Mke wa ndoa na Housegirl nani mtamu?

Status
Not open for further replies.
Utamu wa HG unaanzia pale ambapo nakuandalia chakula kitamu ambacho mkeo pia anakula, maana unakuta mme na mke wako busy na kazi, sometime mme akirudi usiku HG ndio ufungua mlango sasa hapo unategemea nini?
 
Kama takwimu nyingi ndani ya familia nyingi mahouse girl wamevunja ndoa nyingi je wanakua watamu kuliko mke au ndo chovyachovya ya baba?


kokudo
Member


Join Date:
Tue Oct 2010
Posts:
38
Thanks:
0
Thanked 2 Times in 2 Posts
Rep Power:0


ndo anajifunza huyo jam,ani coz ni mgeni humu, hivyo msimshambulie.. just tumpe kampani ili jf iendelee kusonga mbele
 
Kuna factor nyingi ila kubwa zaidi huchangiwa na wamama wenye nyumba kwa asilimia kubwa. Asilimia ndogo ni UFISADI (kwa mujibu wa tafsiri mpya) wa hawa wanaume.
 
Kama takwimu nyingi ndani ya familia nyingi mahouse girl wamevunja ndoa nyingi je wanakua watamu kuliko mke au ndo chovyachovya ya baba?

Nadhani Mod wawe wakali na post za namna hii maana hazijengi na hazina maadili tumechoka na mambo ya ajabu ajabu mara sijui tigo, bata, jicho sasa mmehama kwenye mahausegirl hamna vitu vya maana vya kujadili? hili lina tija gani kwa taifa kwa ujumla? sio wote wenye tabia za kishenzi kama hizo ulizozisema ni minority ya population yetu in other words washenzi kila sehemu wapo!
 
Mmmmm safi sana but walisema ukiona m2 anamsema mwenzake mgomvi yeye ndo mwenye matatzo ok haya pia ni mawzo
 
Nadhani Mod wawe wakali na post za namna hii maana hazijengi na hazina maadili tumechoka na mambo ya ajabu ajabu mara sijui tigo, bata, jicho sasa mmehama kwenye mahausegirl hamna vitu vya maana vya kujadili? hili lina tija gani kwa taifa kwa ujumla? sio wote wenye tabia za kishenzi kama hizo ulizozisema ni minority ya population yetu in other words washenzi kila sehemu wapo!

Kuna thread kibao humu sio lazima uje huku. Chagua pa kwenda pal! Sisi wengine tuna stress za siasa tumeamua ku-recharge battery zetu kukaa humu. We hujui ama hujasikia HG kavunja ndoa ya mtu. We hujui kuwa tunawalert wenzetu wasikae kubweteka na kuwaachie beki 3 akafanya kazi zooote hata kumfulia boxer mumewe! Hili ni somo na usifikiri ni mzaha hapa. Kama wewe unafikiri siasa tuuuuuu kila la kheri bwana.
Juzi juzi hapa nilipost moja kuwa mzee huku kaonja beki 3 baada ya mama kuhamia kwenye kampeni kurudi HG kawa anapika na kupakua. Amemfukuza mzee kamfata hukohuko kijijini kwao! Sio madhara hayo? Wote tunabadilishana mauzoefu mkuu!
 
Unataka takwimu? za SYNOVATE/REDETE zipo tele:doh:
Takwimu zipi, si uweke tuzione wote, na zilifanyikia wapi?

Suala unalotaka kusema kuhusiana na housegirl kuchukuliwa na baba wenye nyumba ni kwamba lipo!.Hawana utamu wowote wa kumzidi mywife, Ila sababu kuu ni kwamba HAWANA GHARAMA, ndio maana inakuwa rahisi kuwalamba!..
Lakini pia wako available muda wote hata pale mywife anapokuwa labda kasafiri au analea!(nimeamua kuwa mkweli bana...sitauma maneno hapo")
 
Wait a minite!! Ivi hausi gelo wa miaka 16 ivi na mwanamama wa miaka 35 yupi mtamu? ( kimsuguano zaidi.)
 
navyofahamu HG nikama mwanao kumuendea kinyume ni dhambi kubwa sana hebu fikiria HG akiugua au andoke huwa kinatokea nini ?hawa wanaofanya hivi ni wale walioksa maadili au hawakwenda jando, huyo ndio dereva siku akiamua kuwatumbukiza mtoni hakuna ujanja,.halafu hawa ni wale wenye zege mdomoni hawezi kutongoza nje zaidi ya kumbaka huyo HG
 
ina maana mkeo ana class ya ki house girl! au ww ndo class yako ya chini?

Mbona una dharau dada? Binadamu wote ni sawa sasa iweje wengine wawe kwenye madaraja yaliyo chini kiutu? Kwani kazi ya usaidizi wa nyumbani si riziki halali inayostahili kuheshimiwa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom