Nantahulila
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 2,183
- 1,832
Niliposema upunguze stress nilikuwa sahihi.Ni vyema ukaongea humu ndani nyongo yote iishe ili uwe na amani vinginevyo kwa hali uliyonayo sasa ukipewa bomu unajiripua.Kwa kuwa mfumo wetu unadhibiti kuongea haya mambo waziwazi hebu tumia hili jukwaa nafsi yako ipone na iwe na Amani.Chuki uliyomezeshwa haimithiriki!Sina chuki na mtu yyt. Na ili tuweze kidumisha huo umoja
Na amani basi ukweli lzm tuseme japo nafsi zipate nafuu kuwa tumeongea wazi
La sivyo vichwa vikipata moto sababu ya dhulma zinazonedelea tunaweza kugeukiana km Rwanda sasa hivi.