Mke wa mtu, Smart phone ya nini?

Umuoe mtu umkute na smartphone umnyang'anye? Ndoa hazipo hivyo kama wakukusaliti atakusaliti tu na usaliti ulikuwepo hata kabla ya smartphone, mimi mke namnanunulia smartphone hata tano kwa mwaka maana ni bingwa wa kupoteza na watoto kuzivunja napokuwa mbali hunitumia picha na vile vile najua mienendo yake kupitia smartphone hizo.
 
95% ya wake za watu wenye smart phone wanachepuka.
Tangu lini mke wa mtu akawa na smart phone? hizi ndo zinatumika kuleta usaliti mkubwa kwenye ndoa.
Unakuta mke wa mtu yupo busy na facebook, jamiiforums na mitandao mingine, halafu mwanaume mzima na ndevu zako umetulia tu kama juha.
Mke wa mtu anatafuta nini facebook na JF kama siyo umalaya?
Anachat nini na nani na kwa malengo yapi?
Ni wakati wa wanaume kujitambua sasa, huo usawa wanaotaka wanawake haupo ng'oo!
Mwanamke anabaki kuwa mwanamke tu.
Mungu alimtoa mwanamke ktk ubavu tena wa kushoto wa mwanaume.
Smart phone ni kwa ajili ya wanaume tu.
Mwanamke anaishi kwa mipaka mingi Sana tofauti na mwanaume.
Poleni wanaume wote ambao wake zenu wana smart phone, kuchapiwa hakukwepeki kabisa.
NAKUBALIANA NA WEWE KBS
 
Wewe mleta thread ni ubinafsi tu ndo unaokusumbua,wewe unasmartphone mkeo Nokia ya tochi ama ugumu wa maisha unaona kununua smartphone 2 ni gharama? Maana si kwa wivu huu.
 
yaani wewe unawaza umalaya tu??? wanawake wengi wako wanaadvertise biashara zao mitandao, we endelea kuwaza negative
 
95% ya wake za watu wenye smart phone wanachepuka.Tangu lini mke wa mtu akawa na smart phone? Hizi ndo zinatumika kuleta usaliti mkubwa kwenye ndoa.Unakuta mke wa mtu yupo busy na mitandao, halafu mwanaume mzima na ndevu zako umetulia tu kama juha.

Mke wa mtu anatafuta nini mitandaoni kama siyo umalaya? Anachat nini na nani na kwa malengo yapi?Ni wakati wa wanaume kujitambua sasa, huo usawa wanaotaka wanawake haupo ng'oo!

Mwanamke anabaki kuwa mwanamke tu.Mungu alimtoa mwanamke katika ubavu tena wa kushoto wa mwanaume.Smart phone ni kwa ajili ya wanaume tu.

Mwanamke anaishi kwa mipaka mingi sana tofauti na mwanaume.Poleni wanaume wote ambao wake zenu wana smart phone, kuchapiwa hakukwepeki kabisa.
POle Anti biotic kwa kuchapiwa. Halafu jamaa yangu huna haja ya kupaniki, kwani kama kaliwa si kaliwa yeye, wewe tatizo lako liko wapi? kwani hukuikuta papuchi, si ipoooo? dawa yake na wewe ichape na kama ukiona haina radha basi tafuta papuchi nyingine upumue. simple like that.
 
Anachosema ciprofloxacin kina ukweli ndani yake ingawa ni ukweli mchungu smartphone zinachangia kwa kiasi kikubwa kuleta usaliti katika ndoa,
Jana mi nimechat na mke wa mtu hadi saa 8 za usiku na mume wake amelala sasa unadhan mi na huyo mwanamke tunaelekea wapi??
Hakuna namna

Kabla ya kuja kwa simu za mkononi michepuko haiku wapo?
 
Unajua umalaya ni tabia ya mtu hata mtu awe vp kama hana hofu ya Mungu umalaya kwake ni kawaida kabisa, tabia ni kama ngozi kuibadilisha ni kazi sana. Umalaya ni mtu kuchagua
 
Haya maneno walinena wazee wa zamanii,
Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndanii,
Masikini roho yangu mimiii......

By: Rich Mavoko.
 
blaza umepanic sana embu punguza jazba daah... umefumania nin?
 
Yaani mke wangu asijitwange photo ya kaselfie na wanangu kisa?? Mke wangu asinitumie picha ya msosi nitakaokula nikirudi home kisa atatongozwa!!! Kama umeoa kahaba kivyako bana
 
Back
Top Bottom