Mkewe hana amani.

chetuntu

R I P
Jan 10, 2011
949
109
Habari wanajamii, hope mko bien wote. Jaman me nnatatizo linanikwaza sana. Hapa ofisin natumika na mkaka mmoja . Sina mahusiano nae zaidi ya kikaz na wala hajawahi kunitongoza. Ila ananisifia sana kikazi, na shughuli zangu za ujasiliamali kwa watu mbalimbali ambao wamemwambia mkewe. Me pia nilimshauri hadi kafikia kuanzisha miradi kwa msaada wa some ideas toka kwangu. Tatizo linakuja mke wake hana amani kabisa juu yangu . Nimejaribu kumwambia ukweli hataki kuelewa. Naombeni ushauri nifanyeje kurudisha amani.
 
Habari wanajamii, hope mko bien wote. Jaman me nnatatizo linanikwaza sana. Hapa ofisin natumika na mkaka mmoja . Sina mahusiano nae zaidi ya kikaz na wala hajawahi kunitongoza. Ila ananisifia sana kikazi, na shughuli zangu za ujasiliamali kwa watu mbalimbali ambao wamemwambia mkewe. Me pia nilimshauri hadi kafikia kuanzisha miradi kwa msaada wa some ideas toka kwangu na alimshirikisha mkewe nikafahamiana nae. Tatizo linakuja mke wake hana amani kabisa juu yangu Nimejaribu kumwambia ukweli hataki kuelewa. Naombeni ushauri nifanyeje kurudisha amani.
 
Ilimradi unajua unachokifanya huna haja ya kurudisha imani unless kuna mawasiliano/mazoea mabaya kati yako na huyo kaka. Vinginevyo tulia endelea na kazi zako. Huyo mwanamke atakuwa hajiamini.
 
wewe usichoke kumhauri naamini wakishatoka kimaisha huyo mama atakuwa na amani na kukuamni,keep on advising him na usiwe mchoyo hata kidogo wa ushauri
 
inategemea ni wakati gani anakusifia na pia unachukua sehemu kubwa kiasi gami katika mazungumzo yao, mwambie jamaa apunguze kukusifia
 
Habari wanajamii, hope mko bien wote. Jaman me nnatatizo linanikwaza sana. Hapa ofisin natumika na mkaka mmoja . Sina mahusiano nae zaidi ya kikaz na wala hajawahi kunitongoza. Ila ananisifia sana kikazi, na shughuli zangu za ujasiliamali kwa watu mbalimbali ambao wamemwambia mkewe. Me pia nilimshauri hadi kafikia kuanzisha miradi kwa msaada wa some ideas toka kwangu. Tatizo linakuja mke wake hana amani kabisa juu yangu . Nimejaribu kumwambia ukweli hataki kuelewa. Naombeni ushauri nifanyeje kurudisha amani.

red: haujawahi kutongozwa
blue: umetongozwa (usibishe pliz)
 
Chetuntu... kepp doing what you do best, hayo mengine mwache afe nayo... wivu nao ni aina ya kichaa
 
jithidi utafute muda umtembelee huyo mkewe kama surprise nyumbani kwake na kama hakuna shida naye apajue nyumbani kwako na kumjua mumeo pia (kama unaye). mpe no yako ya simu iliyo hewani muda wowote na mpe na mumeo pia. na kila mnapopanga mambo makubwa ya hiyo miradi yenu mhakikishe naye anahudhuria mazungumzo yenu na anaparticipate as a partner au shareholder. msimtenge na biashara zenu ni mdau mkubwa na anstahili kushiriki kila hatua.

in short, fungueni mapazia muwe wazi kwake kumuondolea wasiwasi wowote anaoweza kuwa nao na hakika amani itamrejea
 
Kama hana amani kabisa ni haki yake yake maana unaweza mchakachua mme wa mwenzio by the way muneshe kuwa wewe huna uhusiano nae na usikute jamaa anampango wa kukutokea sasa anavuta kasi tu.
 
Jarib kupunguza ukarib na mume wa mwenzio..jiweke kwenye nafac yake natumai ucngejickia vizur mpe heshma yake km mke wa boss wako.wanawake tupendane bwana ucmpe mwenzio presha ambazo zinaepukika...
 
Jarib kupunguza ukarib na mume wa mwenzio..jiweke kwenye nafac yake natumai ucngejickia vizur mpe heshma yake km mke wa boss wako.wanawake tupendane bwana ucmpe mwenzio presha ambazo zinaepukika...

Unayemshauri is LATE may her soul R.I.P
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom