Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 481
Heloooooooooooooooooo
wapendwa nimedaka hii. Kuna moto unafuka chini kwa chini. Kwa kuwa mimi nanusaga harufu kali nikainasa. Kama ambavyo niliwahi kusema huko kuwa nilikuwa na mke wa kwanza na alikuwa ni mdada toka kwa Kibaki. Juzijuzi hapa tukawa na mzozo wa binti kwenda high school. I did win the battle. Mtoto alienda shule na anafanya vizuri sana.
Kuna ndugu zake ambao kwa wakati huo tulikuwa tunasaidiana kwa shida na raha. Wanafahari sana kuona nawasomesha watoto wangu pamoja na matatizo anayoniletea dada yao. Wamenambia kuwa Mke mkubwa anaandaa mipango ya kurudi nyumbani! Mke mdogo kashapata harufu ya huyu na yeye sijui nani kamtonya ila anasema anahisi harufu ya damu! Anasema katu hataotaka kuona sura yake hapa. Mimi simuihitaji kabsaa. Hizi ni vurugu anataka kuzusha. akianza nimweke lupango ama kuna sheria itaweza kunilinda asiiyumbishe familia yangu!