Mke wangu amenisaliti 'live', naombeni ushauri wenu tafadhali

No wonder watoto wa siku hizi ni matatizo matupu. kitoto kina miezi 6 tu, mama anapigwa na minjemba mingine... hivi mungu yuko wapi jamani, mbona watu hawaogopi? mimi wala siko kwa huyu baba, namuonea mtoto huruma. si ajabu hata kitoto hiki sio cha huyu baba. hata la kusema sina....
 
Pole sana mkuu haya mambo yanaumiza sana kiukweli dah! Hivi kumbe ikitumika inajulikana itabidi nitafute darasa sasa!
 
Pole sana, inaonekana kitu yako fupi au ndogo, wakaja wenye ndefu na kubwa wakapanua full. Pole sana
 
NAtuma salamu kwa wanawake wote walioolewa.

Ujumbe, hili dongo lenu!

NN una utani wa ngumi, tena mbaya sana
Najitolea kukupa tindikali proof

Hahahahaaa pole sana. Huyo mkeo wala hajakucheat bana. Toka lini wanawake wakacheat - hususan walioolewa? Wanawake walioolewa wanazithamini sana ndoa zao.

Tatizo unalo wewe mwenyewe. Hujiamini. Unawaza mabaya muda wote. Acha kuwa na mtazamo hasi na anza kuwa mtazamo chanya uone jinsi ambavyo mambo yatatengemaa.

Sidhani kama kama huyo mkeo anakucheat. Lakini hata kama akikucheat mara 2,000 wewe msamehe tu bana. Kwani akikucheat mara 2,000 ndo nini bana? Wewe samehe tu msonge mbele na maisha yenu.

Pole lakini.
 
Whatsoever mimi sina muda wa kumchunga na kumchunguza binadamu mwenye akili zake timamu, huu ndio msimamo wangu, i will play my part kama the head of the House, lakini mengineyo yapo ndani ya binadamu mwenyewe.

Lets say wewe ndio umemuoa Lulu, au Wema Sepetu, haya si ni matatizo ya kujitakia? hawa kina Lulu na Wema Sepetu wapo kila ngazi tofauti ni kwamba tulionao wengine si maarufu, jiulize na waulize wafugaji wote hadi wale wanaofuga Fisi je kuna aliyewahi kufanikiwa kumfuga kunguru!?....

hapo umeongea jambo la ukweli kabisa mkuu, panajieleza sina cha kuongezea
 
Usimfanye akaenda kupima DNA yakawa mengine lol

Ichunie tu

No wonder watoto wa siku hizi ni matatizo matupu. kitoto kina miezi 6 tu, mama anapigwa na minjemba mingine... hivi mungu yuko wapi jamani, mbona watu hawaogopi? mimi wala siko kwa huyu baba, namuonea mtoto huruma. si ajabu hata kitoto hiki sio cha huyu baba. hata la kusema sina....
 
Inaumaaaaaa kama nini kuibiwa mali zako, pole kaka yangu. mkeo anaonekana hakupendi na alishakuchoka....kuendelea hapo ni kujikaanga tu kwa kigezo cha ndoa.

Na huyo mkeo kuomba msamaha hakutoshi mwambie akupeleke kwa huyo mfanya biashara ukiwa na watu flani wa heshima ujue kilichokuwa kikiendelea huko. huenda biznesman aliambiwa yuko single hajaolewa.

Inshort mkeo ni gube gube
 
Pole,Muombe Mungu akupe maamuzi sahihi, kwa jinsi nijuavyo mwanamke ambae si mwaminifu ni vigumu kubadikika

Mimi naona huyu mwanamke ni mwaminifu sana hadi kufikia hatua ya kukiri kosa. Ukikutana na gumegume halikiri ng'o hata ulitishie risasi. Kaka msamehe tu huyo, harudii.
 
Hakuna mke hapo. Binafsi sioni sababu za kujiingiza kwenye kazi ya ziada ya kuanza kumchunga mtu kama mbuzi, mwisho siku utaanza kupata maugonjwa ya kisukari kwa sababu za mjinga mmoja. Ushauri wangu.. chukua maamuzi magumu mzee. Maisha yapo tu, utapata mke mzuri ambaye atakuheshimu kwa dhati.

Igwe like this.....
 
Hebu jaribu kumsoma Nyani Ngabu kati ya mistari, meseji yake naiona kinyume na wewe ulivyompata.

Maana namwona anashindwa kumsaidia huyu mtoa mada tu kutoa maamuzi
Ila amesha'daraha' kabisa

hahaaa nimeona comments zako kwenye thread hii zimeenda shule, mwanamke akigawa uroda nje inakua ishu mbona sisi kila kona tuna totozi kibao? Saloon kwenye scrub, Chuoni, bar, Club na hata mtaani kwangu na bado nina Girlfriend eti namtolea macho akigawa nje......:pray:
 
Last edited by a moderator:
msamehee tu kwa sababu na yeye kajua kuwa amekosea na yupo tayari kubailika, basi hesabia ilo ni mtihani tu wa ndoa yako. ila usimwache
 
pole sana mdau. Ila kwa mtazamo wangu naona haina haja ya kumpa talaka mkeo. Cha msingi tumia upole na umrudishe nyumbani. Mpaka akakubali kuolewa nawewe nikweli amekupenda, ila tamaa yawezekana zilimzidi, naye ni binaadamu. Usibadilike kwa chochote. Endelea na huduma zako na majukumu yako kama baba na muonyeshe upendo. Hapo atakuwa kapata fundisho

we unaweza kufanya hivyo?????
 
Hebu jaribu kumsoma Nyani Ngabu kati ya mistari, meseji yake naiona kinyume na wewe ulivyompata.

Maana namwona anashindwa kumsaidia huyu mtoa mada tu kutoa maamuzi
Ila amesha'daraha' kabisa

sio lazima amsaidie mtoa mada tu, hapa hata wewe amekufungua macho na umeelewa baba watoto wako anakuchunga kila sekunde wakati yeye kila kona ana totozi, kwa upande wangu kimenigusa sana alichoongea Nyani Ngabu, na nitaanza kubadili mtazamo wangu kuhusu totozi
 
Last edited by a moderator:
Whatsoever mimi sina muda wa kumchunga na kumchunguza binadamu mwenye akili zake timamu, huu ndio msimamo wangu, i will play my part kama the head of the House, lakini mengineyo yapo ndani ya binadamu mwenyewe.

Lets say wewe ndio umemuoa Lulu, au Wema Sepetu, haya si ni matatizo ya kujitakia? hawa kina Lulu na Wema Sepetu wapo kila ngazi tofauti ni kwamba tulionao wengine si maarufu, jiulize na waulize wafugaji wote hadi wale wanaofuga Fisi je kuna aliyewahi kufanikiwa kumfuga kunguru!?....

I like that............
 
huulizi pesa yake, sasa kwa nini anafanya kazi, au nikujiip busy dah wanaume wengine ndo mnajidanga mnawapenda wanawake zenu

kwa staili hiyo naweza kuja na vx nyumbani nlohongwa huko na usiniulize kitu, nakudanganishia tu ni ile pesa yangu ya mshahara
 
Dah!! hiyo kali, sijui nishauri nini hapa!! kama ningekuwa ni mimi kwa kweli Mungu naapa anafunga vilago vyake, sitataka hata kumuona machoni pangu.
 
....kaka, unajua wakati unakula kiapo cha ndoa...kuna kipengele uliulizwa "unakubali kumuoa kwa shida na raha".....

....kitendo cha wewe kushindwa kumstahmilia "shida." Mpaka ukaamua kumpeleka "ukweni" tayari ulishazua mazingira ya kushindwa kutekeleza kiapo chako cha ndoa.

....wewe ulichangia yeye kujiskia mpweke, na kujiskia hana thamani kwako. Nakuomba zingatia kwamba mpaka yeye afikie hayo, kuna mengine mengi umechangia.

Msamehe mkeo, muweke karibu akueleze shida ni nini. Wewe umeumia tangu saa nane mpaka saa kumi, yeye alikuwa anakosa raha siku, wiki na miezi.....mpaka ulipoamua kumuuliza "kulikoni" .....

Msamehe, mfungue kurasa mpya wa maisha. Ila, jipimeni kama hamjaathirika na STD au hata HIV ...
 
Labda atakuwa aliingia chumvini akasikia harufu ya shahawa za mdume.....:sleep:
Asprin babu yangu, kwanza heshima yako, halafu mbona umemwambia mwenzio maneno makali hivyo jamani, eti harufu ya shahawa??? kwani huyo dada haogi, hanawi??? halafu anakwambia cha kwanza alimmega fresh, kwani hiyo harufu ilikuja baada ya cha kwanza?? labda ni shahawa zake mwenyewe je?! nieleweshe pulizzzzzzzz!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom