Heshima mbele wakuu,
Najua humu jamvini hakuna linaloshindikana! Mamsapu siku hizi anataka kula tunda bivu mara 2 kwa siku! Asubuhi tukiamka angalau kamoja na usiku kabla ya kulala angalau kamoja pia! Anadai kwamba inampunguzia 'stress na matamanio' awapo kazini! Hapa nilipo naugulia kiuno kinaniuma ile mbaya na hata naniliu nahisi kama vile inataka kukatika! Je, hali hii ikiendelea inaweza kuniletea madhara kiafya?

jamani kaka yangu pape!kila siku mara mke wangu hili mara mke wangu lile,mara mke kaweka kwakwakwa zake ktk gari yangu,mara nimambiwa nanuka kikwapa,mara nimekuta ndom zimetumika,mara mke anataka mbili bao kwa siku???
ni wewe huyu huyu au unawasaidia watu kupata ushauri kakaangu!
Kamua mwana wane mpe haki yake wasije wakakugongea
Asante mama Cheu, hawa jamaa sijawaelewa manake mada zao nyingi ni hizi hizi, nadhani atakuwa anawaombea ushauri wengine.jamani kaka yangu pape!kila siku mara mke wangu hili mara mke wangu lile,mara mke kaweka kwakwakwa zake ktk gari yangu,mara nimambiwa nanuka kikwapa,mara nimekuta ndom zimetumika,mara mke anataka mbili bao kwa siku???
ni wewe huyu huyu au unawasaidia watu kupata ushauri kakaangu!
kama huwezi sema tukusaidie wanaPUTIN
Heshima mbele wakuu,
Najua humu jamvini hakuna linaloshindikana! Mamsapu siku hizi anataka kula tunda bivu mara 2 kwa siku! Asubuhi tukiamka angalau kamoja na usiku kabla ya kulala angalau kamoja pia! Anadai kwamba inampunguzia 'stress na matamanio' awapo kazini! Hapa nilipo naugulia kiuno kinaniuma ile mbaya na hata naniliu nahisi kama vile inataka kukatika! Je, hali hii ikiendelea inaweza kuniletea madhara kiafya?
Heshima mbele wakuu,
Najua humu jamvini hakuna linaloshindikana! Mamsapu siku hizi anataka kula tunda bivu mara 2 kwa siku! Asubuhi tukiamka angalau kamoja na usiku kabla ya kulala angalau kamoja pia! Anadai kwamba inampunguzia 'stress na matamanio' awapo kazini! Hapa nilipo naugulia kiuno kinaniuma ile mbaya na hata naniliu nahisi kama vile inataka kukatika! Je, hali hii ikiendelea inaweza kuniletea madhara kiafya?
Siyo uchokozi ndugu, vangi lenyewe linakuwa ni la kimahaba siyo la ngumi si unajua tena ili ufaidi vitu ni lazima ubembeleze na huu ndio ugonjwa mkubwa wa wanawake, hivyo najilia vitu kwa raha zangu.uchokozi huo. unaanzishaje vangi??