Mkataba upi unafaa kati ya hii katika kupata mtoto kwa mkataba kutoka kwa wanawake hawa,

njoo saint Gasper Hotel kama upo dom kabla ya saa nane ili uamini ninachokizungumza kama pia baada ya kuona haya hutaamini sikulazimish,kama upo mwanza nitaingia saa moja jioni na nitaandika hotel nitakayofikia,nakuja kuzungumza pia na yule wa mwanza

ukija Mwanza uni pm!
 
hebu kachambie viwembe uko,...
Wewe, uyo mamako na hao waogea Takasa ulojidanganya nao, too low! Boooo!!! Njoo Dc,ukimaliza bongo,nkupeleke chimbo upate wapya kwa bei chee..
 
Drama of the month hii, l wish angejitokeza hata mdada mmoja kati ya hao 3 naye akatupa updates!

I have been entertained na thread zote 2 kwa ukwelii!

ingekuwa vizuri ila najua hawawez kubali wajulikane kama ni wao especially kama ni member maarufu humu jf
 
at least wanataka ndoa halali na sio kuwa incubator. sijui what will happen mtoto akimaliza kunyonya, wataendelea na ndoa ya upendo au ndio zitaanza visa vya 'nilikuoa nipate mtoto tuu sio mapenzi hivyo sepa zako' na what will happen if akikutana na dada atakayempenda kwa dhati. Kuna complications nyingi zinaznoweza kujitokeza, I can only wait and watch.BTW this will make a great movie/series, shegongo akipita hii thread atapata idea ya mamillioni

Blaine ndo watake ndoa kiasi kwamba hawaangalii nani muoaji na mazingira ya uoaji?Halali or not. . .thats just crazy.

Je siku mama akisema "mwache huyo mwanamke maana mjukuu nshapata" watakuwa na sababu ya kuanza kulia lia baada ya kupewa taarifa?
 
Last edited by a moderator:
Hakika ni janga la nchi, though siamin hata kwa bomb la machozi,kwan kama umegundua huyu jamaa ni mtetea hoja,na byanymeans ashinde!hata kwa uongo.
But ofcourse. . .
Ila ingekuwa kweli amini wapo ambao wangedanganyika na kipengele cha 'mtoto na NDOA VINAWEZEKANA'.
 
hebu kachambie viwembe uko,...
Wewe, uyo mamako na hao waogea Takasa ulojidanganya nao, too low! Boooo!!! Njoo Dc,ukimaliza bongo,nkupeleke chimbo upate wapya kwa bei chee..

una maskhara na jasusi wewe? Hahaha
 
hamna chochote na hii ni hotel kubwa so utaakikishiwa usalama wako,karibu kabla ya dak 15 coz nina log out kwa mazungumzo ya dk 30,ila unawezakuja tukapata chakula cha mchana pamoja hapo ndipo utaniamini,ukifika getini utakutana na kijana amevaa kaunda suti nyeusi na miwani ya jua anaitwa jackson atakuleta had chumba cha mkutano

hahahahahah jasusi kama huna bastola siji, nilikua naihitaji.....
 
blaine ndo watake ndoa kiasi kwamba hawaangalii nani muoaji na mazingira ya uoaji?halali or not. . .thats just crazy.

Je siku mama akisema "mwache huyo mwanamke maana mjukuu nshapata" watakuwa na sababu ya kuanza kulia lia baada ya kupewa taarifa?
..... Lol
 
hhahahaha
@Kidotulotokordwak chalii we ni noma, nimesoma srid zote ni full burudani, hebu tujulishe sridi ya tatu itakuja na kichwa gani?!!
 
Huyu mtoto hajatulia aisee..
Eti kale kathread tu apate emails zote zile..lol!
Mbona uunafanya maisha kuwa marahisi sana??
 
Duh!!Kama ni kweli wapo walioandika (though siamini) basi wadada wenye njaa ya ndoa Tanzania ni janga la kitaifa.

Lizzy we una mwanaume, waache wenzio wasio na wanaume au wanaopenda Vibaloteli wajinafasi!! Inda ya nini?
 
Huyu mtoto hajatulia aisee..
Eti kale kathread tu apate emails zote zile..lol!
Mbona uunafanya maisha kuwa marahisi sana??

Mkuu inaweza kuwa kweli, sikuona kama Pretta, Radhia sweet na First lady kama wamechangi, probably waliamua kum-PM, huwezi jua! Thread nyingine hawakosagi!

Jaman mi napita tu!!!
 
hhahahaha
@Kidotulotokordwak chalii we ni noma, nimesoma srid zote ni full burudani, hebu tujulishe sridi ya tatu itakuja na kichwa gani?!!

Lemme guess.."Baada ya siku tatu, Nashukuru wana jf,nimepata twins'' yuhuuuuu ngoja nisubiri...subiri matangazo yapite picha la Bombay liendelee
 
Lizzy we una mwanaume, waache wenzio wasio na wanaume au wanaopenda Vibaloteli wajinafasi!! Inda ya nini?
Mjadala muhimu bana.
Mkuu inaweza kuwa kweli, sikuona kama Pretta, Radhia sweet na First lady kama wamechangi, probably waliamua kum-PM, huwezi jua! Thread nyingine hawakosagi!

Jaman mi napita tu!!!

Hahahahahaha. . . .
Ngoja wakusikie.
 
hebu kachambie viwembe uko,...
Wewe, uyo mamako na hao waogea Takasa ulojidanganya nao, too low! Boooo!!! Njoo Dc,ukimaliza bongo,nkupeleke chimbo upate wapya kwa bei chee..

tumeshajua uko Dc,endelea kufagia barabara
 
Huyu mtoto hajatulia aisee..
Eti kale kathread tu apate emails zote zile..lol!
Mbona uunafanya maisha kuwa marahisi sana??

angalia na huyu hivi haujui wanawake wako weng kuliko wanaume kuna mtu anamaliza mwaka hajatongozwa sasa unafikiri ataacha kuandika mail,ukisusa wenzio wala
 
angalia na huyu hivi haujui wanawake wako weng kuliko wanaume kuna mtu anamaliza mwaka hajatongozwa sasa unafikiri ataacha kuandika mail,ukisusa wenzio wala

Hahahaha. . .kwahiyo hao waliokutafuta ni wale wasiotongozwa mwaka? Ngoja wagome kuendelea na habari za mkataba kwakuwapiga dongo.
 
Back
Top Bottom