Mkinga yu smart!!

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Namfuatilia Kipima Joto ITV. Hoja ya Tanesco kutotoa huduma japo wateja wapo tayari kulipia lakini umeme hakuna, sababu kibao.Huyu jamaa Mkinga staili yake ya kutoa hoja ni ya kizalendo haswa, anagenga hoja kwa hisia kali kuhusu Dowans na Richmond.
 
Back
Top Bottom