Mke kwenda kwenye party ya harusi usiku mume akiwa safari

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,780
2,716
Habari wakuu poleni na majukumu.

Mume kaenda safari kikazi akamuacha mkewe nyumbani akiwa katika maandalizi ya harusi ya mdogo wake akiolewa Sasa kukawa na party.

Mume alishamueleza mkewe misimamo kuwa hakuna mambo ya kuhudhuria pary, kumbe baada ya mume kwenda safari mke alihudhuria party ya usiku kimya kimya nahali akijua misimamo ya mmewe katika maisha yake.

Je, mke kama huyu anatakiwa kuchukuliwa hatua gani?
 
Habar wakuu poleni namajukum..mume kaenda safar kikazi akamuacha mkewe nyumbani akiwa katika maabadalizi ya harus ya mdogo wake akiolewa Sasa kukawa na party .mume alishamueleza mkewe misimamo kuwa hakuna mambo ya kuhudhuria pary..kumbe baada ya mume kwenda safar mke alihudhuria pary ya usiku kimya kimya nahali akijua misimamo ya mmewe ktk maisha yake je mke kama huyu anatakiwa kuchukuliwa hatua gani
Huyo mshkaji aache gubu na kutaka bif za kijinga
 
Habar wakuu poleni namajukum..mume kaenda safar kikazi akamuacha mkewe nyumbani akiwa katika maabadalizi ya harus ya mdogo wake akiolewa Sasa kukawa na party .mume alishamueleza mkewe misimamo kuwa hakuna mambo ya kuhudhuria pary..kumbe baada ya mume kwenda safar mke alihudhuria pary ya usiku kimya kimya nahali akijua misimamo ya mmewe ktk maisha yake je mke kama huyu anatakiwa kuchukuliwa hatua gani
Alirudi au alibaki huko huko? 😂
 
Siku hizi wanawake hawana adabu. Bora kuishi kisela tu
 
Ukiona hakufai kisa kwenda kwenye party aloo ww unawakati mgumu sana mpe mkeo uhuru mpe nafasi ajisikie ni mtu ogopa sana atakapojiuliza kwani hakuna wanaume wengine utateseka sana kama unaona humtaki mrudishe kwao au muache sisi tumle na tumpe uhuru
 
Mkuu hivi ukishampa mtu misimamo Yako ktk maisha mambo ambayo hupendelei afanye ktk maisha yenu akafanya Hali anajua
 
Back
Top Bottom