Mke wangu kaniletea shoga yake nitembee naye!

Aliongea kiranja mkuu: Ukila vya watu.. na vyako viliwe viliwe.. unaemuita mkeo anajaribu kutumia ipasavyo"uchumi" wake...!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
hapo mkuu ibilisi wa ngono akimwingia m1 kati ya wanandoa lazima afanikiwe kuharibu na upande wa pili ili kusawazisha hapo ni ngoma droo bro!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mke wangu amejiunga na VICOBA na pia NGO moja ya mambo ya kuwawezesha wanawake kibisahara. Amekuwa akisafiri mara kwa mara kwenda mikoani kwenye semina za hiyo NGO yao. Nimekuwa nikilalamika sana kuhusu hiyo tabia yake mpaka tukapelekana kwa wazazi na akaahidi hatosafiri tena.

Miezi miwili iliyopita amenijulisha kwamba amepewa cheo kwenye NGO yao na atalazimika kusafiri sana hivyo kuna shoga yake ndiye atakuja kunipikia na kulala hapo nyumbani kila akisafiri ili kunihudumia mimi na watoto. Nilipinga sana wazo lake lakini akasema hawezi kuacha kusafiri kwa sababu anapata marupurupu kwa ustawi wa familia jambo ambalo si kweli maana tangu ajiunge na hiyo NGO sijaona lolote la maana zaidi ya mavazi ya gharama anayojinunulia.

Tatizo hataki hata siku moja nitembelee NGO yao wala nisafiri naye, mie ni mtumishi serikalini, lakini siwezi kunyimwa hata ruhusa ya wiki moja ili nisafiri naye.
Mabishano yetu hayakupata muafaka na matokeo yake siku aliposafiri, shoga yake akaja pale nyumbani na kufanya shughuli zote zipaswazo kufanyw ana mke na niliporudi usiku nilimkuta sebuleni akinisubiri. Aliniandalia maji ya kuoga na kisha chakula na wakati nakula alikuwa amekaa pale sebuleni akiangalia TV huku tukizungumza.

Tuliishi hivyo kwa wiki nzima hadi mke wangu akarudi na yule shoga yake aliondoka na kurudi kwake. (Huyu dada hajaolewa ila amezaa na jamaa flani huko kwao Songea na mtoto yuko kwa wazazi wake. Hapa mjini anaishi peke yake akijishughulisha na biashara ya kukopesha nguo za kike). Mke wangu aliniuliza kama shoga yake hakumuangusha, yaani alikuwa anaihudumia familia vizuri, nikamjibu kwamba hakuwa na tatizo.

Wiki mbili baadaye mke wangu akaaga anasafiri tena kwenda Dodoma kwenye semina na atakaa kule kwa wiki mbili, hivyo shoga yake atakuja tena kukaa pale nyumbani hadi atakaporudi. Sasa wiki moja tangu mke wangu aondoke tuliishi vizuri tu, lakini wiki ya pili huyu bibie kaanza kunitega na kama mjuavyo wanawake wako smart sana, nilijitahidi sana kukwepa mitego, lakini sikufua dafu, akanidaka tena ilikuwa sebuleni watoto wote walikuwa wamelala.

Naomba nikiri kwamba huyu mwanamke alikuwa ni hodari kweli kweli maana nadhani alikuwa anajua ninachokikosa kwa mke wangu. Tangu siku hiyo alikuwa analala chumbani kwangu mpaka alfajiri ndio anarudi chumbani kwake.
Mke wangu aliporudi nilisikitika sana, maana nilitamani asafiri tena, kutokana na kunogewa na penzi la shoga yake. Hivi sasa tumeendea kukutana mara kwa mara maeneo ya mbali na huyu shoga wa mke wangu na kwa kweli ameniteka kabisa yaani namuwaza wakati wote na nimejikuta nikiwa simtamani mke wangu kabisa.

Lakini cha kushangaza mke wangu wala hajanishitukia na amekuwa akimuamini sana shoga yake kupita kiasi na siku hizi huwa anasafiri mara kwa mara tena huwa anakaa wiki mbili kila akisafiri na huyo shoga yake ndio kawa kama mke wangu, yaani kama dini yangu ingekuwa inaniruhusu ningemuoa awe mke wa pili.

Hebu wana JF niambieni, hivi mke wangu akijua atanilaumu kweli?

Pole sana mkuu
Ila amini kitu kimoja kwamba majaribu yana nguvu kukushinda wewe na imani yako.
Nataka nikwambie jambo siku ya leo na ulifanyie kazi kwa umakini sana.
Mkeo na shoga yake wanafanya kazi moja.NGO anayofanya kazi mkeo ni sawa na NGO anayofanya kazi shoga wa mkeo. Kwahiyo wakati shoga yake anapokuja kufanya kazi hapo kwako basi ijulikane pia mkeo atakuwa ameenda kufanya kazi kwa shoga yake kwa kipindi hicho cha wiki mbili.
Kuna msemo siku hizi watoto wa mjini wanapenda kuutumia kwamba kusafisha nyota. Je umeshasikia hilo? Kwahiyo mkeo akikaa sana na wewe nyota yake inachafuka kwahiyo anapata uhitaji wa kwenda kuisafisha kwa namna nyingine hali kadhalika nawewe unapewa nafasi ya kusafisha nyota yako kwa namna ya ujio wa shoga wa mkeo.
Kwahiyo pana haja sasa wewe kuangalia kama nyota yako imeshasafishika basi ufanye maamuzi mapema kabla nyota haijachafuka na kushindikana kusafishika. Na kuchafuka kwake ni pale mkeo atakapokuja akakukuta ukisafisha nyota na shoga yake roho itambadilika hata kuwa shoga tena ila atakuwa mwizi wake. Akili kichwani mkuu!!!!
 
Hiyo dini yako inakataza kuoa mke wa pili lakini inaruhusu uzinzi!!! Hama hiyo dini nenda ile wanaruhusu wake wanne ili upate kupona!!! Ha ha ha!! Bata kakamatwa na uzi wa manila!!
 
Mke wangu amejiunga na VICOBA na pia NGO moja ya mambo ya kuwawezesha wanawake kibisahara. Amekuwa akisafiri mara kwa mara kwenda mikoani kwenye semina za hiyo NGO yao. Nimekuwa nikilalamika sana kuhusu hiyo tabia yake mpaka tukapelekana kwa wazazi na akaahidi hatosafiri tena.

Miezi miwili iliyopita amenijulisha kwamba amepewa cheo kwenye NGO yao na atalazimika kusafiri sana hivyo kuna shoga yake ndiye atakuja kunipikia na kulala hapo nyumbani kila akisafiri ili kunihudumia mimi na watoto. Nilipinga sana wazo lake lakini akasema hawezi kuacha kusafiri kwa sababu anapata marupurupu kwa ustawi wa familia jambo ambalo si kweli maana tangu ajiunge na hiyo NGO sijaona lolote la maana zaidi ya mavazi ya gharama anayojinunulia.

Tatizo hataki hata siku moja nitembelee NGO yao wala nisafiri naye, mie ni mtumishi serikalini, lakini siwezi kunyimwa hata ruhusa ya wiki moja ili nisafiri naye.
Mabishano yetu hayakupata muafaka na matokeo yake siku aliposafiri, shoga yake akaja pale nyumbani na kufanya shughuli zote zipaswazo kufanyw ana mke na niliporudi usiku nilimkuta sebuleni akinisubiri. Aliniandalia maji ya kuoga na kisha chakula na wakati nakula alikuwa amekaa pale sebuleni akiangalia TV huku tukizungumza.

Tuliishi hivyo kwa wiki nzima hadi mke wangu akarudi na yule shoga yake aliondoka na kurudi kwake. (Huyu dada hajaolewa ila amezaa na jamaa flani huko kwao Songea na mtoto yuko kwa wazazi wake. Hapa mjini anaishi peke yake akijishughulisha na biashara ya kukopesha nguo za kike). Mke wangu aliniuliza kama shoga yake hakumuangusha, yaani alikuwa anaihudumia familia vizuri, nikamjibu kwamba hakuwa na tatizo.

Wiki mbili baadaye mke wangu akaaga anasafiri tena kwenda Dodoma kwenye semina na atakaa kule kwa wiki mbili, hivyo shoga yake atakuja tena kukaa pale nyumbani hadi atakaporudi. Sasa wiki moja tangu mke wangu aondoke tuliishi vizuri tu, lakini wiki ya pili huyu bibie kaanza kunitega na kama mjuavyo wanawake wako smart sana, nilijitahidi sana kukwepa mitego, lakini sikufua dafu, akanidaka tena ilikuwa sebuleni watoto wote walikuwa wamelala.

Naomba nikiri kwamba huyu mwanamke alikuwa ni hodari kweli kweli maana nadhani alikuwa anajua ninachokikosa kwa mke wangu. Tangu siku hiyo alikuwa analala chumbani kwangu mpaka alfajiri ndio anarudi chumbani kwake.
Mke wangu aliporudi nilisikitika sana, maana nilitamani asafiri tena, kutokana na kunogewa na penzi la shoga yake. Hivi sasa tumeendea kukutana mara kwa mara maeneo ya mbali na huyu shoga wa mke wangu na kwa kweli ameniteka kabisa yaani namuwaza wakati wote na nimejikuta nikiwa simtamani mke wangu kabisa.

Lakini cha kushangaza mke wangu wala hajanishitukia na amekuwa akimuamini sana shoga yake kupita kiasi na siku hizi huwa anasafiri mara kwa mara tena huwa anakaa wiki mbili kila akisafiri na huyo shoga yake ndio kawa kama mke wangu, yaani kama dini yangu ingekuwa inaniruhusu ningemuoa awe mke wa pili.

Hebu wana JF niambieni, hivi mke wangu akijua atanilaumu kweli?

uzinzi huo, uaangamia, kwani mepima ukimwi, heeh au tuandae jeneza na mfuko wa lambo wa kukubebea

una hatari ya maisha
 
Endelea kulabua hiyo ni zawadi mkeo kakupatia 2013 Cha msingi mwambie mkeo kama anaweza asafiri mwaka mzima ili utanue mwanzo mwisho
 
kwani na wewe ukigundua kuwa mke wako akienda semina anadadafuliwa utalaumu?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
ama kweli avatar zina danganya.avatar yako mtoa mada na story uliyoileta haviendani na avatar yako
 
Haihitaji kuwa jiniasi,mkeo ni mke wa mtu mwingine!!
Ni ngumu kumeza,ila nakuamrisha meza tu ndugu yangu!!
Na uyo anaekuja home kwako kaja kukumaliza jumla!!
Tega sikio!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mke wangu amejiunga na VICOBA na pia NGO moja ya mambo ya kuwawezesha wanawake kibisahara. Amekuwa akisafiri mara kwa mara kwenda mikoani kwenye semina za hiyo NGO yao. Nimekuwa nikilalamika sana kuhusu hiyo tabia yake mpaka tukapelekana kwa wazazi na akaahidi hatosafiri tena.

Miezi miwili iliyopita amenijulisha kwamba amepewa cheo kwenye NGO yao na atalazimika kusafiri sana hivyo kuna shoga yake ndiye atakuja kunipikia na kulala hapo nyumbani kila akisafiri ili kunihudumia mimi na watoto. Nilipinga sana wazo lake lakini akasema hawezi kuacha kusafiri kwa sababu anapata marupurupu kwa ustawi wa familia jambo ambalo si kweli maana tangu ajiunge na hiyo NGO sijaona lolote la maana zaidi ya mavazi ya gharama anayojinunulia.

Tatizo hataki hata siku moja nitembelee NGO yao wala nisafiri naye, mie ni mtumishi serikalini, lakini siwezi kunyimwa hata ruhusa ya wiki moja ili nisafiri naye.
Mabishano yetu hayakupata muafaka na matokeo yake siku aliposafiri, shoga yake akaja pale nyumbani na kufanya shughuli zote zipaswazo kufanyw ana mke na niliporudi usiku nilimkuta sebuleni akinisubiri. Aliniandalia maji ya kuoga na kisha chakula na wakati nakula alikuwa amekaa pale sebuleni akiangalia TV huku tukizungumza.

Tuliishi hivyo kwa wiki nzima hadi mke wangu akarudi na yule shoga yake aliondoka na kurudi kwake. (Huyu dada hajaolewa ila amezaa na jamaa flani huko kwao Songea na mtoto yuko kwa wazazi wake. Hapa mjini anaishi peke yake akijishughulisha na biashara ya kukopesha nguo za kike). Mke wangu aliniuliza kama shoga yake hakumuangusha, yaani alikuwa anaihudumia familia vizuri, nikamjibu kwamba hakuwa na tatizo.

Wiki mbili baadaye mke wangu akaaga anasafiri tena kwenda Dodoma kwenye semina na atakaa kule kwa wiki mbili, hivyo shoga yake atakuja tena kukaa pale nyumbani hadi atakaporudi. Sasa wiki moja tangu mke wangu aondoke tuliishi vizuri tu, lakini wiki ya pili huyu bibie kaanza kunitega na kama mjuavyo wanawake wako smart sana, nilijitahidi sana kukwepa mitego, lakini sikufua dafu, akanidaka tena ilikuwa sebuleni watoto wote walikuwa wamelala.

Naomba nikiri kwamba huyu mwanamke alikuwa ni hodari kweli kweli maana nadhani alikuwa anajua ninachokikosa kwa mke wangu. Tangu siku hiyo alikuwa analala chumbani kwangu mpaka alfajiri ndio anarudi chumbani kwake.
Mke wangu aliporudi nilisikitika sana, maana nilitamani asafiri tena, kutokana na kunogewa na penzi la shoga yake. Hivi sasa tumeendea kukutana mara kwa mara maeneo ya mbali na huyu shoga wa mke wangu na kwa kweli ameniteka kabisa yaani namuwaza wakati wote na nimejikuta nikiwa simtamani mke wangu kabisa.

Lakini cha kushangaza mke wangu wala hajanishitukia na amekuwa akimuamini sana shoga yake kupita kiasi na siku hizi huwa anasafiri mara kwa mara tena huwa anakaa wiki mbili kila akisafiri na huyo shoga yake ndio kawa kama mke wangu, yaani kama dini yangu ingekuwa inaniruhusu ningemuoa awe mke wa pili.

Hebu wana JF niambieni, hivi mke wangu akijua atanilaumu kweli?

....hahahahaha! ....r u serious hujajua kwanini umepewa changa la macho?

Mkeo amepata bwana, shoga'ke analizima tu hapo, na ungekuwa hujamla "mashtaka" yako yangekuwa na mshiko, kwakuwa nawe ushatenda dhambi... kalagabaho!
 
Kamanda changa la macho hilo. Muda huo huo unaoona wewe shoga anakuhudumia, jua kuna barobaro mitaa ya kati anahudumiwa. Sasa ni wewe tu na akili kumkichwa.
 
Back
Top Bottom