Mke wangu amenisaliti 'live', naombeni ushauri wenu tafadhali

Mkuu pole sana na mkasa huo. Najua how Much does it pain kugundua kuwa unasalitiwa But huyo ni mkeo na kama ana apologize na atabadilika ili muweze kujenga family ni vizuri sana ukamsamehe kwa sababu ni mkeo. angekuwa Girlfriend ningekusahuri umuache lakini Mke ni tofauti kidogo. Mpe Muda wa ku restart na umfuatilie ili kuhakikisha haridii tena.
 
Duu pole sana kaka yangu. Ngoja wapo kule kwenye birthday ya Kongosho wakirudi watakupatia ushauri wa busara jas be patient..
 
Huyo ni mkeo kama kaomba msamaha msamehe ila mshauri mkapime afya(v.v.u), ni vyema ukafanya hivyo,pia ujaribu kufuatilia kama kaachana nae kweli asijie akawa ana kufariji.
 
Huo mtihani mkubwa ndugu yangu. Hapo nakushauri umrudishe tu hapo Dar uishi naye akiendelea kuishi peke yake huko Kibaha ataendelea kukusaliti.
 
pole kaka, but kabla ya kumsamehe jaribu kujua, kuchunguza tatizo, root ya yeye kucheat, irekebishe ili hiyo hali isijirudie tena! mngekuwa hamana watoto ningekwambia umuache, coz hata biblia kwa cc wakristu inakubali kuachana kwa sababu moja tu,, ya adultery. pole in advance!
 
Pole sana Mkuu!!!
Nikamuuliza uliomba ruhusa
ya kuhamia kibaha ili uwe
huru? Je umekosa nini kwangu au mimi nilikuwa
sikutoshelezi? akajibu
hapana!

Hebu Mpe SECOND CHANCE lakini hii nafasi ni kwa ajili ya kumchunguza pekee na kwenda kupima... Maana kama ni kweli anataka msamaha hata Rudia ila kama Ataendelea tafuta Usitarabu mwingine kabla hayajawa makubwa na Kukuletea UKIMWI/STD's nyumbani
 
Baba, pole na matatizo!
Nashindwa kuamini, ina maana huyo mchaga wa kimara baruti anaitumia na kuisasambua kiasi cha kuchoka ndani ya mwezi mmoja tu?! Ina maana wewe ulikuwaga unabofya tu?

Natamani ungeangalia nafasi yako kwenye kusimamia nyumba yako.
1 humuulizi mkeo hela yake anapeleka wapi. Je, ulishawahi kuwaza anatumia kiasi gani cha kipato chake kidogo cha ualimu kwa nauli na chakula mchana? Je anachoka kiasi gani kutoka umbali mnaoishi na kibaha? Ulishajaribu walau kumsaidia ahamie karibu ama kupangisha nyumba yenu na nyie kuhamia kibaha ama kibamba ili asiwe mbali sana na kazini?

2 pamoja na mkeo kuwa mnunaji, ulishawahi kuvunja ukimya hata kwa hisani yako? Unasema hujapewa unyumba muda mrefu; ulishawahi kujadili na mkeo na kumjulia khali kama yeye anapata wapi unyumba kama nyumbani haupatikani?

3 Funga kazi ni mkeo kukuambia anataka kuhamia karibu na kazini, chumba na kitanda na godoro tayari na wewe kuona ahueni! Na unaacha mkeo na mwanao kuhamia tena kwa basi mahali usipopajua! Kwa hela usizozijua?!

Pole kwa kukupa dawa chungu! Ukijitathmini ulipokosea utajua jinsi ya kushona na kuweka viraka koti lako.
 
you can always tell a woman from a girl.... I hope he will read this advice hata kama ni chungu!!!
 
Huo mtihani mkubwa ndugu yangu. Hapo nakushauri umrudishe tu hapo Dar uishi naye akiendelea kuishi peke yake huko Kibaha ataendelea kukusaliti.

Nakubaliana nawe ila inamlazimu shemeji yetu kuacha kazi huko,kwa sababu mbili kwanza kuwa karibu na mumewe ikiwezekana atafute kazi karibu ama mume amtafutie biashara yoyote afanye pili asiende kuonana na hao watu waliompelekea kusaliti ndoa yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom