Mke wa rafiki yangu ananitaka

Hii ni kweli kwa ufupi tu ninae rafiki yangu tulisoma pamoja na mungu akajaalia hata kazini tupo pamoja mwenzangu amebahatika kuwa mimi nilikua mpambe wake ktk haruc ila hivi sasa mkewe anaonesha ishara za kunitaka hata messege za mapenzi baadhi ya cku ananirushia na kumwambia mumewe cwezi na kutofika kwa rafiki yangu pia ngumu nifanye nini."HII NI KWELI."
Ukishamchakachua mke wa rafiki yako pia utarudi hapa kutuambia au kututaka ushauri?

Nenda kwa mchungaji, padri au sheikh akushauri kimaadili juu ya "mmonyoko wa maadili" katika jamii. Halafu utafanya uamuzi wa kunyonga au kujisemea kazabibu kenyewe ni "sour grapes".
 
Ndugu yangu usichotaka kutendewa usiwatendee wengine,kama unapenda mkeo nawe amege mkate na mwingine fanya.Apandacho mtu ndicho atavuna ukifanya naye mapenzi na wakwako watakuja fanya naye,pia hakuna kitu kibaya kama kuchukua mke wa mtu kwani unaivuruga kabisa familia hiyo mme akijua,ikimbie zinaa.
 
Hii ni kweli kwa ufupi tu ninae rafiki yangu tulisoma pamoja na mungu akajaalia hata kazini tupo pamoja mwenzangu amebahatika kuwa mimi nilikua mpambe wake ktk haruc ila hivi sasa mkewe anaonesha ishara za kunitaka hata messege za mapenzi baadhi ya cku ananirushia na kumwambia mumewe cwezi na kutofika kwa rafiki yangu pia ngumu nifanye nini."HII NI KWELI."

Usitembee na mke wa rafiki yako. hiyo dhambi haitakutoka mpaka unaingia kaburini.
Mdharau huyo mwanamke, usijibu sms zake. Mwepuke unavyoweza. Ila uwe na tahadhari anaweza kugeuza maneno. weka messages zake kwam ushahidi ikiwa atamweleza mumewe kuwa wewe ndio ulikuwa unamtaka.
Kila la heri.
 
wewe hujawahi kula mke wa rafiki yako?

halafu mangeka yupo wapi aisee?????
Yanini kula mke wa watu na visichanaa vizuri zuri kila kona-aa kama nilikula wake za watu basi lazima ilikuwa bahati mbaya na kulikuwa hakuna babe kwenye face book-hahaha.
 
Isalia, wewe umeoa? Naamini bado, na kwa jinsi hiyo hukuwa na sifa kusimamia ndoa.
Vijana, epukeni kusimamia ndoa kama hamjaoa, haka kamchezo ka masharubalo kusimamia ndo wakti hawajaoa ni hatari sana.
 
Yawezekana anataka kkupima jinsi gan ulivyo *****. Cku ukimkubalia anamwambia hata rafiki yako ndo pakufumaniwa sasa.
 
Siku nawe ukioa mkeo atatakwa na rafiki hata adui yako. Ambavyo ungependa utendewe mtendee huyo rafiki yako aliyeoa changu. Saa nyingine husemi ukweli-wewe ndiye unamtaka. Kila siku mwanamke ananitaka kwani wanaume hawawataki wanawake? Kama unatoka makabila ya kaskazini au Mara yawezekana ukamtaka au naye akakutaka. Maana kwa makabila mengine mke wa rafiki yako ni dada yako sawa na shemeji yako.
 
Igonge bana. Kwan sabuni ndo useme utammalizia. Ile fasta...
 
With wives like these, who needs marriage?

Kama una urafiki wa kweli na rafiki yako mwambie vituko vya mkewe kwa ushahidi usiopingika.

Usipofanya hivyo una lawama.
 
Wewe ni wazi hata uki'aswa usifanye utafanya! Ni dhahiri una "ubongo wa samaki" kitaalamu tutaita "Fish celebrum" kumla/kutomla mke wa rafikio haikua mada ya ku'discus!
 
mwambie mke wa rafiki yako....mchezo anaotaka muuanzishe una hatari isiolezeka...mwambie atulizane kwenye ndoa yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom