Mke wa mtu anadai anamtoto wangu

nimeoa hivi karibuni ila wakati natoka kumchukua mke wangu nilipokea simu kutoka kwa msichana ambae nilikua na mahusiano nae miaka mitatu iliyo pita ambae arikwisha orewa ananieleza kua mtoto alie nae nimtoto wangu na si mtoto wa bwana anae ishi nae anadai kama nitahitaji nikamchukue je nifanyeje jamani nahofia ndoa yake na yangu pia
Kama hii story ni ya kweli, basi nimegundua yafuatayo....!
1. Hukuwa mwaminifu hata kwa mkeo kipindi cha mahusiano yenu, na hivyo hadi sasa umeshamsaliti mara kadhaa, na bado utaendelea tu.
2. Wewe ni mzembe wa kutupwa...! Hadi unafanya ngono zembe ukiwa mtu mzima? Bado hujakuwa vya kutosha kiakili mkuu....
3. Huyo ulitaka kumficha safari yako ya kuoa, na ndio maana hajawahi kukueleza hilo mapema.... Na hii ni hatari sana kwa mahusiano unayoingia...
4. Hadi sasa mkeo wa ndoa hajajua hilo, na ndio maana hata kauli yake haipo kwenye maelezo yako....!

Please, be careful...
 
Huyo ukute ameachika huko aliko olewa au yuko about kuhachwa anakutaka tena kijanja. Kwani wewe ulikuwa na affair nae wakati ameshaolewa au kabla? Mwambie mkeo mapema ili kwa upande wako uwe safe kwani huyo tegemea atakuwa anakusumbua daima. Akiona unampotezea atamwambia mkeo. Kwa hiyo bora ujisalimishe mapema.

Kitendo cha kukuambia ukamchukue mtoto ni obvious mme wake anajua mtoto si wake otherwise utaendaje kumchukua mtoto kwenye familia ambayo baba hajuhi kama mtoto si wake.

Mwambie mkeo, atakuelewa tu kama kweli na wewe hukujua una mtoto. Ingawa najua mkeo ataumia. Ila mwanao kamchukue then pima DNA kuhakikisha. Mtu akishasema chukua mwanao ogopa anaweza kumdhuru.

Kiswahili kinakuwa au kinashuka? angalia maneno hayo!
 
Sw33tboy
Kabla ya kumueleza mkeo, muombe huyo dada muende na mtoto kwenye DNA testing. After knowing for sure that he is yours then sit down and let your wife know about the situation, since;
  • Mtoto hafichiki so sooner or later, mkeo will find out anyways.
  • Pia it's selfish to deny huyo mtoto mapenzi yako kama mzazi, kwa sababu ya kuogopa kuharibu ndoa yako.
 
I agree that I don't know swahili though was born and raised up in Dar. Je wewe mwenzangu unajua kiswahili fasaha? Labda unipe tution though I don't find any communication problem. If you were a great thinker you could focus on substance not language as long as umeelewa nataka sema nini unless hilo neno lina maana zaidi ya moja!

Kiswahili kinakuwa au kinashuka? angalia maneno hayo!
 
umepotea njia huku hatuko kukosoana lugha nafikiri kuna sehemu yake husika ya lugha
 
Kama hii story ni ya kweli, basi nimegundua yafuatayo....!
1. Hukuwa mwaminifu hata kwa mkeo kipindi cha mahusiano yenu, na hivyo hadi sasa umeshamsaliti mara kadhaa, na bado utaendelea tu.
2. Wewe ni mzembe wa kutupwa...! Hadi unafanya ngono zembe ukiwa mtu mzima? Bado hujakuwa vya kutosha kiakili mkuu....
3. Huyo ulitaka kumficha safari yako ya kuoa, na ndio maana hajawahi kukueleza hilo mapema.... Na hii ni hatari sana kwa mahusiano unayoingia...
4. Hadi sasa mkeo wa ndoa hajajua hilo, na ndio maana hata kauli yake haipo kwenye maelezo yako....!

Please, be careful...

Nafikiri hujaielewa habari ndugu yangu isome kwa makini
 
Sw33tboy
Kabla ya kumueleza mkeo, muombe huyo dada muende na mtoto kwenye DNA testing. After knowing for sure that he is yours then sit down and let your wife know about the situation, since;
  • Mtoto hafichiki so sooner or later, mkeo will find out anyways.
  • Pia it's selfish to deny huyo mtoto mapenzi yako kama mzazi, kwa sababu ya kuogopa kuharibu ndoa yako.

Yeye yuko tayari kwa kwenda kuchukua vipimo swari linakuja je mme wake atajisikiaje na je ndoa yao itakuwaje maana sipo kwa ajiri ya kuvunja ndoa ya mtu
 
Sw33tboy
Kabla ya kumueleza mkeo, muombe huyo dada muende na mtoto kwenye DNA testing. After knowing for sure that he is yours then sit down and let your wife know about the situation, since;
  • Mtoto hafichiki so sooner or later, mkeo will find out anyways.
  • Pia it's selfish to deny huyo mtoto mapenzi yako kama mzazi, kwa sababu ya kuogopa kuharibu ndoa yako.

Mie naona amwambie kwanza mke wake. Akienda kufanya DNA akute mtoto ni wake halafu ndio amweleze mkewe sidhani kama atamwelewa. Swali la kwanza kabisa litakuwa umejuaje kama ni mwanao? Jibu obviously litakuwa amefanya DNA ndio akagundua. Then litakuja swali mbona hukuniambia kuwa unaenda kufanya DNA? Hapo then kutakuwa na separate case ya kujibu. DNA sio mchezo. Hata kabla ya kuchukua unashauriwa na wataalamu implications zake. Is not just a simple thing like that. Hata watakaochukua hivyo vipimo kama ni watu makini watamwuliza kama amemjulisha mkewe.

Kwa vile ulikuwa na uhusiano na huyo mwanamke kabla ya kukutana na mkeo, then ni better kumwambia mkeo tena mapema. Ni bora kushirikisha tokea mwanzo. Nyie ni kitu kimoja sasa, so sioni kwa nini umfiche. Kama ukikuta mtoto ni wako bado utamficha? Mwambie ulichoambiwa na huyo mwanamke na kuwa unataka kwenda kuchukua DNA kujua kama mtoto ni wako. Kamamkeo ni sensible atakuelewa. Anaweza kuwa disappointed ni better ajue. Ukifichaficha mambo anaweza kupunguza uaminifu kwako. Kumbuka ndio kwaaaanza mnaanza maisha ya ndoa. So don't mess it up.

Kuna jamaa yangu alikutwa na tatizo kama lako. Jamaa wa child support wakawa wanakomba mshahara wake karibu wote kulea mtoto. Tukamshauri akachukue DNA akawa hataki kwa vile aliamini kuwa mtoto si wake. At the end of the day alibi tuu akapime maana jamaa walikuwa wanamfilisi. kwenda kupima mtoto si wake. Sasa anadai pesa zote alizotoa kwa malezi ya mtoto, ila sidhani kama atazipata.

Huyo mtoto ana umri gani sasa? Kama ukikuta mtoto ni wako, there is nothing you can do except kutake responsibility. Ni vizuri kujua mapema kama ni mtoto wako kuliko kujua uzeeni. Pia kumbuka kuna wanaume wanatafuta hata mtoto wa kusingiziwa lakini hawasingiziwi ng'o.
 
Huyo ukute ameachika huko aliko olewa au yuko about kuhachwa anakutaka tena kijanja. Kwani wewe ulikuwa na affair nae wakati ameshaolewa au kabla? Mwambie mkeo mapema ili kwa upande wako uwe safe kwani huyo tegemea atakuwa anakusumbua daima. Akiona unampotezea atamwambia mkeo. Kwa hiyo bora ujisalimishe mapema.

Kitendo cha kukuambia ukamchukue mtoto ni obvious mme wake anajua mtoto si wake otherwise utaendaje kumchukua mtoto kwenye familia ambayo baba hajuhi kama mtoto si wake.

Mwambie mkeo, atakuelewa tu kama kweli na wewe hukujua una mtoto. Ingawa najua mkeo ataumia. Ila mwanao kamchukue then pima DNA kuhakikisha. Mtu akishasema chukua mwanao ogopa anaweza kumdhuru.

Highlighted is also a new word in swahili
 
Mkuu huyu jamaa muongo sana, kwa dunia ya leo mwanamke akupigie simu eti ukamchukue mwanao, je mumewe ni CHIZI?
 
Yaani uwe mwangalifu saaana katika ku-handle hiyo matter, hata utakapomuambia mkeo jaribu kuwa makini na awe katika hali ya utulivu siku hiyo, tena muombe Mungu kabla ya kumuambia isije ikawa ndiyo mwiba na jaribu la ndoa yako. Hebu fikiria ukipima DNA halafu mtoto asiwe wako! Mume wa huyo dada itakuwaje? Na upande wa mkeo itakuwaje! coz mwanaume anaweza akahisi mkewe ana mahusiano na wewe kwa sababu kwanini afikirie mtoto ni wako wakati yeye ana mume tayari? Muombe Mungu akusaidie kusije jengeka uadui kati ya ndoa hizi mbili
 
Back
Top Bottom