AmenBaba katika jina la Yesu, Maria, Joseph na mtume Mohamadi naomba niepushe na ndoa!
Tehehehehehe, mimi ndo nafaa sasa ktk kuimarisha ndoaMwanaume km huyu ni mzigo kama Mulugo
kati ya wanaume wenye Bahati duniani Mimi ni mmoja wapo.Teh teh si bure ka.g.o.nge.wa.huyo
My friend, get to know that I don't suffer any primitiveness.kwa kiwango cha uprimitive wake sidhani hata kama hilo neno primitive anaelewa maana yake. Nashauri liandike kwa lugha ya kiswahili ili aelewe.
Hivi hao wake za watu wameanza kuchepuka baada ya hizo simu zenu kuingia..........?95% ya wake za watu wenye smart phone wanachepuka.Tangu lini mke wa mtu akawa na smart phone? Hizi ndo zinatumika kuleta usaliti mkubwa kwenye ndoa.Unakuta mke wa mtu yupo busy na mitandao, halafu mwanaume mzima na ndevu zako umetulia tu kama juha.
Mke wa mtu anatafuta nini mitandaoni kama siyo umalaya? Anachat nini na nani na kwa malengo yapi?Ni wakati wa wanaume kujitambua sasa, huo usawa wanaotaka wanawake haupo ng'oo!
Mwanamke anabaki kuwa mwanamke tu.Mungu alimtoa mwanamke katika ubavu tena wa kushoto wa mwanaume.Smart phone ni kwa ajili ya wanaume tu.
Mwanamke anaishi kwa mipaka mingi sana tofauti na mwanaume.Poleni wanaume wote ambao wake zenu wana smart phone, kuchapiwa hakukwepeki kabisa.
Primitive ideologiesTehehehehehe, mimi ndo nafaa sasa ktk kuimarisha ndoa
Shem njoo huku, kaka kaunga mkono hoja!!!Warren T hili bandiko linaukweli tena mkubwa ndani Yake. Smartphn zimekuwa chanzo kikubwa cha usaliti katika Mapenzi.
Zimerahisisha soko la kutumiana picha zisizo na maadili.. Unakuta mke wa mtu katupia picha Insta mpaka kinguo cha ndani kinaonekana.
Madada wengi hawajui matumizi ya smart ndio maana wanashinda inst kushabikia ugomvi usio wahusu kati ya shemeji Zari na Zilipendwa X shem Wema.
Hata mimi naunga mkono kuwa SMARTPHONE NI KWA AJILI YA MATUMIZI YA WANAUME TU.
Bila uwepo wa smartphn kwa madada ndoa zitabaki salama na hakutakuwa na Malalamiko tena.
NAUNGA MKONO HOJA
Kweli nyani haoni kundule hizi smartphone zinachagua jinsia ya kuharibu eeh?acheni mawazo ya kizembe kama huwezi kutumia simu hata uwe na nokia tochi utaharibu tu
Yeye mwenyewe anajijua kuwa kwenye suala la Smartphn sina masiharaShem njoo huku, kaka kaunga mkono hoja!!!
Kabla ya smart phone kulikua hamna malalamiko kwenye ndoa eti?Mi nadhani hili swala ni utashi wa mtu tu.Labda tuseme tu simu bila kujali ni ya aina gani inaeza sababisha mgogoro katika ndoa.Warren T hili bandiko linaukweli tena mkubwa ndani Yake. Smartphn zimekuwa chanzo kikubwa cha usaliti katika Mapenzi.
Zimerahisisha soko la kutumiana picha zisizo na maadili.. Unakuta mke wa mtu katupia picha Insta mpaka kinguo cha ndani kinaonekana.
Madada wengi hawajui matumizi ya smart ndio maana wanashinda inst kushabikia ugomvi usio wahusu kati ya shemeji Zari na Zilipendwa X shem Wema.
Hata mimi naunga mkono kuwa SMARTPHONE NI KWA AJILI YA MATUMIZI YA WANAUME TU.
Bila uwepo wa smartphn kwa madada ndoa zitabaki salama na hakutakuwa na Malalamiko tena.
NAUNGA MKONO HOJA
mkabasia wakati ambao smartphn zilikuwa bado hazijaingia hatukuwa tukiona picha za utupu...Kabla ya smart phone kulikua hamna malalamiko kwenye ndoa eti?Mi nadhani hili swala ni utashi wa mtu tu.Labda tuseme tu simu bila kujali ni ya aina gani inaeza sababisha mgogoro katika ndoa.
nenda kaishi saudi arabia unaweza pata amani kiduchu...95% ya wake za watu wenye smart phone wanachepuka.Tangu lini mke wa mtu akawa na smart phone? Hizi ndo zinatumika kuleta usaliti mkubwa kwenye ndoa.Unakuta mke wa mtu yupo busy na mitandao, halafu mwanaume mzima na ndevu zako umetulia tu kama juha.