BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,163
1.idara ya ujasus ni pana na inavitengo vingi,kuna wajiriwa wa moja kwa moja pasipo mkataba na kuna waajiriwa wa mkataba
2.mwajiriwa wa mkataba ,mkataba wake utaeleza anayotakiwa kufanya katika idara hiyo
3.mtu yoyote ktk jamii anaweza kutumika kijasus bila yeye kujua mf bos anaweza kukuita ofisini na kukuoji baadh ya maswal ya mtego kuhusu utendaj wa mfanyakaz mwenzako na kuhusu familia yake,kwakuwa ni bos utamweleza
4.kila mtu anamkataba tofauti kulingana na taaluma yake mf mkataba wangu hauusiki katika kuchunguza vitu na wala siri zao sizijui mimi ni kuwezesha transmission of information from one source 2 onether lakini utekelezaji wa ile information siufaham,so mkataba wangu haunifung kusema nafanya kaz ktk idaya yao
5.elewa kwamba kuna mtu yupo ktk idara hii kama dereva tu na haelew chochote lakini ni mfanyakaz
6.sisi tunatambuana kwa.....sitak kuelekea mbele zaid ila nafikiri umeelewa,kama huja elewa bac
bado unauza chai, kijana wa miaka 23