Mke wangu anakuwa busy na sim ifika jioni. Ni nini?

Paul mathew

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
275
60
Wanajamii habari za jioni. Mke wangu ikifika jioni mpaka usiku anakuwa busy sana na sim hata mda wa kuongea na mimi hana, wakati mwingine tukiwa sebureni hujifanyifa anaumwa na kwenda chumbani, ukienda gafla unakuta vidole vinacheza kwenye sim. Mimi kiukweli sio kwamba wivu umekuwa juu, lakini je ni sahihi kwenye ndoa? Na wala sio mfanyabiashara. Naombeni ushauri nisije nikawa mimi nakosea.
 
ukiona manyoya ujue.............malizia
 
Atakuwa anakuwa jamiiforums, kuko addictive huku wee acha tu. Hata nami napata shida sana kukeep up with story hata wageni wakija; neno moja tu huyo nachungulia MMU nani kajibu post yangu!
 
jaribu kumuuliza huwa anawasiliana na nan? inawezekana ni marafiki na ndugu wa karibu kama hyo tabia huipendi mwambie hyo tabia huipendi atajirekebisha tuu na inawezekana kajiunga na hii mitandao ya kijamii kama Twira na fb inawafanya watu wawe bize sana na simu na computer.
 
Wanajamii habari za jioni. Mke wangu ikifika jioni mpaka usiku anakuwa busy sana na sim hata mda wa kuongea na mimi hana, wakati mwingine tukiwa sebureni hujifanyifa anaumwa na kwenda chumbani, ukienda gafla unakuta vidole vinacheza kwenye sim. Mimi kiukweli sio kwamba wivu umekuwa juu, lakini je ni sahihi kwenye ndoa? Na wala sio mfanyabiashara. Naombeni ushauri nisije nikawa mimi nakosea.

Labda anatuma SMS kwa barafu wa moyo wake!
 
Wanajamii habari za jioni. Mke wangu ikifika jioni mpaka usiku anakuwa busy sana na sim hata mda wa kuongea na mimi hana, wakati mwingine tukiwa sebureni hujifanyifa anaumwa na kwenda chumbani, ukienda gafla unakuta vidole vinacheza kwenye sim. Mimi kiukweli sio kwamba wivu umekuwa juu, lakini je ni sahihi kwenye ndoa? Na wala sio mfanyabiashara. Naombeni ushauri nisije nikawa mimi nakosea.

Nini hicho?
 
Ukiwa addicted na jamiiforums unafikiri kila tatizo lako linatatuliwa kwa ku-post hapa...Sorry to say that..Vunja ukimya ongea na mkeo
 
chamuimu mkuu. muwache acheeze sim yake alafu mvizie mnyang'anye alafu funguwa sim kwenye msg draft or sent msg and delivered report utapata kila kitu. then utajaji vizuri mkuu. kwa kifupu mkuu uyo ni changu dowa.
 
Ukiwa addicted na jamiiforums unafikiri kila tatizo lako linatatuliwa kwa ku-post hapa...Sorry to say that..Vunja ukimya ongea na mkeo

We acha tu!!! yaani wengine tatizo ndani ya mahusiano yao hata kabla kulitafutia solution katika njia nyingine kama kutumia ndugu, jamaa na hata marafiki wa karibu wanakimbilia hapa. Na hapa kama ujuavyo wengine hufanya dhihaka kuhusiana na tatizo lililoletwa hapa.
 
Mkuu solution ni very simple:
- just nawewe kuwa busy na simu yako, TIT FOR TIT hakuna TAT. Akikaa akikuzungumzisha wewe chezea simu, na itakuwa vyema ukawa unachelewa kurudi, kama ulikua magharibi upo ndani jaribu kuharibu ratiba, rudi saa 4, 5 siku nyengine rudi iyo magharibi kisha kama unakula kula kidogo kisha toka tena mpaka saa 3,4,5 tena ukitoka wala usimuage, na wala usimuulize. Siku akikuuliza mbona unachelewa kurudi we mpe jibu simple tu, mwambie kuwa **** watu muhimu sana wanatamani wakae na wewe ili muwe mnabadilishana mawazo. Akijidai kukasirika kisa unawafanya muhimu sana we mwambie muhimu kuliko yeye asa kama ilivyo simu yake na wewe! Mwanamke ana tabua chafu, BBBILAAA SHAKKAAA KUNA KAMWENGINE
 
labda ni 'service provider' (unajua biashara zetu zile) so ana keep in touch na clients
 
maybe bbm hizo,maana wadada wa siku hizi,kila mtu yupo busy na simu,huwa kuna kama kujisahau hivi.
 
technolojia imefanya mambo kuwa rahisi sana... siku hizi mpenzi anaweza kutongoza/kutongozwa mmekaa pamoja hapo hapo sebuleni...
 
Back
Top Bottom