Mkoa mzima wa Dar Es Salaam una Mbunge mmoja tu!

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
930
217
Mkoa mzima wa Dar Es Salaam una mbunge mmoja wa jimbo la Ubungo, Mh. John John Mnyika! Anayebisha amtaje mbunge mwingine kama yupo tofauti na Mnyika.
 
Mkoa mzima wa Dar Es Salaam una mbunge mmoja wa jimbo la Ubungo, Mh. John John Mnyika! Anayebisha amtaje mbunge mwingine kama yupo tofauti na Mnyika.

Halima Mdee leo mmemkana habari njema.
 
watu wakishajua ku type kwenye computer na kutumia net matatizo sana. Mazoezi yao wanakuja kufanyia humu jf
 
Halima Mdee leo mmemkana habari njema.

ritz si umeshaambiwa akitoka mbunge wa taifa mnyika anafuatiwa na halima,,,kama ulimsikiliza vizuri yule waziri aliyefumaniwa singida alikuwa analalamika kwamba eti kila siku mtu mmoja kila mara anachangia eti watu wata choka
jj kila kitu anachangia sio maji tu ya dar hata ukimtizama anachangia kwa data za serikali anazichambuwa

 
Ni vigezo gani ulivyotumia kusema hivyo? Ni kuchangia Bungeni? Kuandikwa kwenye vyombo vya habari? Utekelezaji wa ahadi za uchaguzi? Ni vyema tukawapima kwa mizania sawa pasipo kuweka ushabiki.
 
ningekuwa mshauri wa mnyika, ningemwambia asigombee tena ubungo, wala ubunge..anasense of humour, tatizo haji kuchukua maoni, ofisi yake hasemi ilipo
 
Back
Top Bottom