moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,085
- 2,889
Huyo mke walikuolea nini? kama unaweza kutongoza tena acha kuumiza kchwa usimfatlie we fanya yako
Kwa hatua aliyokwisha fikia wakati mwingine kumbadili ni vigumu. Chukua uamuzi mgumu japokuwa utaandamana na maumivu makali lakini inaweza ikawa suluhisho la kudumu. Mimi wa kwangu alianza hivyo hivyo japo ni miaka mingi sasa imepita na nilijitahidi sana kutafuta suluhu lakini akashikilia msimamo wake. Na mwisho wa siku tukatalikiana , na baada ya kama muda alifunga ndoa na moja wapo kati ya jamaa zake aliyekuwa amefiwa na mkewe.Mke wangu tuna miaka 10 toka tuoane. Kipato changu na chache hakitofautini sana, ni muda sasa tupo kwenye mgogoro wa kindoa. Kubwa ni kwamba ananifanyia vituko ili tuachane. Nimesha zikamata SMS za mapenzi za wanaume wengine kweye simu yake, nikimuuliza ananijibu alikuwa anatongozwa tu. Nimeshagombana nae sana, nimesha peleka mashtaka kwa watu wazima watusuluishe lakini habadiliki.
Last week pia karudia na nimemkuta tena na sms za wanaume za kuitana honey, darling, love nimemuuliza, tumeishia kulumbana na ananijibu nimuache, nichukue 50 zangu. Nimewaita watu wazima wa karibu na familia yangu, tumeyajadili nikijua ataacha, tulipo baki wa 2 akanijibu nisimfuatilie mambo yake. Nimezaa nae watoto 2, tumeshirikiana tumejenga nyumba. Leo hii ananitaka niondoke, nikaanze maisha kimpango wangu.
Naombeni ushauri.
Kwa bahati mbaya sana dini yangu hairuhusu mke zaidi ya mmoja...
Umenifanya nimewaza kabila flani kimoyo
Samahani we mwanaume au mume?!Mke wangu tuna miaka 10 toka tuoane. Kipato changu na chache hakitofautini sana, ni muda sasa tupo kwenye mgogoro wa kindoa. Kubwa ni kwamba ananifanyia vituko ili tuachane. Nimesha zikamata SMS za mapenzi za wanaume wengine kweye simu yake, nikimuuliza ananijibu alikuwa anatongozwa tu. Nimeshagombana nae sana, nimesha peleka mashtaka kwa watu wazima watusuluishe lakini habadiliki.
Last week pia karudia na nimemkuta tena na sms za wanaume za kuitana honey, darling, love nimemuuliza, tumeishia kulumbana na ananijibu nimuache, nichukue 50 zangu. Nimewaita watu wazima wa karibu na familia yangu, tumeyajadili nikijua ataacha, tulipo baki wa 2 akanijibu nisimfuatilie mambo yake. Nimezaa nae watoto 2, tumeshirikiana tumejenga nyumba. Leo hii ananitaka niondoke, nikaanze maisha kimpango wangu.
Naombeni ushauri.
kwani shida umejua ni kipato?Anzisha miradi pembeni ya kukupatia kipato cha ziada ili ujipange zaidi yake. But, hawa viumbe huwa wanamihemko tu. Utashangaa ukifanya hivyo...anarudisha mazima honey kibao, darling, love zinakuwa zako zote.
Watoto ni wangu hilo sina tatizo nalo.Damu nzito kaka,ingekuwa si wangu,yangesha julikana kitambo sana...Mwanamke akishaanza kua na kiburi tayari jua kuna mwenzio na ni lazima tu kuna kitu kakuzidi
jaribu chunguza hao watoto wako kweli