Mke wangu anakuwa busy na sim ifika jioni. Ni nini?

Unafikiri yale mautundu unayopewa huwa yanatoka wapi??
Atakuwa ana jifunza kwenye xxx movies clips!
 
duh hata mimi dem wangu hua anakua busy kuchat na wenzake mpaka hua napata kero ninapokua nae, anaweza kuchati mpaka saa 6 usiku halafu ndio hua anaanza kunisumbua wakati huwa nimeshalala na ikifika saa 12 asubuhi anaanza kupigiana simu na wenzake...
Wenzake ni wasichana hana mazoea sana na vivulana..
Ushauri na mimi nifanyaje maana nimeshamwambia mpaka hua tunakorofishana na bahati mbaya hua hatukai pamoja na hua tunaweza onana mara nne kwa mwaka
 
hiyo kwangu ilikua simple mwezi feb nikaanza kuwa busy pia na cm kuliko yeye.sometimes nikawa najifanya kupokea cm mid9te.we mwenyewe hadi leo kanywea.try that.

OMG! 'cant imagine mtu unakatisha usingizi na kujitia unaongea na simu ili tu umtie mwenzio tumbo joto! sikujua cm ni kasheshe kwenye mahusiano kiasi hicho.

Kwa mtoa mada, nijuavyo mie, hakuna kitu kizuri kama 'MAWASILIANO' mie nakushauri uvunje ukimya kaa na mkeo mueleze kero unayoipata kwa yeye kuwa bize na cm yake, na umuulize kwa kina ni nani hao wanaomkeep bize kiasi hicho kiasi cha kukimbia sebureni na kuhamia chumbani.

Ukianza kutafuta sababu za kuwa bize na simu unaweza ukazipata 100 kidogo na bado usiwe na jibu la uhakika, jibu la ukweli analo huyo mkeo.. muulize si vibaya kuuliza kwani una hisa ktk maisha yake. ingawa mie kwa kweli mume hata akiimba kwenye simu huwa simind kwa kuwa na mie huwa nina mawasilino ambayo sitaki mtu aniingilie hivyo na yeye awe huru tu, kwetu sie simu haileti taabu hata kidogo
 
nimeshamwambia mpaka hua tunakorofishana na bahati mbaya hua hatukai pamoja na hua tunaweza onana mara nne kwa mwaka

mbona ana muda wa kutosha wa kuwa-interact na hao rafiki zake? ingependeza sana kama ange-dedicate hiyo mara nne kwa mwaka exclusively for you...
 
duh hata mimi dem wangu hua anakua busy kuchat na wenzake mpaka hua napata kero ninapokua nae, anaweza kuchati mpaka saa 6 usiku halafu ndio hua anaanza kunisumbua wakati huwa nimeshalala na ikifika saa 12 asubuhi anaanza kupigiana simu na wenzake...
Wenzake ni wasichana hana mazoea sana na vivulana..
Ushauri na mimi nifanyaje maana nimeshamwambia mpaka hua tunakorofishana na bahati mbaya hua hatukai pamoja na hua tunaweza onana mara nne kwa mwaka
Kaka afadhali hiyo yako mi wangu yaani tukiongea unajikuta ameshajisahau yupo na simu anabrowse,nilimkataza ila mambo yale yale,baadaye kweli kuna kitu nyuma ya pazia ikabidi tuachane
 
hiyo kwangu ilikua simple mwezi feb nikaanza kuwa busy pia na cm kuliko yeye.sometimes nikawa najifanya kupokea cm mid9te.we mwenyewe hadi leo kanywea.try that. YES, HII NI NZURI TENA NIMEIJARIBU SASA HIVH- GOOD RESULT. Ameacha mara moja amejifanya ananipigisha story na mm niko busy ile mbaya na jf
 
ukimuuliza hatakwambia piga ua. We ingia kwenye cm kuliko.psychology yao ni ndogo, hapo nilimaliza. Halafu usiwe na tym kabisa na cm yake.onyesha kumuongezea uhuru, asipobadilika piga chini.
 
Kaka afadhali hiyo yako mi wangu yaani tukiongea unajikuta ameshajisahau yupo na simu anabrowse,nilimkataza ila mambo yale yale,baadaye kweli kuna kitu nyuma ya pazia ikabidi tuachane. UMEONA EE YANI KUNA TUNA KAZI KWENYE MAHUSIANO.
 
Kunavitu ambavyo kama ungekuwa ushavifanya ungeshatambua kinachoendelea. moja. Jichunguze wewe kwanza ni wapi umekosea..usiangalie unapoangukia bali ulipojikwaa....pili, mwite ongea nae, huyo ni mkeo sio mkweo.
 
Wanajamii habari za jioni. Mke wangu ikifika jioni mpaka usiku anakuwa busy sana na sim hata mda wa kuongea na mimi hana, wakati mwingine tukiwa sebureni hujifanyifa anaumwa na kwenda chumbani, ukienda gafla unakuta vidole vinacheza kwenye sim. Mimi kiukweli sio kwamba wivu umekuwa juu, lakini je ni sahihi kwenye ndoa? Na wala sio mfanyabiashara. Naombeni ushauri nisije nikawa mimi nakosea.



Mnyang'anye hicho tochi simu!
 
Haujakosea,ni mke wako so una haki ya kujua ni nini kinamkeep busy kwenye simu yake,unaoneka una busara kwahyo bora tu umuulize taratibu na kwa upendo atakueleza ukweli..maana ukitaka tukushauri hapa kila mtu tutamjudge vibaya.beter ask her
 
Simu imemfanya kuwa na anti social behaviour so try to talk with her first coz anaweza kujielewa na kujirekebisha maadam tabia hiyo ameianza ukubwani na hivi karibuni so anaweza kuchange na umuwahi kabla hajawa edicted.

Halafu vitu vingine uwe unafanya juhudi binafsi za kutatua tatizo linalokuhusu kabla hujaomba ushauri ukija kuomba ushauri unasema nimefanya hivi na hivi bado tatizo linaendelea hapo wana JF wanakupa another alternative solution
 
Du kweli wewe kidume suruali yaani kijitatizo kidogo kama hiki unatweta povu kibao.Hujui kabisaa ufanye nin na huku huyo mkeo upo nae hapo hapo nyumbani ? Unakuja kukimbilia hapa jamvini.Unatuabisha wanaume wenzio bwana.Ujue matatizo mengine ya wakezenu nyie vijidume suruali ndio husababisha .Kama wewe ulivyo kimbilia hapa jamvini kuomba ushauri baada ya kukaanae na kuzungumza nae ili mtatue tatizo na yeye mwenzio huwa bize kutafuta ushauri online /kwenye mitandao ya kijamii juu ya kutatua matatizo yanayo mkabili juu yako.Inawezekana huwa humfikishi .

Nayewezekana huwa mnabishana sana hapa jf kwa post bila wewe kujua siunajua tena hapa jf hatufahamiani
 
vunja ukimya wangu, inawezekana hajui kuwa hiyo tabia ww inakukera au labda unapokaa nae huwa una story aidha unakuwa bussy na magazeti au tv so pengine ndio maana na yy anakukuruka na sim, cha maana, talk talk talk,muulize then mueleze kuwa hako katabia kanakukera, inasezekana kweli ikawa hii mitandao ya kijamii, ila MULIKA MWIZI nayo ni possibility, tafakari, chukua hatua............
 
Back
Top Bottom