuwaje.
Wapigaji wengi hujua kujikomba na kubembeleza na kuwapumbaza wahusika kiasi cha kuamini hawatarudia tena.
 
Ukiangalia historia ya wapigaji..huwa hawaachi na pia hawaachwi! Sijui inakuwaje.
Wapigaji wengi hujua kujikomba na kubembeleza na kuwapumbaza wahusika kiasi cha kuamini hawatarudia tena.

It's that good dik dik....don't ever underestimate it's power coz if it wasn't good, no woman would even waste their time on it.
 
Jamaa kama anakubali kwenda mpaka down town, hata kama anatembeza mkong'oto kiasi gani-haachiki bana!.
 
It's that good dik dik....don't ever underestimate it's power coz if it wasn't good, no woman would even waste their time on it.

Ila hii ni kweli nina shost wangu anadundwa kweli kweli na BF wake, utakuta wanaachana lakini baada ya muda utakuwa wapo pamoja. Ikafika kipindi nikamuuliza kwa nini humuachi na wakati wapo wanaume wengi wanakuhitaji, jibu alilonijibu mwenyewe nilichoka, eti dik dik ya bf wake inamnahiii vizuri.
 
Pretty..
its more than that....wanaume wapigaji hujua kubembeleza...ni ving'anga'niz kwelikweli... na ukilazimisha kumwacha unaishia kama yule mdada wa Denmark alivyouawa na yule mkaka mTz!
ila ngoja tuendelee kupokea maoni...
 
ni utoto unawasumbua, wakikua wataacha!

wakati mwingine watu high profile kama hawa wanapenda kufanya mambo ya 'kitoto' kama haya just for publicity..whether negative au positive...

Huku kwetu wengi tu wanapigwa ki hivyo sema ndo hawapati pa kusemea wala msaada wa kisheria.

Huyu Rihana mwenyewe kama sio public pressure si alikuwa keshamsamehe huyu? ashukuru ni jamhuri ndo huwa inaproprosecute.
 
Kwa hiyo sisi tunao poke poke, ukimdunda ndio kwaheri ??
 
ni utoto unawasumbua, wakikua wataacha!

wakati mwingine watu high profile kama hawa wanapenda kufanya mambo ya 'kitoto' kama haya just for publicity..whether negative au positive...

Huku kwetu wengi tu wanapigwa ki hivyo sema ndo hawapati pa kusemea wala msaada wa kisheria.

Huyu Rihana mwenyewe kama sio public pressure si alikuwa keshamsamehe huyu? ashukuru ni jamhuri ndo huwa inaproprosecute.

Siyo utoto ndugu..ni hulka ya mtu.... ni kushindwa kukomaa katika kutatua migogoro na kudhibiti hasira - hulka ambazo siyo nzuri.
Jamhuri ndiyo ina prosecute lakini utashangaa Tz vyombo vya dola ndio vya kwanza ku dismiss malalamiko ya vipigo na unyanyasaji majumbani ( domestic violence) .

Angalau sasa Afande Mwema kutokana na exposure katika international fora ameweza kuona wenzetu wanafanya nini na hivyo ku champion uanzishaji wa desks maalum katika baadhi ya vituo vya polisi kushughulikia kesi hizi.Mafunzo pia yanaendelea kutolewa kwa askari ili kujenga uelewa wa tatizo na mbinu za kushughulikia.
 
Ila hii ni kweli nina shost wangu anadundwa kweli kweli na BF wake, utakuta wanaachana lakini baada ya muda utakuwa wapo pamoja. Ikafika kipindi nikamuuliza kwa nini humuachi na wakati wapo wanaume wengi wanakuhitaji, jibu alilonijibu mwenyewe nilichoka, eti dik dik ya bf wake inamnahiii vizuri.

Juzi juzi tu hapa Whitney Houston alivyokuwa aki promote album yake alifanya mahojiano sijui na nani yule..Oprah maybe..sina uhakika. Ila nakumbuka alisema kilichomfanya abaki kwenye ndoa na Bobby kilikuwa ni mapenzi (mapenzi ni euphemism ya good dik dik)
 
Ahahahahahaaa...wewe inabidi usahau babu. Inapigi ile kitu uikune inavyopaswa. Jaribu siku moja uone...atakuganda kaa sumaku

Wengine kwa kufakamia kuku wa viwanja tumekuwa wazito. Labda nitumie blue pills.
 
Pretty..
its more than that....wanaume wapigaji hujua kubembeleza...ni ving'anga'niz kwelikweli... na ukilazimisha kumwacha unaishia kama yule mdada wa Denmark alivyouawa na yule mkaka mTz!
ila ngoja tuendelee kupokea maoni...

Vera... U R very right!!

Wanaume wanaopiga wanawake wanajua kupiga kote kote, hii mostly inakuwa driven na wivu. Ni wabembelezaji wazuri na ving'ang'anizi!! Saa ingine unakuta demu anaonewa huruma na ndugu zake wanamuondoa kwa mwanaume lakini after a week or a month anawatoroka ndugu zake anarudi kwa mwanaume. Na huyu mwanaume anakuwa obsessed kiasi kwamba akiachwa anaweza kuua au kujiua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom