Mshiiri
JF-Expert Member
- Jun 16, 2008
- 2,012
- 509
Ooh kaka yangu nambie umeshampa mara ngapi hiyo $1k nikuambie kitu. Kikubwa huyu ni gold digger inamaana source ikichoka atakuacha kwa kuwa amekufanya income source. You are not serving any blood $ BUT she is. She will be rich and you will be a begger. Mtoto siyo deal sana, achana naye ana uvute kitu huku huku US. Acha ujinga.
Baadae mchukue mtoto kama una-mind sana umleee na mama yake wa kambo huku US. Achana na huyu mwanamke; things will never work out kama unapomweleza hali ya maisha ni ngumu.
Alternatively; SIMPLE kujua what is behind the curtain pangilia mambo upate rafiki au ndugu ambaye unamwamini mwezi huu udai kumpeleka mtoto kusalimia na kusihi na hawa ndugu kama miezi sita na yeye mwambie umefanya hivyo kwa kuwa kazi huku umefukuzwa, nyumba yako ilivunjwa na vitu vyote vikaibwa, unateseka sana na hivyo akutumie kama $ 10,000 hivi kwa ajili ya nauli umalizapo mitihani na huna chochote zaidi ya pair yako ya jeans na kisha katisha au sitisha msaada kama miezi sita hivi. Jaribio la kutuma fedha litakuwa la kwanza na akifaulu basi sunda fedha na ngoma itakuwa droo. Hili litakufahamisha kuwa je amekuwa aki-save pesa kwa siku mbaya za usoni au amekuwa akiponda fedha kufa kwaja. Jaribio la pili ambalo ni la lazima halina chances wala mjadala wowote, litapelekea wewe kujua kuwa kama anakupenda, na amekuwa akitumia vipi fedha n.k. Kwani itabidi atoe mapato na matumizi ya fedha zote umekuwa ukimtumia.
It is simple to deal with this mind set. Take it easy. Incase you need more alternatives to restrain the situation please write below the forum and will be willing to advise. Asante