Mke wangu anakuwa busy na sim ifika jioni. Ni nini?

hizi simu bana...sasa zimekuwa natural extension of lovers' arms bana. inaboa sana. mwambie kuwa hupendelei hiyo tabia
 
Vunja ukimya zungumza na mkeo! From there ndo utajua pa kuanzia ukiona habadiliki vizia simu yake akiwa amelala au mnyang'anye kwa kumshtukiza utapata majibu yote!
 
Asanteee!
Huyo anaongea na ambao anaongea nao mchana kutwa wakati ww unajidai uko busy na kazi zako!
Jiulize mchana unaweza kukeep in touch? Ama unatokea jioni sana kama mzimu na kutegemea aache kuchat? Wewe mvivu wa kumuandaa mkeo, wanao-flirt nae kwa chat wanakufanyia maandalizi ww unamalizia. Shukuru Mungu, na usimlalamikie manake atawapa wamalizie na utakosa walau unyumba!

Unashinda job, unamalizia bar, umemtelekeza! Make her addicted to u, otherwise muache awe addicted na simu yake na waliomo!
Ukiwa addicted na jamiiforums unafikiri kila tatizo lako linatatuliwa kwa ku-post hapa...Sorry to say that..Vunja ukimya ongea na mkeo
 
Wanajamii habari za jioni. Mke wangu ikifika jioni mpaka usiku anakuwa busy sana na sim hata mda wa kuongea na mimi hana, wakati mwingine tukiwa sebureni hujifanyifa anaumwa na kwenda chumbani, ukienda gafla unakuta vidole vinacheza kwenye sim. Mimi kiukweli sio kwamba wivu umekuwa juu, lakini je ni sahihi kwenye ndoa? Na wala sio mfanyabiashara. Naombeni ushauri nisije nikawa mimi nakosea.

unajua unauliza maswali rahisi sana....ukiona hvo ujue anakuwa anafanya majumuisho na kupeana flash backs za mambo yaliyojiri pale super kitasa guest house...in short watu wanagonga huyo my wife wako...
 
Hili nalo neno......
Mleta mada natumaini umesikia hili....

Asanteee!
Huyo anaongea na ambao anaongea nao mchana kutwa wakati ww unajidai uko busy na kazi zako!
Jiulize mchana unaweza kukeep in touch? Ama unatokea jioni sana kama mzimu na kutegemea aache kuchat? Wewe mvivu wa kumuandaa mkeo, wanao-flirt nae kwa chat wanakufanyia maandalizi ww unamalizia. Shukuru Mungu, na usimlalamikie manake atawapa wamalizie na utakosa walau unyumba!

Unashinda job, unamalizia bar, umemtelekeza! Make her addicted to u, otherwise muache awe addicted na simu yake na waliomo!
 
Asanteee!
Huyo anaongea na ambao anaongea nao mchana kutwa wakati ww unajidai uko busy na kazi zako!
Jiulize mchana unaweza kukeep in touch? Ama unatokea jioni sana kama mzimu na kutegemea aache kuchat? Wewe mvivu wa kumuandaa mkeo, wanao-flirt nae kwa chat wanakufanyia maandalizi ww unamalizia. Shukuru Mungu, na usimlalamikie manake atawapa wamalizie na utakosa walau unyumba!

Unashinda job, unamalizia bar, umemtelekeza! Make her addicted to u, otherwise muache awe addicted na simu yake na waliomo!

King'ast hapo kwenye Red nimepapenda, hapo kwenye bluu naamini tayari ameshawapa kwa nini akajificha chumbani kama hakuna kitu kati yao?! mjomba mlete mada, huyu angekuwa ni girlfriend au mchumba ningekushauri TAFAKARI, CHUKUA HATUA. Lakini kwa kuwa ni mke sithubutu kukwambia hivyo nachoweza kusema ni angalia hapo kwenye red ya King'ast naamini amemaliza kila kitu ambacho ningeweza kusema kwa maneno machache!
 
Dalili ya mvua ni mawingu.
hapo mvua imesha anza kunyeesha. hizo sio dalili tena. akiwa sebuleni mke anaingia chumbani na akiwa chumbani anaenda sebuleni kuwa bize na simu yake. hapo tayari kama alikuwa ni chama tawala ajiandae kuwa chama cha upinzani anaelekea kushindwa vibaya.
 
hapo mvua imesha anza kunyeesha. hizo sio dalili tena. akiwa sebuleni mke anaingia chumbani na akiwa chumbani anaenda sebuleni kuwa bize na simu yake. [

afadhali enzi zile za simu za kukoroga aisee.... siku hizi mtu 'anakata gogo' toilet huku anarusha ma-sredi JF... utambana vipi hapo?
 
Wanajamii habari za jioni. Mke wangu ikifika jioni mpaka usiku anakuwa busy sana na sim hata mda wa kuongea na mimi hana, wakati mwingine tukiwa sebureni hujifanyifa anaumwa na kwenda chumbani, ukienda gafla unakuta vidole vinacheza kwenye sim. Mimi kiukweli sio kwamba wivu umekuwa juu, lakini je ni sahihi kwenye ndoa? Na wala sio mfanyabiashara. Naombeni ushauri nisije nikawa mimi nakosea.

Mcha mwana kulia hulia yeye! Kwani wivu umekatazwa? Na jee kuambizana mambo yenu kwenye ndowa huwa wivu?

Yatafakari mambo hayo iwapo kama kweli hiyo yenu ni ndowa!
 
Ujue siku hiz ndoa zina halibiwa na wanandoa wenyewe leo ipo hivyo je anategemea nini matokeo yake siku mambo yakisha halibika
0
ujue ubize ni thumu mbaya katika ndoa mbaya zaidi inaua talatibu talatibu sana hivyo mtu unapokuja kugundua ni wakati umeshaathilika sana na huwezi pata tiba ya tatizo
Jambo la muhimu mi nikuombe tafuta muda mkae na myazungumze namin kama yu muelewa atakuelewa pia inatakiwa ayajue madhara yake mana isiye akawa anatengeneza tatizo juu ya tatizo bila yee kujua.hicho nacho ni chanzo cha kuanzisha nyumba ndogo so aliangalie kwa umakini

Mkeo mwelekeze na umkanye usimnyime uhuru km atashinda basi atafute muda pia lazima ajue thaman yako so kama yee anaona kuwa bize na sm ni jambo jema aliangalie mara mbili.

hayo mazala ya ulimbukeni hiyo itakuwa ni facebook tu mana huku ndo kuna matatizo
 
Simu imemfanya kuwa na anti social behaviour so try to talk with her first coz anaweza kujielewa na kujirekebisha maadam tabia hiyo ameianza ukubwani na hivi karibuni so anaweza kuchange na umuwahi kabla hajawa edicted.

Halafu vitu vingine uwe unafanya juhudi binafsi za kutatua tatizo linalokuhusu kabla hujaomba ushauri ukija kuomba ushauri unasema nimefanya hivi na hivi bado tatizo linaendelea hapo wana JF wanakupa another alternative solution

well said,
 
mobile phones are so addictive huyo hayuko mwenyewe hata mi nawajua wengi tu na hasa hizi BBM whats up ndio kabisa mtu ana package ya internet ya mwezi basi kutwa kwenye simu
 
Wanajamii habari za jioni. Mke wangu ikifika jioni mpaka usiku anakuwa busy sana na sim hata mda wa kuongea na mimi hana, wakati mwingine tukiwa sebureni hujifanyifa anaumwa na kwenda chumbani, ukienda gafla unakuta vidole vinacheza kwenye sim. Mimi kiukweli sio kwamba wivu umekuwa juu, lakini je ni sahihi kwenye ndoa? Na wala sio mfanyabiashara. Naombeni ushauri nisije nikawa mimi nakosea.

Ndiyo balaa ya facebook hiyo mkuu.
 
Du! Hapa jf kweli unaweza ua ndoa, kuna ushauri mwingine sio mzuri. Nimekueleweni wajameni, ila kusema kuwa kuna watu wanangata kweli yawezekana but it pains.
 
Back
Top Bottom