Mkataba upi unafaa kati ya hii katika kupata mtoto kwa mkataba kutoka kwa wanawake hawa,

Nimeshazungumza na wadodoma so kesho ntakua mwanza kuzungumza na kimwana mwingine mida ya saa 4 asubuh, kama upo mwanza njoo ushuhudie tukio nitawaeleza nitakapofikia,wale wa dom alikuja jamaa mmoja akidai yeye ni mdau wa jf ila getin alimwambiwa aonyeshe kitambulisho cha kazi akawa ana akamaind akaondoka,so kama upo mwanza njoo na kitambulisho chako cha kaz ili getin wasikuzingue,kiukweli huyu wa dom nimependa mapigo yake tunalingana urefu alikuja katupia suti nyeus na miwani,anaendesha BMW wakat mimi cna hata gar,tulikubaliana baadh ya mambo kwenye mkataba usio wa malipo so namalizia kuongea na hawa wawili,kesho huyu wa the rock(mwanza) keshokutwa Dsm,we ukitaka kuamini njoo ntakapokueleza
 
Hahahaha. . .kwahiyo hao waliokutafuta ni wale wasiotongozwa mwaka? Ngoja wagome kuendelea na habari za mkataba kwakuwapiga dongo.

we acha kabisa huyu mtoto wa dom mkali macho ka ya RayC,ana mawe yakutosha,kifuani ndo kwanza panaanza kukua,hata ivyo hajali kejeli za jf coz nayeye ni member na ni mtu mwelewa ila yupo sirious sana,mara chache ndo nimemuona akitabasam,wakati wa kuagana ndo alinimaliza na hapo alini huge tu,ebu ngoja kesho pakuche niingie mwanza,najua wadau wanaendelea kuponda lakin hawataki kuja kushuudia
 
sasa ukija Mwanza niarifu nije nimshuhudie kwa sababu hata mimi nime m feel, usiache kunipa location.
 
tumeshajua uko Dc,endelea kufagia barabara

tatizo umekariri maisha..mshamba wewe.. Akili fupi kama za anaekutuma ufanye uzinzi kwa gia ya mtoto wa kafara. Ila we chalii noma..una gia balaah.. Endekeza ujinga..
jus find u so funny. Na ur akili is ful of junkyflies.! Mamaz boy.. Siku atakwmbia um.. Kabla hajafa
 
naomba uwe makini swala la ndoa nipana sana haswa pale mnapokuwa mmeungana mmekuwa mwili mmoja huwa kuna mambo mengi sana nje ya hayo unayoyaona wewe kwa juu juu hswa kwa jamii za kiafrika
 
mbona hukuja?

acha sound wewe, wewe ndio sikukuona hukunipa direction fresh, niliingia hadi pale kwenye zile rolls royce, nikakosa direction, nikajua wewe ni muongo! Halafu hukutoa maelezo kama ulivyofanya kule Dodoma! kwani lini utakuja Dar maana nina mpango wa kurudi zangu Kibada!
 
Vijana janga la Taifa: Ajira, Ndoa na umasikini, Elimu: Mchanganuo wote huu unatokana na halitajwa Kido ni mmasai hawanaga matatizo sana ya kupata mke au watoto kuna mzee 1 KARATU ana wake zake 80 na watoto 300 na ushee,amejenga shule ya msingi na serikali imepeleka waalimu
 
acha sound wewe, wewe ndio sikukuona hukunipa direction fresh, niliingia hadi pale kwenye zile rolls royce, nikakosa direction, nikajua wewe ni muongo! Halafu hukutoa maelezo kama ulivyofanya kule Dodoma! kwani lini utakuja Dar maana nina mpango wa kurudi zangu Kibada!

pole coz sikua online,je ni wewe ulikua umevaa satin ya blue?pale getin kuna kijana alikuepo anaitwa jack alikua amevaa kaunda na head phones ungeongea naye angekuleta,mazungumzo yetu yalianza saa moja so kama ulikuja kabla ya saa 12 na nusu jion au baada ya saa 2 lazima ulitukosa,

Dar nimeingia jana usiku kuanzia asubuh ya leo tulikua kwenye mazungumzo na sasa iv ndo nnatoka hotelin
 
sasa mi ningemjuaje Jack!? Inamaana kila sehemu upo na Jackson maana hata kule saint Gasper ulikuwa na Jackson, sasa hukutoa maelezo fresh! Nilikosa direction! Lakini mi nilikuwa sijavaa shati la blue.
 
Duh! :shut-mouth:
 
ndio umepata mke lakini hii uliyofanya hapa ni kinyume na maadili na kama tabia hii haitokoma unakazi nzito sana kwenye maisha ya ndoa usiniambie tabia gani lkn kwa mtumwenye experiensi ya ndoa atajua namaanisha nini. nakutakia kila la heri na maisha marefu kwenye ndoa yako
 
ok samahan kama nilikuboa ila ni vizur ungenambia kosa ili nisirudie
 
Back
Top Bottom