Mke kama huyu anatufundisha nini na tatoo yake

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
mtu kama huyu anatufundisha nini ktk jamii..ama anawafundisha nini wakwe zake ama watoto wanaoudhuria harusi yake..anyway binfsi nimekuwa na maswali mengi nani kamweka hiyo tatuu na ukichungulia sana unaweza kuta majina ya watu..hawa madada zetu wanaandika majina sehemu nyeti bila kujua kuna MAHUSIANO YA MUDA NA MILELE

183150_10150191426498098_624983097_8965840_1456817_n.jpg
 
mkuu unaoa mke au tattoo?kubaliana tu na ma-celebrity wetu uchwara hawa na mambo yao ya kuiga iga.
 
Mie pia nilishanga ooh kumbe Liz ana tattoo ,lakini ni maisha yake na mme aliyempenda na kumchagua ,
 
mtu kama huyu anatufundisha nini ktk jamii..ama anawafundisha nini wakwe zake ama watoto wanaoudhuria harusi yake..anyway binfsi nimekuwa na maswali mengi nani kamweka hiyo tatuu na ukichungulia sana unaweza kuta majina ya watu..hawa madada zetu wanaandika majina sehemu nyeti bila kujua kuna MAHUSIANO YA MUDA NA MILELE

183150_10150191426498098_624983097_8965840_1456817_n.jpg

Hapo kwenye blue patanifanya nijifunze kuchora tatoo
 
Inasikiisha roselyn mzazi kama wewe kufundisha watoto ubaya..sikutaraji mzazi ndio kwanza unahitimisha udhalilishaji..anyway sijui na baba uko nyuma alikuoaje ..siwezi sema
 
mtu kama huyu anatufundisha nini ktk jamii..ama anawafundisha nini wakwe zake ama watoto wanaoudhuria harusi yake..anyway binfsi nimekuwa na maswali mengi nani kamweka hiyo tatuu na ukichungulia sana unaweza kuta majina ya watu..hawa madada zetu wanaandika majina sehemu nyeti bila kujua kuna MAHUSIANO YA MUDA NA MILELE

183150_10150191426498098_624983097_8965840_1456817_n.jpg

Elizabeth Gupta, alisema wakati ule akiwa BB kuwa hawezi kuolewa na mwafrika! Sijui huyu M-Nigeria ni Mu-Gupta (Guta)!
 
kuna siku nilipata demu mpya, kuchungulia uwanja nikaona totoo na jina la njemba hapo hapo mzee aka sleep, biashara ikaishia hapo
 
We nawe tatoo begani ndo tabia mbaya?Kisa tu imechorwa kwa wino uliotengenezwa na mzungu!Makabila mangapi Afrika na nchi nyingine nyingi tu ambazo hazijaendelea wanachora tattoo kama utamaduni??Eliza tu ndo umemuona?Acha wivu wa ajabu mwache mtoto wa watu!Eti wakwe zake watamfikiriaje..mpaka hapo wamemkubali na mume wake pia amemkubali wewe tu ndo unaumia nayo!
 
pi didi....huyo mchangiaji wa mwanzo huenda ndo mwenyewe.....kauka kajistukia
 
mtu kama huyu anatufundisha nini ktk jamii..ama anawafundisha nini wakwe zake ama watoto wanaoudhuria harusi yake..anyway binfsi nimekuwa na maswali mengi nani kamweka hiyo tatuu na ukichungulia sana unaweza kuta majina ya watu..hawa madada zetu wanaandika majina sehemu nyeti bila kujua kuna MAHUSIANO YA MUDA NA MILELE

183150_10150191426498098_624983097_8965840_1456817_n.jpg

Maskini wamakonde wananyanyapaliwa hivihivi sasa na wao wataolewa na nani na tatoo zao?
 
baadhi ya wanaume weusi sijui wana matatizo gani,kwani we unaoa tatoo au na mpaka unaoa unahitaji kufundishwa nini ambacho wazazi wako hawajakufundisha:rain:
 
Back
Top Bottom