Mke wa ndoa na Housegirl nani mtamu?

Status
Not open for further replies.
sasa hapa umetupeleka majaribuni. nadhani swali hili ni muafaka sana kwa wanandoa wapenda onjaonja!!!!!!! ila labda tu kwa kusaidia kuchangia, nina imani kuwa mke ni mtamu zaidi kuliko beki tatu, kwa sababu mwenye nae anajinafasi kwa raha bila hofu.
 
Ukitaka kuonja shubiri ya ndoa, tembea na hg then wife ajue...utamlinganishaje hg na mkeo? HAIFAI HAIFAI HAIFAI......................
 
Kakwembe&Mao unajua c kwamba mme anakua anamtaman hg mala nyingi balaa hl huletwa na mama(mke) ss baba anaona pa kukmbilia ni kwa hg
 
Kakwembe&Mao unajua c kwamba mme anakua anamtaman hg mala nyingi balaa hl huletwa na mama(mke) ss baba anaona pa kukmbilia ni kwa hg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom