Mkoa mzima wa Dar Es Salaam una Mbunge mmoja tu!

Kuna mbunge wa jimbo la Kigamboni Mh. Dk. NDUGULILE (gamba) nae hasikiki kabisa au nae Kaenda kwenye Mgomo wa madaktari wenzake?
 
kuna jembe anaitwa zuberi mtemvu wa temeke hawana shida kama ubungo huku temeke ni lami kila mtaa hapigi kelele yeye ni vitendo sasa nyinyi endeleeni kula maneno wenzenu wanatembelea lami
 
sii kweli wapo wawili tuu wa kuchaguliwa Mdee mnyika na Halima ila wapo wa vti maalumu pia
 
Tuache hoja zisizo na technical evident! Mnyika namkubli sana ila sio vyema kusema dar hakuna wabunge wengn! Hata kama hatuwapend bt bdo ni wabunge tu! Ni ulimbukeni kutanguliza hisia kuliko facts!
 
Ni vigezo gani ulivyotumia kusema hivyo? Ni kuchangia Bungeni? Kuandikwa kwenye vyombo vya habari? Utekelezaji wa ahadi za uchaguzi? Ni vyema tukawapima kwa mizania sawa pasipo kuweka ushabiki.

Katujengea barabara ya Kimara Bunyokwa, Chuo kikuu Bahama mama, maji Kilungule nk.
 
Back
Top Bottom