Mke wa ndoa na Housegirl nani mtamu?

Status
Not open for further replies.
Eaka mangi&Nyani ngabu Ebwana nyie wa ukweli na uhakika c kila muda 2jadil jambo moja smetime 2reflesh thanks kwa kujua kua ni SOMO
 
Mie sitokuwa na housegal, na wala sitolea hahaha. Atakoma,,,,
Ni sawa kuliza mume wa ndoa na hawara nani mtamu? Hawara atakuwa mtam zaidi ya mume, sababu haulali nae kila siku. Ila mume atakuwa mtamu kwa sababu unampenda kama mume. Kila mtu anautam wake hahahah
 
Jamaniiiiiiii,
eti takwimu!!!!??

Ndo wale wale mkizaa watoto wenu akivunja naniiii mnaanza "huyu kama mama yake enzi zileeee"
 
Takwimu zipi, si uweke tuzione wote, na zilifanyikia wapi?

Suala unalotaka kusema kuhusiana na housegirl kuchukuliwa na baba wenye nyumba ni kwamba lipo!.Hawana utamu wowote wa kumzidi mywife, Ila sababu kuu ni kwamba HAWANA GHARAMA, ndio maana inakuwa rahisi kuwalamba!..
Lakini pia wako available muda wote hata pale mywife anapokuwa labda kasafiri au analea!(nimeamua kuwa mkweli bana...sitauma maneno hapo")

hahahaha, i wish mama nanii aione hii sijui patakalika hapo
 
House girl ni watamu ingawa wengine wachafu hii ni kwa sbb ni kuibia, is like unatoka nje ya ndoa na mwanamke si wala mzuri, wakati mke wako unakuta she is Veryyy Beatiful, kuibia mzee kutamu, sijui kwanini vitu vya uwizi vitamu vitamu tuchunguze hili
 
Mie sitokuwa na housegal, na wala sitolea hahaha. Atakoma,,,,
Ni sawa kuliza mume wa ndoa na hawara nani mtamu? Hawara atakuwa mtam zaidi ya mume, sababu haulali nae kila siku. Ila mume atakuwa mtamu kwa sababu unampenda kama mume. Kila mtu anautam wake hahahah

Mawifi hakuna huko! Watakutoa baruti haoo hasa tena ukute nyumba ya baba yao. Wewe Somoe umekuja kujaza choo hapa ama wewe mgumbaaa. Sisi tunataka mtoto we unakaa tu hapa (utafikiri wao ndo wanakupa hiyo mimba). Kuzaa shurti bibiye!
 
House girl ni watamu ingawa wengine wachafu hii ni kwa sbb ni kuibia, is like unatoka nje ya ndoa na mwanamke si wala mzuri, wakati mke wako unakuta she is Veryyy Beatiful, kuibia mzee kutamu, sijui kwanini vitu vya uwizi vitamu vitamu tuchunguze hili

Hata wale walioiba juzijuzi nao wanaona raha sana ss hv eti?
 
Kama takwimu nyingi ndani ya familia nyingi mahouse girl wamevunja ndoa nyingi je wanakua watamu kuliko mke au ndo chovyachovya ya baba?

Mara nyingi wanadamu huwa tunasahau kuwa viumbe vyote vimeumbwa na tamaa.Na siku zote kile ukitamanicho si kile ambacho unacho(unakimiliki)bali ni kile ambacho kiko kwa mwenzio.Kwa maana hiyo basi tukilitazama vizuri neno nyegelesha tutagundua kuwa vimtiavyo mtu nyege si vile alivyo navyo bali ni vile vilivyo kwa mwingine na unapokuwa na mkeo/mumeo mnakuwa ni mwili mmoja na mnazoeana na hilo ni hatari katika mahusiano kama mmoja wenu htakuwa na uwezo wa kuongoza hisia zake juu ya vile vimtiavyo nyege.Hivyo basi ni vyema wanadamu wakaepuka hali hii kwa kutumia akili na utashi wakiongezea sala na maombi maana hii kitu kwa kuitazama juujuu tu tanaweza tusione kama tatizo lakini ni tatizo kubwa sana katika jamii ambalo linafichwa na paa za nyumba zetu.In short thats nature and we have to use all our abilities and strength to go against it.
 
Ni perception tu! Ni kama yule mtu aliyechukua demu mtaani usiku wa kiza na kwenda ku du nae na kuanza kumsifia wewe ni zaidi ya mke wangu. Walipomaliza ku du kuja kumwangalia fresh kumbe alikuwa ni mkewe.
 
mkeo zaidi, acha maswali yako wewe yasiyo na msingi. au ulioa kwa bahati mbaya au uliozeshwa na wazazi? :tape:
 
Takwimu zipi, si uweke tuzione wote, na zilifanyikia wapi?

Suala unalotaka kusema kuhusiana na housegirl kuchukuliwa na baba wenye nyumba ni kwamba lipo!.Hawana utamu wowote wa kumzidi mywife, Ila sababu kuu ni kwamba HAWANA GHARAMA, ndio maana inakuwa rahisi kuwalamba!..
Lakini pia wako available muda wote hata pale mywife anapokuwa labda kasafiri au analea!(nimeamua kuwa mkweli bana...sitauma maneno hapo")

mi naona hamna mada ya kudiscuss hapa
 
IVI KABISA MNAKAA NA MINDEVU YENU PUUUUUU KIDEVUN MNAJADILI NAN MTAMU??:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
mweeee mweeeeeeeeeee very lowwwwwwww ,mote than low itself...
EBU NYANYUKEN KIFIKRA NA MJADILI YA KUJENGA.
samahanini lakin.
 
Mbona hujiamini?au na ww umeolewa alafu unae HG tena mzuri kuliko wewe ss inakupa taabu hasa unapokua kazin na mzee anadai yeye leo hajickii vyema hvyo hatakwenda job.Pole rose1980
 
Topic zingine vimeo kweli yaani mkeo umlinganishe na hausegal ,
ama kweli tunakoelekea siko
 
Mbona hujiamini?au na ww umeolewa alafu unae HG tena mzuri kuliko wewe ss inakupa taabu hasa unapokua kazin na mzee anadai yeye leo hajickii vyema hvyo hatakwenda job.Pole rose1980

nini apo kimeonyesha km sijiamin?unasoma au unachungulia maandish wew?
:rip: ungekuwa hai labda ningeendelea bt for nw:rip::rip::rip::rip:.
 
Kama takwimu nyingi ndani ya familia nyingi mahouse girl wamevunja ndoa nyingi je wanakua watamu kuliko mke au ndo chovyachovya ya baba?

Mkuu kama umem-reduce mkeo na kumfananisha na house girl inabidi tukuswalie. Hata hivyo swali hili unaweza kuwauliza baadhi ya watu ambao tayari wamejaribu, kuna mmoja alikuwa police Chief (sina hakika kama ni Mahita) alifanya kweli.

Lakini ungejisikiaje kama mkeo akiuliza swali kama hili. Nani poa house boy au husband? inawezekana ungetoa maoni mazuri sana.
 
IVI KABISA MNAKAA NA MINDEVU YENU PUUUUUU KIDEVUN MNAJADILI NAN MTAMU??:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
mweeee mweeeeeeeeeee very lowwwwwwww ,mote than low itself...
EBU NYANYUKEN KIFIKRA NA MJADILI YA KUJENGA.
samahanini lakin.

Ahh Rose si wote tuko low hivyo. NI kweli kuna haja ya kujadili ya maana na sio upuuzi wa namna hii, lakini kuna mifano ya watu wakubwa tu waliofanya hivi.
 
Muulizeni Abrahamu wa kwenye misahafu na Sarai wake.....mapak leo watu wanatoana roho sababu ya mungu mmoja...mitume kibao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom