Mke wangu anataka kula tunda kila siku kutwa mara 2!

Heshima mbele wakuu,
Najua humu jamvini hakuna linaloshindikana! Mamsapu siku hizi anataka kula tunda bivu mara 2 kwa siku! Asubuhi tukiamka angalau kamoja na usiku kabla ya kulala angalau kamoja pia! Anadai kwamba inampunguzia 'stress na matamanio' awapo kazini! Hapa nilipo naugulia kiuno kinaniuma ile mbaya na hata naniliu nahisi kama vile inataka kukatika! Je, hali hii ikiendelea inaweza kuniletea madhara kiafya?

Wewe inaonesha ulikwenda jando la Hospitali (unapigwa ganzi kabla ya kukata govi) na uliponea nyumbani. Ungeenda jando la porini - kavukavu na unaishi huko huko porini huku ukipata mafunzo jinsi ya kufanya hayo majamboz usingeleta malalamiko kama haya. Anyway, tafuta kungwi akufundishe jinsi ya kumfanya mkeo ashibe kirahisi bila ya wewe kutumia nguvu nyingi.
 
Wasiliana na mo martha

ana mitandiko kanunua nje mumeo cha mtoto

ukiona ashibi mpe aonje moja tafadhali!!!!imekaa kama mkate wa boflo@!@@

wazungu laaana kabisa
 
nami nina lalamiko, huwa sipati kula kila siku ikiwa bahati nzuri mwezi mara moja, ikiwa kawaida huwa nakula mara moja kwa miezi miwili, tatizo linaweza kuwa langu,, kabla ya kula lazima nicheze maeneo ya hatari, wakati mchezo upo karibu na najuwa golkeeper hawezi kuzuia makombora ndio naanza kula na sitoki kama sikupiga ngoma mbili bila ya kuweka mpira kati, lazima kipa anitowe mkuku hataki tena mechi ndio imetoka mpaka asahau na nibembeleze ndio napata kula tena
Nashindwa kuenda ovyo tokea limeingia sumu mmm hakwendeki, nilipokuwa kijana kulikuwa na mdada mmoja pale Morogoro road, mbele ya umoja wa vijana yeye alikuwa hana noma hata nikiwa sina vijisenti yeye poa tu lakini tokea kupanuliwa barabara sijui amehamia wapi
 
hahahah wewe mbona unabandika swali ndani ya swali?
 
Hebu rudianga!:rolleyes:
 
Huyu jamaa haeleweki anacholalamika. Mimi natamani mke kama huyo anipe mara 2 au 3 daily. Yeye kapata wa hivyo, analalamika! Basi ukijiona uko hivyo usioe maana utamsababishia mwenzio dhambi bure.
 
Heshima mbele wakuu,
Najua humu jamvini hakuna linaloshindikana! Mamsapu siku hizi anataka kula tunda bivu mara 2 kwa siku! Asubuhi tukiamka angalau kamoja na usiku kabla ya kulala angalau kamoja pia! Anadai kwamba inampunguzia 'stress na matamanio' awapo kazini! Hapa nilipo naugulia kiuno kinaniuma ile mbaya na hata naniliu nahisi kama vile inataka kukatika! Je, hali hii ikiendelea inaweza kuniletea madhara kiafya?

Sasa wewe unashindwa kumpa hiyo dozi, mlete kwangu nikusaidie kuokoa ndoa yako, nitampa 3x3 na zawadi ya mwana juu.
 
labda tumuulize before this ilikuaje...maana hii ya kutwa mara 2 inamshinda.. walipokua kwenye uchumba ndo ilikua kimoja au?...hebu tupe taarifa vizuri otheryz una hatari ndugu halafu una admit kbs HUWEZI!nway tupo tunaoweza utakaponikuta na drive ile rav 4 yako mtaani kwetu na bata za kutosha via ur money ndo utakumbuka kuchukua namba za dokta manyuki pale moroko yl its too late!!!!!!:D
 
UNA BAHATI, MSHUKURU MUNGU! WENGINE TUNAOMBA TUPATE KAMA WEWE. HIYO IFANYE IWE GYM. YAKO! Cha msingi ni afya njema na mazoezi.
 
Mimi nafikiri styles anazotumia huyu mkuu ni zile za kujiridhisha yeye ndiyo maana mamsapu anakuwa ahahitaji kila wakati/siku. Naamini ukitumia style fulani fulani utaweza kumaliza kiu yake na atakupumzisha.
 
Kiongozi bwanashamba apa''''ankuambia iyo mara mbili ya kwako cha mtoto
mimi mwenzio namkamua mpaka mara nne per day iyo ni nikiwa off kama
siko offf naakikisha nakamua mpaka mara nne mpe kama anavyotaka yeye
mwenyewe mpaka aseme mimi basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwa leo
 
Anadai kwamba inampunguzia
... matamanio' awapo kazini!

Yani mkeo kakutamkia kwamba anatamani wanaume kazini kwake isipokuwa kama utamridhisha kwa ngono? Hebu tuondolee uongo au upuuzi wenu na mkeo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom