Teh teh si bure ka.g.o.nge.wa.huyoTeh hivi mpendwa upo serious kweli au?
Mleta mada ana hoja, aiweke vizuri zaidi. Hasa hilo la mipicha linatia ukakasi!Kweli ulichosema siuwongo pch wanazotuma huwa cizielewi inakuwa kama wanatafuta wateja yani kama biashara flani ivi imekuja kisasa zaidi mtandao kama badoo ni hatari kama mkeo yupo humo jitathimini mara 2
Duh! Huyu jamaa ni bonge la primitive!
Wew utakuwa umevurugwa si bure. . Sitaki kuamini kama hujui umuhimu wa social networks kwenye jamii. .mnunulie mkeo simu ya kitochi
kabla ya smart fone unadhani kulikuwa hakuna michepuko? mke wako anatumia simu gani?
Huyu bwana ni bonge la mshamba.Hahaha kwa hiyo hatuto- Google tena jamani?
kwa kiwango cha uprimitive wake sidhani hata kama hilo neno primitive anaelewa maana yake. Nashauri liandike kwa lugha ya kiswahili ili aelewe.Duh! Huyu jamaa ni bonge la primitive!
Anachosema ciprofloxacin kina ukweli ndani yake ingawa ni ukweli mchungu smartphone zinachangia kwa kiasi kikubwa kuleta usaliti katika ndoa,
Jana mi nimechat na mke wa mtu hadi saa 8 za usiku na mume wake amelala sasa unadhan mi na huyo mwanamke tunaelekea wapi??
Hakuna namna