Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Halafu eti tunajiuliza kwa nini nchi yetu haindelei pamoja na kuwa huru miaka yote hii 50.

teh!!!!!!!!!!!!teh!!!!!!!!!!!!teh!!!!!!!!!!!!teh!!!!!!!!!!!!teh!!!!!!!!!!!!teh!!!!!!!!!!!!

Unajuwa kuwa wachina walitujegenea sisi ile reli ya Tazara baada ya miaka 30 tu ya uhuru wao, lakini sis leo hii miaka 50 bado hatuwezi kujijengea hata kidaraja bila kuomba msaada kwa vile tunatumia muda wetu mweingi kwenye vijiwe kutafuta ati nani anapendelewa na serikali. Viongozi wakubwa wa nchi hii ni waislamu lakini kila kukicha, hatuishi minong'ono hii ya kudai wakristu wanapendelewa. Tutaacha lini upuuzi huu?
 
ni kweli , na hili linatutafuna sana Tanzania, bado ipo nafasi ya sisi kujikomboa toka katika mawazo haya ya Hovyohovyo.
 
very low thinking!

Very low thinking= ujinga ni mwingi=>ujinga mkubwa.

Ikiwa uzuri ni kipimo cha ubaya nikweli pia kuwa heshima ya hekima ni pale pawapo na ujinga ambao ni baba wa upumbavu.Hivyo wazo bora la hekima laweza toka katika mazingira ya ujinga mwingi.

Ukiuacha ujinga ukue hata kuzaa upumbavu; usije shangaa ikawa ngumu kwa hekima kumaliza kabisa madhara ya upumbavu.

Ruksa kwa wana-JF kuijadili hii post.Kama ni ya wajinga soma, nenda na hamsini zangu waache wajinga na wao wanaotafuta wazo la hekima kati ya ujinga wasome na kuchangia.
 
Walituchochea wakati waharakati za Muembechai, serikali ilipochukua hatua wakatukimbia, hawa ni makuwadi na fikra zao, wanayoyasema sio wanayoyaamini....kifupi ni uongo kua kuna vikao vya serikali na Wakristo katika kuitawala nnchi.
 
Nikiona mada kama hii huwa nina swali moja tu: Muislamu ni nani na mkristo ni nani?

Kuna watu wakiona waziri kateuliwa ana jina la kiarabu wanadhania mwislamu, kumbe msela hata hiyo dini hafuati, anafyonza whisky kama amefungiwa pampu na tena ni fisadi! Mwingine mwenye jina la kizungu anapewa ukurugenzi mahala watu wanadhania mkristo, kisa jina lake la kizungu. Kumbe msela hafuati hiyo dini, ana vimada lukuki, na anakula rushwa aina zote!

Kumbe hakuna udini, kuna genge tu la watu wenye majina mbalimbali ambao mambo wanayoifanyia nchi hii ni ufisadi, wizi, unyang'au nk. Na wakitaka kupata ufuasi wa bei chee, wanajihusisha na dini fulani fulani ili wakiguswa tu waseme 'udini'.

Changa la macho hilo ndugu zangu.
 
Watu waendelee kupambana kujiletea ustawi katika maisha badala ya kutafuta mchawi. Unajua kikwazo kikubwa kabisa cha maendeleo yako ni wewe mwenyewe. Ni ngumu kuelewa lakini ndio ukweli
 
..inabidi watu waelewe kwamba TWO and TWO will always be FOUR. haijalishi wewe ni Muislamu,Mkristo,Baniani,Bohora, Black, White, Yellow etc etc.

..ukipeleka watoto shule, ukawafuatilia na kuwahimiza kwelikweli lazima watafanya vizuri.
 
GT,
Mkuu ndio hapo naposema kila siku watu wanakataa OIC bila kujua wala kufikiria kwa sababu tu kuna jina la Uislaam lakini ni serikali hiyo hiyo imeweka mikataba kibao na Taasisi za Kikristu kwa kutumia jina la Vatican ambayo ni Taasisi ya kidini vile vile.
..

Si kweli. Ukisoma Charter ya OIC ndipo utaona kuwa inapingana na misingi ya secular state, mfano kwa kutilia mkazo uenezaji wa mafundisho ya Uislamu na Uislamu in general (Objectives No. 9, 11, 12, 16, etc) na inaweka misimamo ya kisiasa (Objective No. 8 etc). Pia inashurtisha kuwa nchi wanachama ziongozwe na mafundisho ya Kiislamu (eg. Article 2, first para).

Vile vile , requirement ingine ni kuwa nchi mwanachama lazima iwe na Muslim majority (Article 3.2.) Naamini (sina ushahidi wa sensa) hali sivyo ilivyo hapa nchini.

Kuna issues nyingi tu zingine ambazo zimezungumziwa mfano International Islamic Court of Justice ambazo haziendani na Katiba yetu.

NImeweka link hivyo kila mtu anaweza kuishusha hiyo charter na kuisoma.
 
Sikuisoma kwa sababu memorandum ya Serikali isiyokuwa na mhuri wa serikali au hata ngao ya selikari ni ya hatari kabisa.

Nadhani huu ni uchochezi wa kutaka fujo tu hasa tunapoelekea uchaguzi mkuu, kwa sababu mkataba halisi lazima uwe na jina kabili la mtia sahihi, na kama anaiwakilisha taasisi au serikali basi lazima nafasi yake katika taasisi hiyo pia lazima iwekwe. Iweje huu uwe mkataba wa serikali bila kuwa na jina na madaraka ya mtu aliyeusaini kwa niaba ya serikali? Mnataka kusema hata Kuchuguu anaweza kusaini mkataba kwa niaba ya serikali?

Huu ndio upuuzi wa watanzania huo, ndiyo maana mafisadi wanayeya kila siku. Ni ajabau kuwa hata watu wa maana sana kama GT wanabebebeka kirahisi kwenye mambo haya ya kipuuzi yakishachanganywa na udini kwa kushindwa kuona nje ya hilo boksi la udini.
 
Kwa maonoyangu serikali kuwa na MoU na CCT ni sahihi kabisa, ni mangambi mashirika ya kikiritu yamefanya hapa Tanzania kuisaidia serikali katika hudumu za kibinadamu k.m. elimu, afya, umasikini, maji n.k. na nyie waislamu fanyeni hayo tuyaone sio kuweka vijiwe tuuuuuu na kulalamika. Papa Sam kasema kuna post ya ndugu yetu wakiislamu anaomba msaada wa tende, hii ni ukosefu wa fikira kabisa!!!!!!!!!!!!
 
hakika sasa udini ndio unadhihirika kabisa huko Tanzania.

Mola ibariki Tanzania
 
hawa jamaa wanaotoa hizi topics za kidini washaishiwa na fikra, they cant think beyond the limit anymore, yani na hizi stress wanazojipa ndo wanazidi kujichanganya, mara wana mkakati wa kuongeza idadi ya wasomi wa vyuo vikuu wakati hao wanafunzi wao hawafaulu kila siku shule zao ndo zinashika mkia, ukienda vyuoni wanaumoja wao ambao hufundishwa na wenzao walimadarasa ya mbele lakini mwisho wa siku ndo wanaosup, sababu ya haya yote ni kutokua na moyo au wazo na kufikiria zaidi ya hapo walipo...wakristu wamesha invest vya kutosha kwenye kila kitu, kuanzia mashule,vyuo vikuu,afya etc na haiwezi kutokea nyie mkafika hapo kwanza kutokana na moyo wenu wa kinyimi wa utoaji na majungu mliyonayo.

leo mnajiunga kupigania mahakama ya kadhi lakini mkishafanikiwa tutaanza kuunda kamati za kusuluhisha matatizo mengine kama ya kupigana majungu,kuzushiana,kupigana fitna na kugombea madaraka, sasa em niambieni haya maendeleo mtayatoa wapi?

hamuwezi kukimbia kivuli cha wakristu tena its too late, ingawa nyie ndo mlipigania uhuru lakini kwa sababu huwa hamuwezi kukaa kwa umoja,undugu,uvumilivu na kusameheana ile dhambi itaendelea kuwatafuna mpaka mtapokuja kugundua tatizo na kulitafutia ufumbuzi
 
Rather silly,serikali ingesaini mkataba wa maelewano na waislam kwa kitu gani? Hawakuwa na shule ,hospitali wala dispensaies.Why sign a MOU with you poor fellows
Ilikuwa ni muhimu kusaini a MOU na wakristo ili watoe mashule yao,vyuo vyao,hospitali zao ili nyinyi muweze kuona madarasa.Otherwise where would you had received those services.yAONE HAYO USE YOUR COMMONSENSE.
 
Choko choko tu hizi hakuna lolote. Nani asiyejua mchango wa kanisa katika elimu,afya na huduma zingine za jamii?
 
Choko choko tu hizi hakuna lolote. Nani asiyejua mchango wa kanisa katika elimu,afya na huduma zingine za jamii?
Hautakuwa mchango wa kanisa??? tena sema mchango wa wananchi wote "wanaowapa pesa za kuendesha" huwezi kusema kitu ni cha kanisa wakati hela zinatoka "serikalini"
a) pesa za kununulia vifaa vya hospitali (x-rays, etc...)zote za kanisa inatoka serikalini...na wafanyakazi wanalipwa na serikali hiyo inaitwa joint ownership..kanisa linajitangaza tuuu..(kujifaragua) kwamba linatoa service sanaaaaaa...anyone can do that? wanatafuta wanachama tuuu (marketing strategy)
b) Shule nyingi za kanisa wafanyakazi na majengo yamejengwa kwa kutumia fedha za serikali hiyo haiwezi kuwa mali ya kanisa ila ni joint ownership...so kanisa lisijidai lina..mchango mkubwa sana...in fact mutual society yeyote inaweza kufanya hivyo...kwahiyo isipate sababu ya kujinadi..(marketing strategy kama kawa) kwamba inafanya sanaaa!
Having said that "wako smart kuchukua hela" kutoka serikalini kama alivyo smart EL muasisi wa mpango wenyewe so if EL is fisadi kanisa unaweza kuweka square root??
c) All in all Kanisa limeshazoea kupendelewa, waumini wake wamezoea kupendelewa utawaona wanapiga kelele kweli ukweli ukisemwa kwamba wanapendelewa "wamebariki, nakuabudu upendeleo"
mbaya zaidi kwani kuna nafuu yoyote basi huko mashuleni na mahospitalini kwao kwa mwananchi wa kawaida (hata kwa waumini wenyewe japo wanakamata mshiko kutoka serikalini).in terms of price, etc..that remains to be debated!!
 
ebwanae nina deal la kujilipua uvae milipuko tena utaenda fanyia pakistan,fasmily yako itapewa $500, fanya fasta tetea dini yako upate thawabu
 
waislamu acheni kulalamikia vitu vya kijinga, kanisa limefanya mengi tena bila upendeleo waislamu wangapi wamesoma shule za misheni za kikristo wakati huo?huo ni upuuzi tuache kulalamika tufanye kazi madai kuwa flani anapendelewa ni upotofu wa fikra unaozaa uvivu, naomba kutoa hoja waungwana
 
Naona kwenye "Cover page" Hii hati ya Makubaliano (MOU) imeandaliwa na Prof. Mahalu, ni huyu Prof. Mahalu tunaemfahamu waTz wengi hasa waishio Italy??????? duh, kumbe bado Serikali inamwamini hata kwenye mambo nyeti ya kitaifa!!!!
 
Ngoshwe said:

Ngoshwe,

..hii document ni ya zamani sana. ilisainiwa wakati wa utawala wa Alli Hassan Mwinyi.

..wakati huo Mahalu alikuwa bado hajaharibika kama wakati wa utawala wa Mkapa
.

Back
Top Bottom