Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Sina maelezo mengi
Huyu jamaa nampenda sana maada zake hasa linapoguswa maslahi ya upande wake.
Hasa lile swala la kwanini wakiristo wasile masokoni Zanzibar ametoa maada nzito.
Bima ya Afya nako uses emergency
Mkataba wa bandari nako ni moto
Maandiko yake yanaweza kutumika ktk literature review hata ngazi ya PHD
Haki yake apewe. Sijui kama account yake inatumiwa na user zaidi ya mmoja?Any way
Twende kwenye maada

MOU nakamuona yupo kimya sana. Haligusi wala kulinusa

Maana Mou inasaidia kujenga shule za wakiristo na Hospital. Shule hizo licha ya kutoa huduma za elimu ndani kunaingizwa imani
Kwamfano mtoto akitaka kula anafundishwa amtaje baba mwana ambapo kwa upande wa uislam haifai ndio maana waislam wanaojielewa hawawapeleki shule hizo.

Swali kwanin Martin yupo kimya?
Mod angalau uzi huu uache kama unavyoziacha nyengine za bakora za Zanzibar mwezi mtukufu wa Ramadhani
Tupe ilmu kidogo hili swala la MOU ili tupate ilmu kama unavyochambua Bima ya Afya

Cc
Meya mstaafu wa Ubungo bon Yayi popote ulipo
 
• Kobas acha udini,,

• Hizo dini hazina faina yeyote ile hapa Africa.... Ni lini vichwa vyetu vitapata akili iliyotimamu????
 
Sina maelezo mengi
Huyu jamaa nampenda sana maada zake hasa linapoguswa maslahi ya upande wake.
Hasa lile swala la kwanini wakiristo wasile masokoni Zanzibar ametoa maada nzito.
Bima ya Afya nako uses emergency
Mkataba wa bandari nako ni moto
Maandiko yake yanaweza kutumika ktk literature review hata ngazi ya PHD
Haki yake apewe. Sijui kama account yake inatumiwa na user zaidi ya mmoja?Any way
Twende kwenye maada

MOU nakamuona yupo kimya sana. Haligusi wala kulinusa

Maana Mou inasaidia kujenga shule za wakiristo na Hospital. Shule hizo licha ya kutoa huduma za elimu ndani kunaingizwa imani
Kwamfano mtoto akitaka kula anafundishwa amtaje baba mwana ambapo kwa upande wa uislam haifai ndio maana waislam wanaojielewa hawawapeleki shule hizo.

Swali kwanin Martin yupo kimya?
Mod angalau uzi huu uache kama unavyoziacha nyengine za bakora za Zanzibar mwezi mtukufu wa Ramadhani
Tupe ilmu kidogo hili swala la MOU ili tupate ilmu kama unavyochambua Bima ya Afya

Cc
Meya mstaafu wa Ubungo bon Yayi popote ulipo
Ukiona mtu yoyote anaendekeza hizi dini za kuletwa na majahazi ujue huyo ni mjinga kama wajinga wengine.
 
Kama dini hazina faida. Kama wewe mbabe kimbia kifo. B
• Sasa kifo na dini kinauhusiano gani??

• Kwa hiyo unataka kusema dini ndo ilikuzaa??

• Yani Mungu atoke ulaya/uarabuni ndo aje huku Africa kwa kutumia mitumbwi, inawezekana vipi??

• Ni Mungu wa aina gani huyo ana rangi nyeupe na si Nyeusi
???

Mjomba amsha Akili, unafeli wapi🤒🤒??
 
Uongo huo ndio tusioutaka. Watoto ktj shule za wakiristo lazima ufate mila zao.
Kwa hospitali za makanisa ni tofauti na shule, wanatibiwa watu wa dini zote, wenye dini na hata wapagani kabisa wasio na dini. Hata Hospitali za Agha Khan zinatibu watu wa dini zote, wapagani na wasio na dini kabisa.
 
Hili la Mou mbona hulisemi?
Hilo na MoU ww ndio unaona jambo la maana kwani umetekwa na hisia za dini za watu weupe. Mimi kwangu naona ni biashahara kama biashahara nyingine. Hiyo dini yenu nayo kama ni ya maana ikaingie hiyo MoU. Kwakuwa ww umekuwa mlemavu wa dini za kihuni, unadhani Kila mtu ni mtumwa wa dini kama ww.
 
Dah. Wewe unahitaji upewe darsa. Yaani mkojo ukiziba unalia. Alieumba huo mfumo wako wa mkojo humtambui unasema umeundwa na mzazi wako. Hio sio akili ni wendawazimu
 
Kwani njia ya mkojo imeundwa na dini, au unafanya Mungu ndio dini?
 
Back
Top Bottom