Mke wangu kaniletea shoga yake nitembee naye!

Acha ujinga wewe!! mwanaume gani huwezi hata kumchunguza mkeo?! AMKA wewe?! mkeo analiwa kama hajaolewa kabisa?! wake up
 
Wakuu, hii thread ina mantiki ya kuweza kutengeneza nadharia mbili ktk suala zima la mapenzi.

Hiyo NGO yake bila shaka, maana hataki uitembelee, ni jembe lake linalomgegeda kisawa sawa, kazi ambayo huenda wewe hukuimudu. Pia kama umesema shoga yake anakupa raha kweli kweli basi huyo ndo saizi yako.

Mismatch ni kitu kibaya sana ktk mahusiano. Huyo shoga yake jua ndo mnamatch vizuri kuliko mke wako, na mke wako ana match vizuri na NGO wake.

Na wengine mliobado kuoa, angalieni sana kama mna match hasa kwenye bed. Ikiwezekana hata ulizaneni, je mwenzangu umefika Magogoni? Kama yeye amefika lakini we hufiki, chukua hatua. MKE WAKO AMECHUKUA HATUA.
 
nivea nimekupata. Hapo je?
SI NDIO MITAMBO HIYO HAPO JUU sasa ukirudi nyumbani mwambie Thanda akufundishe jinsi ya kumention mtu kwenye thread au quotes nitafurhi sana kama ukianza kunimention mimi .hebu jaribu hivi ukitaka kumention mtu weka herufi @ then neno bila kuachanafasi yaani unabananisha hako ka @ na id yangu ya nivea bila kuacha nafasi automaticaly naipata quote yako
 
Last edited by a moderator:
Shida iko wapi ?huyo mkeo amepata bwana na kwa huruma zake amekutafutia pa kupoozea roho ili usije mletea ukimwi ndani we uliona wapi mke akupendaye akuletee shoga yake awe anakupikia na kukupakulia na kukufulia zile za ndani????hebu amka ndo ushaozeshwa hivyo ili vyako viliwe vizuri.We mtege piga mimba halafu muombe msamaha,kwani dada yako huyo ????ala!!!!!!!!KALAGABAHO
 
Wewe umevaa miwani ya mbao. ukiona hasafiri ujue kakuletea mimba ulee.
 
Nadhani hujaletewa kutembea nae ila akusaidie kazi za nyumbani na za watoto hilo ulioanzisha ni lakwa kwako na litapelekea nyumba yako kusambaratika,huyo mama Vicoba ataondoka mazima na hivi umesema anapata vijisenti inaonekana ulimuweka kama golikipa bila kipato chochote,sasa amefunguka kivyake!angalia sana......ndoa itakushinda soon!
 
Mke wangu amejiunga na VICOBA na pia NGO moja ya mambo ya kuwawezesha wanawake kibisahara. Amekuwa akisafiri mara kwa mara kwenda mikoani kwenye semina za hiyo NGO yao. Nimekuwa nikilalamika sana kuhusu hiyo tabia yake mpaka tukapelekana kwa wazazi na akaahidi hatosafiri tena.

Miezi miwili iliyopita amenijulisha kwamba amepewa cheo kwenye NGO yao na atalazimika kusafiri sana hivyo kuna shoga yake ndiye atakuja kunipikia na kulala hapo nyumbani kila akisafiri ili kunihudumia mimi na watoto. Nilipinga sana wazo lake lakini akasema hawezi kuacha kusafiri kwa sababu anapata marupurupu kwa ustawi wa familia jambo ambalo si kweli maana tangu ajiunge na hiyo NGO sijaona lolote la maana zaidi ya mavazi ya gharama anayojinunulia.

Tatizo hataki hata siku moja nitembelee NGO yao wala nisafiri naye, mie ni mtumishi serikalini, lakini siwezi kunyimwa hata ruhusa ya wiki moja ili nisafiri naye.
Mabishano yetu hayakupata muafaka na matokeo yake siku aliposafiri, shoga yake akaja pale nyumbani na kufanya shughuli zote zipaswazo kufanyw ana mke na niliporudi usiku nilimkuta sebuleni akinisubiri. Aliniandalia maji ya kuoga na kisha chakula na wakati nakula alikuwa amekaa pale sebuleni akiangalia TV huku tukizungumza.

Tuliishi hivyo kwa wiki nzima hadi mke wangu akarudi na yule shoga yake aliondoka na kurudi kwake. (Huyu dada hajaolewa ila amezaa na jamaa flani huko kwao Songea na mtoto yuko kwa wazazi wake. Hapa mjini anaishi peke yake akijishughulisha na biashara ya kukopesha nguo za kike). Mke wangu aliniuliza kama shoga yake hakumuangusha, yaani alikuwa anaihudumia familia vizuri, nikamjibu kwamba hakuwa na tatizo.

Wiki mbili baadaye mke wangu akaaga anasafiri tena kwenda Dodoma kwenye semina na atakaa kule kwa wiki mbili, hivyo shoga yake atakuja tena kukaa pale nyumbani hadi atakaporudi. Sasa wiki moja tangu mke wangu aondoke tuliishi vizuri tu, lakini wiki ya pili huyu bibie kaanza kunitega na kama mjuavyo wanawake wako smart sana, nilijitahidi sana kukwepa mitego, lakini sikufua dafu, akanidaka tena ilikuwa sebuleni watoto wote walikuwa wamelala.

Naomba nikiri kwamba huyu mwanamke alikuwa ni hodari kweli kweli maana nadhani alikuwa anajua ninachokikosa kwa mke wangu. Tangu siku hiyo alikuwa analala chumbani kwangu mpaka alfajiri ndio anarudi chumbani kwake.
Mke wangu aliporudi nilisikitika sana, maana nilitamani asafiri tena, kutokana na kunogewa na penzi la shoga yake. Hivi sasa tumeendea kukutana mara kwa mara maeneo ya mbali na huyu shoga wa mke wangu na kwa kweli ameniteka kabisa yaani namuwaza wakati wote na nimejikuta nikiwa simtamani mke wangu kabisa.

Lakini cha kushangaza mke wangu wala hajanishitukia na amekuwa akimuamini sana shoga yake kupita kiasi na siku hizi huwa anasafiri mara kwa mara tena huwa anakaa wiki mbili kila akisafiri na huyo shoga yake ndio kawa kama mke wangu, yaani kama dini yangu ingekuwa inaniruhusu ningemuoa awe mke wa pili.

Hebu wana JF niambieni, hivi mke wangu akijua atanilaumu kweli?

hivi ww unaona mkeo hana akili au hajui kama unatembea na rafiki yake?
Amefanya hivyo makusudi ili na yeye aweze kukamilisha maovu yake na ndo maana hata humuoni kuonesha wasiwasi juu yenu.
Umetegwa kwny plan za watu nawe umejaa
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
uliwaza nn kuweka iyo sign apo chini?

Niliwakuta wadada wakienda kliniki huku wakijidai kuwa ni wajawazito;
Nikafikiri qa nini wajisifie wao tu bila wenza wao.
Ni hilo tu gfsonwin wangu sina ziada!


Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
I just love MMU....
Hicho ndio mkeo alichokua anakitaka, sababu ya ninyi kuachana.
Mama swala hawezi mwancha mwana swala kwenye tundu la Simba mla swala na mwenye njaa.
Sanuka wewe mkeo anamemenwa kama hindi changa, oa huyo dada, timua mama mpenda VICOBA akaolewe na Mwenyekiti mwenza wa SACCOS.
 
Mkuu amini usiami mkeo analiwa,inaonekana mke wako anaakiri sana,alichofanya ni kukupa boya ili uadaike!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom