Mke wa kwanza na mke wa pili.

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Heloooooooooooooooooo
wapendwa nimedaka hii. Kuna moto unafuka chini kwa chini. Kwa kuwa mimi nanusaga harufu kali nikainasa. Kama ambavyo niliwahi kusema huko kuwa nilikuwa na mke wa kwanza na alikuwa ni mdada toka kwa Kibaki. Juzijuzi hapa tukawa na mzozo wa binti kwenda high school. I did win the battle. Mtoto alienda shule na anafanya vizuri sana.
Kuna ndugu zake ambao kwa wakati huo tulikuwa tunasaidiana kwa shida na raha. Wanafahari sana kuona nawasomesha watoto wangu pamoja na matatizo anayoniletea dada yao. Wamenambia kuwa Mke mkubwa anaandaa mipango ya kurudi nyumbani! Mke mdogo kashapata harufu ya huyu na yeye sijui nani kamtonya ila anasema anahisi harufu ya damu! Anasema katu hataotaka kuona sura yake hapa. Mimi simuihitaji kabsaa. Hizi ni vurugu anataka kuzusha. akianza nimweke lupango ama kuna sheria itaweza kunilinda asiiyumbishe familia yangu!
 
Ana haki gani ya kuja kuvuruga ndoa yako?Siku akija mchape makofi alafu mlaze sijui ni Ukonga!Hata kwa kulipa ili ajifunze kuheshimu ndoa za watu.Muda wake ulishapita..kama hakuutumia vizuri ni hasara yake!
 
Man, wewe naona hiyo shida unajitakia. Sidhani kama mwanamke anaweza kutaka kurudi kama hakuna mawasiliano ya kimapenzi kati yenu. Also umesema "mke mkubwa na mke mdogo" this means that wote unawatambua kama wake zako. Ole wako kama ulikuwa unamtumia SMS za kimapenzi, yeye ndio atakae kufunga. wewe mtafutie sehemu ya kuishi, otherwise you may end up crying with one eye.
 
Mzee huyo anakuja kimshiko zaidi hakufai kabisa muweke lupango kidogo na hivi kiswahili chake wasiwasi basi harudia tena
 
Wewe tumezungumza home umeleta hapa??? Nimeshasema haji mtu hapa.......
Mfa maji honey. Nakujua kwa hizo hu ha hiiiiiiiiiiii zako ila najaribu kupata silaha kali za maangamizi kabla wewe hujaanza!
 
Man, wewe naona hiyo shida unajitakia. Sidhani kama mwanamke anaweza kutaka kurudi kama hakuna mawasiliano ya kimapenzi kati yenu. Also umesema "mke mkubwa na mke mdogo" this means that wote unawatambua kama wake zako. Ole wako kama ulikuwa unamtumia SMS za kimapenzi, yeye ndio atakae kufunga. wewe mtafutie sehemu ya kuishi, otherwise you may end up crying with one eye.
Ni kwa kuwa mama wa watoto so alikwa mke wa kwanza kwangu ama ningemuitaje mkuu wangu! Hakuna tena tunda wala nini!
 
waache na ujinga wao wadundane watoane ngeu,wewe baki nyuma kama huwaoni vile-acha washikanishane adabu!:A S 2152:
 
Ni kwa kuwa mama wa watoto so alikwa mke wa kwanza kwangu ama ningemuitaje mkuu wangu! Hakuna tena tund:a wala nini!

Mkuu hapo kuna mambo ya kuzingatia. unajua wanawake ni wajanja sana. Je, mlikua mnaishi nae kawaida au ulifunga nae ndoa then after ukampa talaka? If it was cohabitation marriage au ulisha mpatia talaka yake hapo imekula kwake.
Napia kama ulifunga nae ndoa ya kanisana, man hapo kwanza ulisha tenda dhambi na mke mkubwa ndio atakua ameshikilia mpini.
The pain, confusion, and frustration most people experience after a divorce are surely part of the reason that God hates divorce. If you are a Christian soma bibilia, MATAYO 19:9
 
Thanks kwa ufafanuzi,,,,,,,,,,sikuwahi kufunga naye ndoa popote. Tuliishi tu lakini tuliishi kama mtu na mkewe. Sheria ya tanzania inaeleweka kuwa ukiishi na mwanamke mfululizo kwa kipindi fulani automatically anakuwa kisheria ni mkeo. Mimi niliachana naye baada ya yeye kudharau kuwa hawezi kuishi nami kwa kuwa sina pesa. Akaondoka kwenda kwao. Nikapambana nikafanikiwa kimaisha! Namiliki ugali wa kila siku na usafiri kadhaa. Mke ana usafiri wake, watoto wana usafiri wao! Acha shughuli kadhaa za kibiashara. Sasa anawaambia ndugu zake hasa baada ya kutembelea huku siku za karibuni kuwa yeye hajui wengine ila anajua kuwa yeye ndo mke wa kwanza. Hata kama ni kubanana atabanana hapa hapa.
 
Sasa kama huna ndoa nae sioni kwanini unaogopa. Huyo imekula kwake.
 
Halafu mlinzi kaenda wapi???? Niko hapa getini napiga honi hakuna anayefungua..........
Umeshahau nilkwambia kalipwa mshahara leo! Yuko kwenye kile choo cha nje kalala. Ameamshwa hataki na mbaya zaidi kanunua panga jipya leo na yuko nalo!
 
Endelea kuandika sasa wewe na laptop mie na simu........

Dear hebu njoo ule kwanza utarudi baadae JF........
 
Back
Top Bottom