Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,604
Haya ni matatizo ya malezi ya upande mmoja, huyu jamaa nina uhakika kama angepata bahati ya kuishi na baba yake angejifunza ni jinsi gani baba yake alivyokuwa anasuluhisha ugomvi kati ya mama yake na bibi yake.
Au angeomba ushauri kwa baba au mzee wa kiume mwenye uzoefu, siku hizi utandawazi umetupoteza sana kiasi kwamba vitu vya msingi tunataka kuvi-solve kwa google, JF, FB au tunafanya reference kwenye tamthilia za kina Larevancha ambako kuna maisha ya kisanii.
Utakuta jitu kubwa limeoa kila siku kumsifu mama yake, mara mama anajua kupika, mama ananipenda, mara mama ooh!!! Mwisho utajisahau ukiwa kitandani useme mama anajua kukatika (ni ujinga), mke mke, mama mama.