hadithi za kitoto tutolee hapa,yaani asleep kwa ajili ya tatoo au unatuelezaa kuwa mzee wako ana tatizo la usingizi:rain:kuna siku nilipata demu mpya, kuchungulia uwanja nikaona totoo na jina la njemba hapo hapo mzee aka sleep, biashara ikaishia hapo