Mke wa mtu kanifunza kitu

Mara ya kwanza tulikutana club sikujua kama ni mke wa mtu, alikuwa amevaa kistaarabu sana kumbe alikuwa ametoka kwenye sendoff party alikuwa ameongozana na wenzake wawili. Nilimtongoza hakukubali moja kwa moja ila tulibadilishana mawasiliano. Kilichonifanya nisiwaze kama ni mke wa mtu kwanza ni kumuona maeneo yale kwa muda ule na alikaa hadi saa8 usiku, wakati anaondoka nilimsindikiza hadi kwake akapiga simu wakaja kumfungulia geti akiwa anaingia ndani nilisikia kama sauti ya mwanamke ikimgombeza japokuwa sikuelewa walichokuwa wanaongea lakini nilijipa majibu kuwa huyu atakuwa anakaa kwa ndugu yake.
Mkuu sasa kama mtu harudi nyumbani siku mbili atajuaje unakula?
 
Mara ya kwanza tulikutana club sikujua kama ni mke wa mtu, alikuwa amevaa kistaarabu sana kumbe alikuwa ametoka kwenye sendoff party alikuwa ameongozana na wenzake wawili. Nilimtongoza hakukubali moja kwa moja ila tulibadilishana mawasiliano. Kilichonifanya nisiwaze kama ni mke wa mtu kwanza ni kumuona maeneo yale kwa muda ule na alikaa hadi saa8 usiku, wakati anaondoka nilimsindikiza hadi kwake akapiga simu wakaja kumfungulia geti akiwa anaingia ndani nilisikia kama
Ndugu haujaishi na mwanamke ukamjua vizuri kama wewe mchepuko amekushikia akili hivyo kukuchezea anavyotaka, hawa ni viumbe wa ajabu inatakiwa kutumia akili ya ziada pamoja na upendo, upendo tuu bila akili huwezi kuishi nao
 
Kuna sababu nyingi za tofauti zinazopelekea mke achepuke.

Pia kuna idadi kubwa ya wanawake walioachwa baada ya waume zao kugundua uchepukaji wa wake zao na wala haijawa suluhisho kwa Wanawake wengine kutulia.

Ipo haja ya kuangalia namna nyingine ya kutatua hii hali. Labda kwa kuwa sisi Binadamu ni jamii ya wanyama basi tuliumbwa tuishi kwa staili kama wanyama wengine wanavyoishi.

Miaka ijayo pengine hakutakuwa huu utaratibu wa kuchumbia mke mmoja, maana kwa sasa mfumo huu umeonyesha umefeli kwa kuwa Mke na Mume wote wanakuwa wachepukaji.
Ndoa ni life- commitment ya hali ya juu sana nauelewa mkubwa wa taasisi hiyo iliyotakatifu kwa wote wawili, mmoja kwenda mchepuko nawe unaiga haijengi ndoa mnaleta uchafu ndani.Mungu ameagiza ndoa iheshimiwe na watu wote, BwanaMungu amefanya jambo jipya duniani mwanamke atamlinda mwanaume, sasa mwanamke anamlindaje mumewe kwa kufanya uasherati
 
Ila kwa masimulizi yako aisee umeinjoi sana hiyo mashine. Ipige tu kwa akili wanawake wenyewe ndio hawahawa tu hawanaga uchoyo ukimkataa wewe anamuachia papa mwingine.

Mama zetu ambao walizaliwa kabla ya 1980's ndio walikuwa wanaficha Papa zao, Hawa walevi wa siku hizi unakula tu maana hata mkeo wanajilia tu believe me.
So mkeo wahuni wanamchinja bro
 
Ndugu haujaishi na mwanamke ukamjua vizuri kama wewe mchepuko amekushikia akili hivyo kukuchezea anavyotaka, hawa ni viumbe wa ajabu inatakiwa kutumia akili ya ziada pamoja na upendo, upendo tuu bila akili huwezi kuishi nao
Mapenzi ndugu we acha tu... Unaweza kuwa ni mtu wa totoz sana kila aina ya dem unamjua lakini kuna sehemu unaweza ukashikiwa akili hadi watu washangae
 
Mara ya kwanza tulikutana club sikujua kama ni mke wa mtu, alikuwa amevaa kistaarabu sana kumbe alikuwa ametoka kwenye sendoff party alikuwa ameongozana na wenzake wawili. Nilimtongoza hakukubali moja kwa moja ila tulibadilishana mawasiliano. Kilichonifanya nisiwaze kama ni mke wa mtu kwanza ni kumuona maeneo yale kwa muda ule na alikaa hadi saa8 usiku, wakati anaondoka nilimsindikiza hadi kwake akapiga simu wakaja kumfungulia geti akiwa anaingia ndani nilisikia kama

Wanawake wote wanaoliwa nje husingizia mambo mengi waume zao ili kukunasa kirahisi, vilevile kama ambavyo sisi waume za watu nikitaka kula mchepuko namsingiazia mke wangu mambo mengi ili nipate mzigo kirahisi, so dont be fooled ukaamini kweli hapendwi na ananyanyasika
 
Uko sahihi... Noted!
 
Daah. mimi mwaka jana kuna mke wa mtu alinisumbua sana alikuwa anadai mmewe akirudi kazini apigi show Mmewe anafanya kazi kwenye mizani. ilibaki kidogo tu nimchakate .
Mara nyingine hawa wake za watu msiamini sana maneno yao.

Wanawasingizia waume zao kuwa hawasimamishi, hawawaridhishi au hawawajali ila unakuta SI KWELI, ni wao tu wana tabia za Umalaya. Pia hizi smartphones zimechangia sana uchepukaji.

Ukitaka kujua waume zao wana umuhimu ngoja waachike kwenye ndoa zao uone wanavyoweweseka kutaka kurudi kwa waume zao.
 
Back
Top Bottom