Mke wa mtu anadai anamtoto wangu

sw33tboy

Member
May 24, 2011
42
4
nimeoa hivi karibuni ila wakati natoka kumchukua mke wangu nilipokea simu kutoka kwa msichana ambae nilikua na mahusiano nae miaka mitatu iliyo pita ambae arikwisha orewa ananieleza kua mtoto alie nae nimtoto wangu na si mtoto wa bwana anae ishi nae anadai kama nitahitaji nikamchukue je nifanyeje jamani nahofia ndoa yake na yangu pia
 
Neno jipya hili.....inakuwaje???
 
Huyo ukute ameachika huko aliko olewa au yuko about kuhachwa anakutaka tena kijanja. Kwani wewe ulikuwa na affair nae wakati ameshaolewa au kabla? Mwambie mkeo mapema ili kwa upande wako uwe safe kwani huyo tegemea atakuwa anakusumbua daima. Akiona unampotezea atamwambia mkeo. Kwa hiyo bora ujisalimishe mapema.

Kitendo cha kukuambia ukamchukue mtoto ni obvious mme wake anajua mtoto si wake otherwise utaendaje kumchukua mtoto kwenye familia ambayo baba hajuhi kama mtoto si wake.

Mwambie mkeo, atakuelewa tu kama kweli na wewe hukujua una mtoto. Ingawa najua mkeo ataumia. Ila mwanao kamchukue then pima DNA kuhakikisha. Mtu akishasema chukua mwanao ogopa anaweza kumdhuru.
 
sasa wewe ulijua kuwa unakwenda kuWoa, haRafu unakwenda kuusimika kwa mke wa mtu...!!!

tamaa ikibeba mimba huzaa dhambi, zambi ikikomaa huzaa mauti na mzinzi wa wake za watu akiWoa naye ataziniwa wa kwake. hivyo subiri na huyo wa kwako wajanja waje wam#@*t!...???''''###@@....chue
 
Huyo ukute ameachika huko aliko olewa au yuko about kuhachwa anakutaka tena kijanja. Kwani wewe ulikuwa na affair nae wakati ameshaolewa au kabla? Mwambie mkeo mapema ili kwa upande wako uwe safe kwani huyo tegemea atakuwa anakusumbua daima. Akiona unampotezea atamwambia mkeo. Kwa hiyo bora ujisalimishe mapema.

Kitendo cha kukuambia ukamchukue mtoto ni obvious mme wake anajua mtoto si wake otherwise utaendaje kumchukua mtoto kwenye familia ambayo baba hajuhi kama mtoto si wake.

Mwambie mkeo, atakuelewa tu kama kweli na wewe hukujua una mtoto. Ingawa najua mkeo ataumia. Ila mwanao kamchukue then pima DNA kuhakikisha. Mtu akishasema chukua mwanao ogopa anaweza kumdhuru.

Jamani ni Kiswahili au ni lugha ya kina Miraji??
 
Sio kuhofia ndoa yako na yake tu, bali pia ni maisha yako! Kama huyo dada ameshaolewa, kaa mbali, mwachie mumewe. Huyo dada hana akili, amechanganyikiwa au hajui analofanya! inawezekanaje akwambie ukachukue mwanao, wakati amatunzwa na mumewe? je mumewe anajua kuwa huyo mtoto sio wake na ni wako?
 
sio kuusimika ndugu yangu alikua grl frnd wangu kabla ya hapo baadae nilihama mji huo kwenda nchi jirani baada ya kurudi nikaambiwa kisha olewa sikuwa na lakufanya ikabidi nitafute mrembo mwingine
 
nimeoa hivi karibuni ila wakati natoka kumchukua mke wangu nilipokea simu kutoka kwa msichana ambae nilikua na mahusiano nae miaka mitatu iliyo pita ambae arikwisha orewa ananieleza kua mtoto alie nae nimtoto wangu na si mtoto wa bwana anae ishi nae anadai kama nitahitaji nikamchukue je nifanyeje jamani nahofia ndoa yake na yangu pia

hayo ni mambo ya kale mkikaa na kuyazungumza mtaelewana, cha muhimu ni kuweka msimamo katika mahusiano mapya.
 
kuna watu wengine ni waharibifu by nature, it seems like huyo dada anataka kukuharibia! je mumewe anajua kuwa mtoto si wake? kwa vile ulikua na uhusiano nae miaka 3 iliyopita mueleze ukweli mkeo upate support yake na kata mawasiliano na huyo dada,
 
Achana na hiyo biashara, wewe endelea na mumeo! Aliolewaje na mtu mwngine akiwa na mimba yako? Huoni kuwa hiuyo dada sio mwaminifu? Si unajua jinsi wanaume msivyopenda kufanywa wajinga? Ikitokea mkoe akikwambia huyo mtoto sio wako utafanyaje? Utachekelea? Place yourself into his shoes...
 
sio kuusimika ndugu yangu alikua grl frnd wangu kabla ya hapo baadae nilihama mji huo kwenda nchi jirani baada ya kurudi nikaambiwa kisha olewa sikuwa na lakufanya ikabidi nitafute mrembo mwingine
in the first place,wewe mwenyewe ukikaa na kujiuliza nafsini mwako na kwa mazingira yako unadhani nafsi inakusuta kuwa huyo mtoto anaweza kuwa wako?. kwani ana umri gani kwa sasa?.... umepeleleza na kujua kuwa huyo mama kweli anamtoto.....?
 
Kama ulikuwa na uhusiano naye huko nyuma.
Cha kufanya hakikisha unamueleza mkeo issu nzima. Halafu kaa kimya uone kama atakuletea huyo mtoto.
Wakati mwingine anataka kukuharibia tu mana kachemsha aliko na anaona unaendelea vizuri na mkeo.

Usitafute kumchua mtoto ambaye huna uhakika kama ni wako au kama huyo dada yuko na mumewe na mumewe anajua mtoto ni wake ukisogeza uso umekwisha.

Kama mtoto ni wako amlete yeye mwenyewe ila uwe umeshambia mkeo isije ikiwa kosovo bure.

pili akimleta ufanye DNA kujua kama ni wako kweli. Ikiwa ni wako kaa na mtoto wako na uachane naye kabisa. Ila katika kumchukua kama ni wako kweli hakikisha mkeo amemkubali kama mwanae asije mtesa bure.
 
Nenda uko kiswahili wewe ulipata ngapi. Sidhani kama kuna mtu anajua kiswahili fasaha humu. Kama unataka kuwa editor sema tuwe tuna ku PM kabla hatujapost comment. Maana naona wala utoi mchango zaidi ya kusahihisha lugha za watu

Jamani ni Kiswahili au ni lugha ya kina Miraji??
 
  • Thanks
Reactions: EMT
nimeoa hivi karibuni ila wakati natoka kumchukua mke wangu nilipokea simu kutoka kwa msichana ambae nilikua na mahusiano nae miaka mitatu iliyo pita ambae arikwisha orewa ananieleza kua mtoto alie nae nimtoto wangu na si mtoto wa bwana anae ishi nae anadai kama nitahitaji nikamchukue je nifanyeje jamani nahofia ndoa yake na yangu pia
Wewe ni mzinzi uliyekubuhu.:mod:.
 
Back
Top Bottom