Mke wangu kaweka viatu vyake katika gari langu kiti cha mbele!

wakati mwingine mwenzi wako anaweza akakupa sababu ya kutomwamini.........

Leo naona umeaka vizuri, yaani kila ukabandika ni pointi, bila kujali ''thread'' imelalia kwenye jinsia gani! Safi sana!
icon10.gif
 
Mbunifu! Lakini waapi siku hizi "mi-doublediff" haiogopi wanaume za watu kabisa tena ndiyo inapenda inasema wanajua kulea! sema labda kama umezoeahawa wa kudanganya kuwaoa.
 
Mbunifu! Lakini waapi siku hizi "mi-doublediff" haiogopi wanaume za watu kabisa tena ndiyo inapenda inasema wanajua kulea! sema labda kama umezoeahawa wa kudanganya kuwaoa.

Yaani Mzizi ulikuwa unafikiria ninachofikiri. Nilitaka muuliza hao anaowapa lift hawajui ameoa? Au anaingia na gia ya kuoa
 
Ulinzi huo Mkuu... Mwanamke atamlinda mume wake.. Hapo yuko kazini.. USIVITOE mpe heshima yake..

Huyo mwanamke anamlinda mumewe dhidi wanawake wepi? Ili asioe mke wa pili? Mumewe si ana pete ya ndoa mkononi na hao anaowapa lifti si wanajua kabisa kwamba kaoa? Sasa hivyo viatu vitasaidia nini endapo ataamua kuwatongoza hao aliowapa lifti?
 
Kwani hivyo viatu vimefungwa kwa nati kiasi ya kushidwa kuviweka pembeni na kumzuia mtu kukaa kwenye kiti hicho????. Kwa ajili ya kumridhisha WIFE we viache tu na mtu akipanda wa GENDER yeyote utavichukua na utaviweka pembeni na mtu anakaa na ukisha kumshusha unavirudisha tena mahali mama watoto anapotaka viwe na ndoa itaendelea kuwa na amani tu.
 
Mke wangu naona ana wivu! Hivi karibuni ameweka pair moja ya mchuchumio wake matata sana ndani ya gari langu kwenye kiti cha mbele sehemu ya kuwekea miguu. (Muhimu: yeye pia ana gari lake lakini hajaweka kwake!!!)

Nilipomuuliza mbona unaweka hapa imekuwaje? Akanijibu kwa upole sana...'mume wangu nakupenda sana, na kama unanipenda pia basi naomba hivi viatu vyangu usivitoe hapa'.....

Habari ndiyo hiyo wakuu, nifanyeje? Nivitoe kwa nguvu? Je, anadhani mimi waga nawapa lifti wadada? Je, ni wivu unamsumbua?

We mbona hujiamini? Kama unataka kuiba vizuri usiwafiche kuwa una mke, wajue na pia wajue unawaiba tu. Utakuwa salama kwa sababu hawatakuwa na long-term dreams nawe.
 
Mke wangu naona ana wivu! Hivi karibuni ameweka pair moja ya mchuchumio wake matata sana ndani ya gari langu kwenye kiti cha mbele sehemu ya kuwekea miguu. (Muhimu: yeye pia ana gari lake lakini hajaweka kwake!!!)

Nilipomuuliza mbona unaweka hapa imekuwaje? Akanijibu kwa upole sana...'mume wangu nakupenda sana, na kama unanipenda pia basi naomba hivi viatu vyangu usivitoe hapa'.....

Habari ndiyo hiyo wakuu, nifanyeje? Nivitoe kwa nguvu? Je, anadhani mimi waga nawapa lifti wadada? Je, ni wivu unamsumbua?

Jibu ameshakupa mkeo...
Nilipomuuliza mbona unaweka hapa imekuwaje? Akanijibu kwa upole sana...'mume wangu nakupenda sana, na kama unanipenda pia basi naomba hivi viatu vyangu usivitoe hapa'.....
 
Jibu ameshakupa mkeo...
Nilipomuuliza mbona unaweka hapa imekuwaje? Akanijibu kwa upole sana...'mume wangu nakupenda sana, na kama unanipenda pia basi naomba hivi viatu vyangu usivitoe hapa'.....
Sawa mkuu! Heshima mbele kwa wife!
 
hiyo nayo kali,hawezi kukuchunga,lkn viache tu viatu vyake maana hako nikawivu ukivitoa unaweza sbb kasheshe bure isiyo na ulazimu.
 
:cool::DJamani huyu mke has a sense of humor!!!, ....... anamanisha yeye ndiye miguu yako, ukiviona viatu vyake , ukumbuke miguu yake ... halafu ukimkumbuka yeye ujue kuna mambo mazuri ya ndoa yanakusubiri... . Mkuu mbona hiyo imetulia... hata mimi ningependa mke wangu anionyeshe wivu wa kistaarabu kama huo.. Lol. Ka ubunifu tu...
 
Pape be a real man and take out that pair of shoes.... tell her I dont want no shoes in my car...
 
That is simpo, Mimi mke wangu ananivalisha chupi yake kila siku.

Ungekuwa wewe ungefanyaje?
 
Unajua kama viatu kwako kero basi lazima utakuwa unamega nje.otherwise uwepo wa viatu sioni kama ni tatizo as long as ni vya mpezio.otherwise kuwa na amani kwa kuviacha garini ipo siku atavitoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom