Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,488
- 79
Imenukuliwa kutoka katika utafiti wa 'saidia jamii'....
*****************************************************************
Mimi na mke wangu tumekuwa katika ndoa yapata miaka mi 3 sasa! Hali ilikuwa ni nzuri kwani tulikiuwa tunakula tunda kila siku angalau asubuhi kamoja na jioni kabla ya kulala kamoja!
Siku hizi hali imebadilika kwani hataki tena na huwa naboreka sana pale anaponijibu eti "nasikia usingizi, tutafanya asubuhi (lakini asubuhi ikifika oooh ngoja nifanye usafi, mara kwanza watoto niwaandalie chai) mpaka siku inapita! Mara ooh nimechoka, sina hamu, sijisikii kufanya, wewe unataka kila siku, kwani umesikia hii ni pipi? etc"...
Roho inaniuma sana mpaka nimeamua kumwangalia tu kwani najua nikimuomba tunda la roho nitapewa majibu na sababu hizo hapo juu na mwisho wake tuanze kugombana bure...
Mimi sasa hivi 'feelings' zinanisumbua sana na sijawahi kutembea nnje ya ndoa ila kwa tabia yake hiyo nashawishika kwenda nnje kitu ambacho nadhani sio kizuri!
Je, bora tuendelee kuishi kama kaka na dada? au nitafute 'kajumba' kadogo huko nnje niwe napunguza taratibu?
Je, nikitoka nnje ya ndoa nitakuwa nimemkosea mke wangu? Nifanyeje ili niweze kumshawishi mwandani wangu ili tuwe tunakula tunda kama zamani?
@Mchango wako unahitajika (true story)!